jerome chibwana MD(1979), M.Med.(1986).
@jeromechibwana8Obstetrician/Gynaecologist Certified in GCP, Basic Research in Human subjects(Miami University, Birmingham University)
Similar User
@TheSonOfMalundi
@CosmasSanga19
@KiyeyeuKelvin
@zefania_ndimie
@SShikilie77551
@MathewWolk94114
@baba_trac
@MudathirSh88163
@Elisante333
@Yetusote_tv
@vicentemmanuelt
@WalwamaRamadha1
@GLukali
@EnovCreative
@davisonzuka
Lakini hukupokea kwa masikitiko na mshtuko mkubwa mauaji ya mwananchi mwenzako wa Tanga Mjini, Mzee Ali Mohammed Kibao ambaye alitekwa kwenye basi la abiria, kuuwawa na kutupwa. Bungeni uligonga meza na kushangilia vilivyo RANGO alipozuia mjadala wa utekaji. UNAFIKI mwingi tu.
Nimepokea kwa masikitiko na mshituko mkubwa Taarifa za kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nimefanya kazi kwa karibu sana na Dkt Ndugulile akiwa ni Naibu Waziri wa Afya 2017 hadi May…
Nawapongeza wote waliopita bila kuenguliwa. Lkn hatuwezi kusema wameshinda uchaguzi maana uchaguzi hutegemea kuchagua kati ya x na y. Bora enzi za Mwalimu ambapo tulipewa nafasi ya kupiga kura ndiyo au hapana kwa yule aliyebaki bila kuenguliwa. Vinginevyo hakuna uchaguzi.
Turudie ya uchaguzi uliopita. Hakuna atakayepita bila kupingwa. Wanapita bila kuenguliwa.
Huu mtaa wa Moshi Ilala. Mkandarasi kaja kachimba barabara kamwaga kifusi, three months now. Magari/mikokoteni haipiti, wenye biashara zimekwama. Wenye nyumba hawana kwa kupaki magari.Diwani yupo, Mbunge yupo, Wakuu wa Wilaya/Mkoa wapo!. Hawajali😭😭
Vyombo vya uchunguzi vimebaini kuwa ADANI Group ilitumia rushwa kwenye tender yake huko Kenya.....jambo ambalo limekiuka Transparency na #Accountability
Yaani Adani Group itumie rushwa kupata kandarasi 🇰🇪 na 🇮🇳 then AFUGANISTANI wapate kandarasi kwa uhalali? Hiyo #Accountability haiingii AKILINI.
BREAKING: Kenyan president cancels recently signed 30-year Adani deal to build power lines, and ongoing Adani plan to take over country's main international airport due to "new information provided by partner nations" after Indian billionaire was indicted for fraud in in New York
Indian billionaire Gautam Adani has been indicted in New York over a multi-billion-dollar fraud scheme, the Justice Department says cnn.it/4hVGlxn
Hapa inawezekana ?
Mama amewalipia viingilio mkaangalie mpira uwanjani lakini Serikali yake imetoa akaunti mchangie pesa wahanga wa Kariakoo. Imekaa vizuri. Tumpongeze mheshimiwa mama.👏
Tetesi tata 2 Kwa nini wananchi waliona umuhimu kuchanga kabla ya serikali Tangu lini wananchi wamepewa.mrejesho wa.kina juu ya mapato na matumizi katika.maafa.memgine? Yanakaguliwa?
United States Trends
- 1. #SurvivorSeries 111 B posts
- 2. Michigan 223 B posts
- 3. Kash Patel 77,5 B posts
- 4. Shinsuke 15,9 B posts
- 5. Ryan Day 96,3 B posts
- 6. Ohio State 166 B posts
- 7. Miami 76,7 B posts
- 8. Syracuse 15,8 B posts
- 9. LA Knight 7.977 posts
- 10. Rhea 33,3 B posts
- 11. Auburn 23,5 B posts
- 12. Kyle McCord 4.637 posts
- 13. #GoBlue 44,1 B posts
- 14. Guidry 3.282 posts
- 15. Notre Dame 82,3 B posts
- 16. Nia Jax 3.959 posts
- 17. Clemson 32,4 B posts
- 18. Fran Brown 1.200 posts
- 19. Christian Gray 1.902 posts
- 20. Tiffany 27,5 B posts
Who to follow
-
NapoleonJunior🇹🇿(Mtanganyika)
@TheSonOfMalundi -
JUSTICE
@CosmasSanga19 -
Uncle Kidevu
@KiyeyeuKelvin -
MZEE MAGOMA KAMA MAGOMA
@zefania_ndimie -
Shikilie Shikilie
@SShikilie77551 -
Battalion
@MathewWolk94114 -
Michael A
@baba_trac -
Mudathir Shabirh
@MudathirSh88163 -
Elisante
@Elisante333 -
Yetusote_tv
@Yetusote_tv -
Vicent Emmanuel
@vicentemmanuelt -
Walwama Ramadhani
@WalwamaRamadha1 -
Geofrey Lukali
@GLukali -
ENOV CREATIVE HUB
@EnovCreative -
Diva we Zaka
@davisonzuka
Something went wrong.
Something went wrong.