@KimasaPeter Profile picture

Sigfred Peter Kimasa

@KimasaPeter

Joined December 2011
Similar User
I Know First AI Powered Predictive Algorithm photo

@IKFAdvisors

Yona Mkisi photo

@yona_mkisi

King kif naamini Urais ni zali, hawa wanaousaka kwa nguvu hadi kuchora mawe na kugawa mitungi ya gesi kamwe hawatauona urais! Rasilimali wanazopoteza kutengeneza mazingira ya urais ni bora wangejenga misikiti au makanisa au kununua mabasi na kujaza timu za mpira ligi kuu.


RAIS MSTAFU DKT. KIKWETE ATOBOA SIRI YA USHINDI WA CCM Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa…

Tweet Image 1


Hawa wauza vocha anaowasema Balozi kuwa walipata license za kuagiza sukari kabla ya big players ndio alikuwa anawasema Mpina?



Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyefungwa na umlengo wa unganiko fulani, sharti amuunge mkono Mpina bila kujali itikadi


Hon. Mpina is such a gentleman and mouth-piece asset delivering across the bottomline heartfelt vein communication for a good purpose.


Hon. Mpina is such a gentleman and mouth-piece asset delivering across the bottomline heartfelt vein communication for a good purpose...kingkifblog...peji kwenye facebook


Chura Kiziwi anauza ardhi, Misitu, bandari n.k..unazani atakemea hiyo ya sukari au kumfita kazi waziri Bashe?


Leadership is software rather than hardware


CCM imechoka, CCM inahitaji mtifuano wa reformation maana bado hatuna chama mbadala kilicho tayari kushika dola kwasasa au mnasemaje ?

Tweet Image 1

Inakera sana na inakatisha tamaa mno Kwa walipa kodi, kulipa kodi ili viongozi wakagawane?

Tweet Image 1

Bwana Makatani ndiyo hamkubali Bibi tozo na ndiyo maana kamlipa Mange Kimav ili amdhalilishe Khadija kisa yeye na Mzee wa Msoga wanataka achukue fomu ya kugombea mwaka 2025....ipende au ifuate....kingkifblog kwenye facebook

Tweet Image 1

Maji na mafuta.....

Tweet Image 1

Sigfred Peter Kimasa Reposted

Legend baada ya Kurudi Maskani Saa Moja Usiku.. Anasubiri Displine Hearing Only Legends ndo wanaelewa emotions kwenye Hii Picha! Hapa Kipigo kilikuwa Hakiepukiki😂

Tweet Image 1

2 Easy Hairstyles with Trick for Wedding %26 party %7C prom Updo Hairstyle %7C%7C Hairstyles for ladies%0A https%3A%2F%2Fm.scoopernews.com%2Fdetail%3FnewsId%3D6453149


KING KIF : MIMI NI KATI YA WATU WALIOIJENGA BONGO FLAVA TANGU MWANZONI KABISA wwwmasterkif.blogspot.com/2013/06/king-k…


Sigfred Peter Kimasa Reposted

Mmoja alikua mnyonge kwa muda mrefu, ila kafanikiwa kupanda ngazi mpaka anajiona yupo sawa au kamzidi mkongwe.


HIMID MAO ASAINI MIAKA MITATU PETROJET YA LIGI KUU MISRI kingkif.blogspot.com/2018/06/himid-…


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.