Similar User
@ShabaniNas63468
@AiiyKhator3375
UNYAKYUSA 😂🙌🏿 Kabila linashida hili.😁😁
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa nacho, hasa kuhusu madai ya rushwa na ufisadi yanayoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake na yanayodaiwa kujitokeza ndani ya chama hususan katika chaguzi za ndani. Taarifa…
Jeshi la Polisi limesema linawasaka watu walioonekana kwenye video clip wakijaribu "kumteka" Bw.Deogratius Tarimo (Deo bonge) maeneo ya Kiluvya madukani jijini DSM. Polisi wanadai hawawatambui "watekaji hao" na kwamba wanawasaka ili wachukuliwe hatua za kisheria. Tukio hilo…
Vipi Jamani ..? kwenye ile Page yao wameshatoa taarifa kwa Umma.? Au Msemaji wa Jeshi yupo bussy anatazama Alpaslan kwanza..?
BAADHI ya Waislam wakiongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda wamefungua kesi dhidi ya Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, msajili wa Taasisi ambapo shauri la msingi wanapinga kuwa chini ya usimamizi wa Bakwata litakaloanza kusikilizwa kesho…
CHEKI MTU ALIVYONUSURIKA KUTEKWA ..! Tukio hili la Jaribio la utekaji limetokea katika Hotel ya Rovvenpec Resort iliyopo Kiluvya,Madukani Dar es Salaam. Jamaa aliiga mbinu zangu (Golden folk style) za kutumia nguvu na kugomea kuondoka nao hivyo kutokana na nguvu za jamaa na…
KITILA MKUMBO siku alishindanishwa na BONI YAI akajisifu kuwa wapiga kura wapo mtaani hawapo MITANDAONI. Nikajua huenda kuna kazi anaifanya huko mtaani, nashangaa leo wananchi wake wanalalamika watoto wamerudishwa MAJUMBANI wameambiwa SHULE IMEUZWA wawaambie wazazi wao…
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba. Mwaka 2021…
"Tunahitaji kujipanga upya, kujipanga upya kuna maana gani, katikati hapa tumedanganywa tukadanganyika, tumeletewa lugha laini ya maridhiano, tumeletewa lugha laini ya uwongo, tukazungumzishwa kwa mwaka nzima na tukapigwa maneno, na tukakubali kupigwa maneno tukaacha hoja za…
"Fedha chafu katika siasa za nchi hii sio jambo geni, sio jambo geni kwamba kuna uchafu, kuna rushwa kwenye chaguzi zetu, infact sio jambo geni tena hata kwetu (CHADEMA) tukizungumza ukweli wa Mungu tu, maana yake usipokubali kwamba kuna tatizo anayeficha malazi kilio umuumbua,…
Geofrey Mosses Nnauye ni mdogo wa @nape_nnauye Ni mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Newala. Yeye kaamua kutumia staili ya kaka yake. Kaengua wagombea wote wa Chadema. Kabakiza wa CCM tu kwenye jimbo lote. Itakumbukwa kuwa jimbo hili ni la mbunge na waziri wa muda mrefu. Mzee.…
Salma Kikwete ni mke wa Rais wa awamu ya 4 Mhe. @jmkikwete Yeye ni mbunge wa jimbo la Mchinga. Mpaka kufikia jana hawakuengua mgombea wa upinzani jimboni Mchinga. Mchana huu wameanza kuengua wagombea wa vijiji na vitongoji. Tayari wagombea wa CUF wameshaenguliwa, wagombea wa…
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula leo, Jumamosi Novemba 09.2024 ametupa waraka wa wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na sintofahamu inayoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa…
Huenda Kizazi cha wakina Salimu Kikeke kikawa cha mwisho kutangaza kwenye Media za nje. Watangazaji wa sasa ni weupe sana vichwani. Watangazaji wa sasa wa Media za Tanzania ni weupe sana kichwani, hawajui kingine zaidi ya Yanga na Simba na Mziki wa Diamond. Hivi ndio vitu…
Maelekezo yangu leo siku ya tarehe 09 November 2024 kwa sasa ni kama yafuatayo. 1.Wagombea wote walioenguliwa kihuni waelekee ofisi za watendaji kata na mitaa (wasimamizi wa uchaguzi) kwa ajili ya kukabidhi fomu za Mapingamizi ya Uteuzi. 2.Viongozi wote wa kata,Matawi na…
Rais @SuluhuSamia shikamoo. Binafsi, nakusudia kuandika barua yangu nyingine katika ule mwendelezo wangu wa kawaida wa kuandika barua kwa Rais unaoitwa “Letter to the President” Lakini kwa hatua ya sasa, hakika nimesikitika sana kwa kilichotokea katika hatua zote za mchakato wa…
Mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, ameshinda majimbo 27, yakiwemo Georgia, North Carolina, Texas, Florida, Indiana, Kentucky, na mengineyo, huku mgombea wa chama cha Democrat, Kamala Harris, akiwa amepata majimbo 19 hadi sasa, wakati makadirio ya awali yakiendelea…
BREAKING NEWS: Ndege ya Tanzania iliyoenda ruti ya Mumbai, India imepata itilafu mara tu baada ya kupaa jana, kwa hiyo imelazimika kurudi Mumbai. Kwa maana hiyo ruti za India na China, zote zimesitishwa hadi ndege itakapotengenezwa. 787-8 ingine ipo na Rais Caribbean kula bata.
Kesho, raia wa Marekani watashiriki katika zoezi rasmi la kupiga kura kumchagua rais wa 47 wa taifa lao. Nimejitahidi kuweka kwa Kiswahili japo kuna technical terms ambazo hazina tafsiri za moja kaa moja kwenye lugha yetu. 1/9 🇺🇸 Uchaguzi wa Rais wa Marekani unafanyaje kazi?…
Nakumbuka Mwaka fulan niliwai letewa Dili kwamba toa sh 25M upangwe kuwa balozi nchi fulan nikajiuliza swali? Inawezekana vipi wakati mwamba ndo anakataza Rushwa ? Wakasema Hapana ye wala uhusiki anapelekewa majina tu kwamba huyu anatufaa! Ila jina lako Mpaka lifike Huko lazima…
United States Trends
- 1. Cowboys 69 B posts
- 2. Clippers 10,6 B posts
- 3. Texans 54,6 B posts
- 4. Norman Powell 1.776 posts
- 5. Jerry 42,5 B posts
- 6. soobin 61,9 B posts
- 7. Cooper Rush 11,8 B posts
- 8. Mike McCarthy 3.218 posts
- 9. Lindy 3.455 posts
- 10. Mixon 17,6 B posts
- 11. Trey Lance 3.163 posts
- 12. Dyson Daniels 2.696 posts
- 13. sabrina 106 B posts
- 14. Keon Ellis 1.661 posts
- 15. Harden 18,4 B posts
- 16. #WWERaw 62 B posts
- 17. Podz 1.405 posts
- 18. Herta 34,5 B posts
- 19. #AskShadow 7.099 posts
- 20. #TheFutureIsTeal 1.035 posts
Who to follow
Something went wrong.
Something went wrong.