@godbless_lema Profile picture

Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

Similar User
millardayo photo

@millardayo

Simba Sports Club photo

@SimbaSCTanzania

EastAfricaTV photo

@eastafricatv

Samia Suluhu photo

@SuluhuSamia

BBC News Swahili photo

@bbcswahili

Mohammed Dewji MO photo

@moodewji

Clouds Media photo

@CloudsMediaLive

Azam TV photo

@azamtvtz

Maulid Kitenge photo

@mshambuliaji

Swahili Times photo

@swahilitimes

OscarOscar photo

@mzeewakaliua

EastAfricaRadio photo

@earadiofm

Jamii Forums photo

@JamiiForums

Jambo TV photo

@Jambotv_

Salim Kikeke photo

@Salym

📍VIDEO: "Wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura, na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi…


Naambiwa kuwa MADIWANI wa CCM Arusha Mjini wanashiriki kikamilifu wakifuatilia na kushiriki kikamilifu ktk kuandaa majibu ya RUFAA.


Nitakuwa na Mkutano na waandishi wa habari kesho Jumamosi. Mahali na eneo nitakalo wajulisha.


Silence is the best reply to a fool." - Unknown


Godbless E.J. Lema Reposted

Victim kwenye sekunde ya 0:3- naenda kuuwawa 0:5 naenda kuuwawa 0:15 naenda kuuwawa 0:15 naenda kuuwawa 0:19 siwajui Watekaji 0:20-21 “tutakuua” 0:36 sisi ni maaskari Msime atakuja kudanganya kama kaiwada ya ⁦@tanpol


Godbless E.J. Lema Reposted

Mtu anasema “nisaidieni naenda kuuawa”, kina mama wanamuangalia, watu wanaendelea na shughuli zao. Hata kupiga yowe? Jamii yetu inaumwa, ipo mahututi na inapaswa kufa kabla ya kufufuka upya.


Tuna JAMII ya AJABU sana , tunapaswa kuirekebisha kwa nguvu zetu zote. Unaweza kuwa unachinjwa na watu wakawapa wachinjaji tupa ya kunolea jambia. Tena wanaweza wakawauliza , eti wachinjaji tuwape tupa ya kunolea ?

From MalisaGJ

UPUMBAVU sana kwamba tunafanya UCHAGUZI kwa HISANI ya Mkwe.


Hakuna UCHAGUZI

Tweet Image 1

Godbless E.J. Lema Reposted

TSLA: $35 gain a day MSTR: Hold my 🍺

Tweet Image 1

Godbless E.J. Lema Reposted

🔥🔥🔥 Father Kitima is on fireeee🔥 “Hatufungamani na chama chochote ila anayeonea wengine tunamnyooshea kidole…” Kuhusu mauaji katili ya mzee Kibao “Tunapiga vita! Tunamlaani aliyemwua Ali Kibao!” Salamu zako @SuluhuSamia na genge lako la wahuni @ccm_tanzania Mmelaaniwa…


Acheni USANII na UPUMBAVU .

Tweet Image 1

Kuna vitu vingi sana na biashara kwenye Internet , you can make easily thousands of dollars everyday. Lakini !!! Mambo ya Equatorial Guinea yalipata kipaumbele kuliko Uchafuzi Serikali za Mitaa ktk wiki hizi muhimu. Nchi yangu Mimi ???!!!!

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.