@LaiserYm Profile picture

Yonas Masiaya Laiser

@LaiserYm

Lawyer, Husband, Father & Justice Champion 🏆

Similar User
CZAR 👑 ₿ photo

@Defi_CZAR

Zebraville Studios photo

@zebraville_

Darius Dion photo

@Siopoah

Chris Ndawula photo

@chrishartsayo

Makka photo

@makkaveepee1

MJAPANI_MWEUSI photo

@siravianny

Benedictst3 photo

@Benedictst3

uc.bro photo

@ucbro7

布鲁斯·艾恩 photo

@Aine14_b

Kellyvinzz photo

@kellyvinzz

Japo Snipertz photo

@JSnipertz

Andrew Tate photo

@cobbratatw

Sir🧢 photo

@Rasta_logic

Baraka Mwago photo

@BMwago

JAY R UMILEAC 🌟⚽🎵🇺🇬 photo

@WeezixM

Ni kifo cha maumivu sana😭 lkn ni mashujaa waliofia kwenye vita ya utafutaji. Mungu awarehemu wapambanaji🙏

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Yonas Masiaya Laiser Reposted

.@judiciarytz tramples rights of #Indigenous #Maasai pastoralists to boost tourism revenues! Latest ruling sets dangerous precedent for Indigenous land rights across #Tanzania & calls into question the independence of the judiciary that openly cited tourism $$$ as a factor in…

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

🚨‼️Kwa kuwa ulisema unakumbusha tulikotoka @SuluhuSamia na sisi tunakukumbusha ‼️👇🏾 Hukuja na hizo 4Rs kwa hiari bali ulikuta mirija yote ya pesa kimataifa imekata ukaleta sanaa! Najua hadi aliyekuandikia hiyo 4Rs 😃 so ndo maana nilijua haikuwa genuine bali geresha kudanganya…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Yonas Masiaya Laiser Reposted

Kuna utaratibu mahsusi wa kufuta sheria ndogo. ( By-laws na Regulations) kamwe hizo hazifutwi kwa matamko ya kisiasa kama unavyotuaminisha. Vinginevyo usiweke pingamizi kwenye.kesi zilizofunguliwa na ukubali kuwa ulikosea @DenisMoses14 @Oleshangay @Advocate_Jebra @LaiserYm

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza jijini Arusha…

Tweet Image 1


Mimi nikadhani leadership maturity ni kuwapelekea huduma ili kumdisprove Mpina. @HusseinBashe umechemsha....Unatuambia hata huko kwenye jimbo lako Diwani asiekuunga mkono hapati miradi?!


Kaka @HusseinBashe kipindi ukiwa Mbunge bila uwaziri ulikua mkosoaji mkubwa wa serikali ya JPM, vipi kuna siku wananchi wa jimbo lako walinyimwa huduma? Au wale mawaziri hawakua wajanja kama sasa wewe. Acha UPUMBAVU!!

Tweet Image 1

Unaenda kuwa mgeni rasmi bila aibu...Huoni aibu kwenda kua mgeni rasmi huku ukiwa na tuhuma za damu zisizo na hatia?🤔

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

Vitisho dhidi ya Adv Tito Magoti ni vitisho dhidi ya Tasnia ya Uwakili.Kushambuliwa au kudhuriwa kwake wote itakuwa dhidi yetu sote TUTALAZIMIKA KUJILINDA NA KULINDANA.Hatuta kubali dhuluma hii hata ikilazimu Mbingu na ardhi kugusana.

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

Waziri mwenye dhamana,IGP na Mkuu wa operation na Mafunzo wa Polisi mungemsaidia zaidi Rais kwa kuwapisha wengine kwenye nafasi zenu. Vinginevyo Rais awafukuze mnachafua taswira ya nchi kwa kushindwa kuwajibika na uzembe uliopitiliza.

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

Nieleweni nina ujumbe wa wanafamilia wengi SANA huko DM wanaeleza utekaji wa mpendwa wao, wanalia na kujawa na hofu nyingi! Napaza sauti si kwa sababu mi kichaa ni kwa sababu nakosa amani, roho inaniuma 😭 Zaidi ya mwezi ninaamka na kulala na utekaji Na plz ENDELEENI kunitumia…

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

Tunataka uwajibikaji


Yonas Masiaya Laiser Reposted

Kuna wakati unatamani Baba wa Jirani awe Baba yako eti? Binadamu ni Mtu mwenye Utu na siyo kila Mtu ana Utu hivyo siyo kila Mtu ni Binadamu.Tunamtaka Soka na wenzake wakiwa hai.Hatupoi...Hatuchoki...Hatunyamazi .

Tweet Image 1

Yonas Masiaya Laiser Reposted

TAMKO LA KULAANI UTEKAJI NA MAUAJI YA KIKATILI YANAYOTOKEA NCHINI tls.or.tz/2024/09/10/tam… #TLSSection4

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mh Rais @SuluhuSamia tunaumizwa sana na yanayoendelea ktk nchi yetu chini ya Serikali yako.Kauli yako ingekua na maana zaidi kwa #Watz kama ungemfukuza kazi waziri #Masauni na IGP #Wambura. Hii ni aibu!! @MariaSTsehai @ExMayorUbungo @Oleshangay @MarkMwandosya @Mwabuk2Boniface

Tweet Image 1

Kombora limedondokea mtu huku jamani!!!🤣🤣🤣

Tweet Image 1

Kumbe Afande Haji Awadh alishawasili @visitngorongoro kwenda kuwakabili wamama wenye majani mikononi kuashiria amani..?

Tweet Image 1

Huu ukatili umepitiliza


Yonas Masiaya Laiser Reposted

Tafadhali @tanpol msiue raia. Polisi msiue raia. Tafadhali sana polisi acheni kuua raia. Mtailetea hii nchi matatizo makubwa. #KataaUkatiliWaPolisi #KataaUkatiliWaPolisi #KataaUkatiliWaPolisi

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya wananchi katika mji mdogo wa Lamadi Wilaya ya Busega, baada ya kufunga barabara kuu ya Mwanza-Simiyu na Mara kwa kile walichodai matukio ya watoto kupotea yameongezeka. Soma zaidi:…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


Jioni hii magari aina ya Costa zaidi ya 10 yameingia Ngoro2 kwa ajili ya zoezi la watu wanaodaiwa kuhama ngoro2 kwa hiari kwenda Msomera.Hii ni Propaganda inayotengenezwa ili ionekane watu wa ngorongoro wanahama ktk kufifisha maandamano. Media zote zipo kuripoti. @MariaSTsehai


Mnamharibia Rais @SuluhuSamia Ninyi wapuuzi mnaojipendekeza kufanya unyama dhidi ya wamasai wa Ngorongoro. Kwa yanayoendelea tunaona ni shambulio dhidi ya jamii sasa. Mnataka wafe ili mjenge hoteli za kifahari?! Mungu halali. youtu.be/ov3Jd148cQc?si…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.