Similar User
Edwin Odemba photo

@chiefodemba

Bob Chacha Wangwe photo

@BobWangwe

Liberatus Mwang'ombe photo

@Liberatus80

Adv. Dickson Matata photo

@AdvMatata

Ananilea Nkya (PhD) photo

@AnanileaN

mendez_m_c_a photo

@mendez_m_c_a

Jenerali Ulimwengu photo

@raiyajenerali

Rex Advocates photo

@RexAdvocates

Aisha Saleh Madoga photo

@AishaSMadoga

Wakili.tv photo

@WakiliTv

Erick Kabendera photo

@kabsjourno

Madaraka Nyerere photo

@MadarakaNyerere

Deogratias Munishi photo

@DeoMunishi

Baba Mwita photo

@BabaMwita

Victory Attorneys photo

@victoryattorney

Jaji mkuu ataishi kwa nukuu yake kwa kusikiliza wananchi wanaolalamikia uchaguzi na kuchukua hatua kama walivyoomba. Haki ya kuchagua viongozi ni muhimu na iwe huru na haki. Uchaguzi huu si huru @Advocate_Jebra @MariaSTsehai @judiciarytz @TanganyikaLaw @ACTwazalendo @ChademaTz

Tweet Image 1

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wamewasilisha lalamiko rasmi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, wakipinga mwenendo wa maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Vijiji, Kamati za Mitaa, na Wenyeviti wa Vitongoji uliopangwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika lalamiko hilo…

Tweet Image 1


Andiko safi sana hili hakika huu sio uchaguzi Bali ni mashindano ya kujaza fomu yaliyoratibiwa na kusimamiwa na mshiriki wa shindano hilo

ANAANDIKA BABA ASKOFU Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD MASHINDANO YA KUJAZA FOMU: CCM MSHINDI. Mpeni Maua yake. Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu. Mwaka huu tukatangaziwa,…

Tweet Image 1


Listening to Senior Counsel Colman Ngalo Roll Number 349 needs concentration and attentiveness. Symposium on 70 Years of TLS with @Advocate_Jebra, @Edson_Kilatu

Tweet Image 1

Mpale Mpoki Reposted

Leo siku ya jumapili wagombea wengi wa upinzani wameendelea kuenguliwa katika sehemu mbalimbali za Tanzanian. Haya yanayotokea ni: 1. Kiwango cha juu kabisa cha unajisi wa demokrasia. 2. Ni ubaguzi wa hali ya juu unaelenga mrengo wa kiasa ya wagombea. 3. Hakuna mgombea wa CCM…


On point

Speaking constructive truth to authorities is not being disrespectful, on the contrary it is being respectful and helpful. Telling authorities what they want to hear even when we know it is not helpful to them is criminal.



Mpale Mpoki Reposted

🔥#TANZANIA CITIZEN DEFIANCE‼️ After local executive leaders disqualified opposition candidates, villagers in Kibanga watd, Muleba district were furious! Blocked police vehicle and the rogue leaders had to be rescued to save them from mob justice @ccm_tanzania it’s time to go!…


Maafisa wa serikali wanaovuruga process za uchaguzi kwa mfano kuandikisha wanafunzi, kutopokea fomu za baadhi ya wagombea wao hawana jinai hata kidogo

TAARIFA Wafuasi wa Vyama Vya Siasa wanaopanga kufanya uhalifu waonywa

Tweet Image 1


Mpale Mpoki Reposted

Bodi ya Wakurugenzi @Tiac_Tanzania ikiongozwa na makamu mwenyekiti Bw. Mpale Mpoki imekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba J.A. M. Kabudi ikiwa ni muendelezo wa wa makubaliano ya kikao kilichofanyika tarehe 17/09/2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mpale Mpoki Reposted

ikiwemo kushirikiana katika suala zima la kuimarisha kituo cha Usuluhishi (TIAC) kuwajengea uwezo wataalamu wa Usuluhishi na baadaye kuelimisha umma juu ya umuhimu wa dhana ya Usuluhishi. Kikao hicho kimefanyika tarehe 6 Novemba 2024 jijini Dodoma.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

I nashangaa pale dhana hiyo ya ukuu wa katiba inawekewa nguvu na mtu aliyeapa kulinda katiba. Hii ni kwend kinyume na kiapo chake alichoapa. Kwa maneno mengine hafai kushika ofisi ambao kiapo chake amekinajisi

Tanzania tuna representative democracy na ambapo vyombo vyote vya Mamlaka vinapata Nguvu yake kupitia Katiba.Huwezi kuwa na Parliamentary Suprimacy( Ukuu wa Bunge)katika mazingira haya it is a fallacy. Tanzania tuna Constitution supremacy.(Ukuu wa Katiba) Inatia Kinyaa kwamba…



Kama hupigi kura sababu huoni umuhimu au kwa kuwa ni siasa basi siasa ambazo hukuzipigia kura zitakushughulikia. Piga kura, chagua kwani chaguo hilo italifanya bada ya miaka 5 ijayo !!!

Tweet Image 1

Elections belong to the people let them decide !!! @Advocate_Jebra @TanganyikaLaw @humanrightstz

Tweet Image 1

Wenzetu hakuna aliye juu ya sheria. Jaji mkuu wa kenya kamuwakia Rais pasi kuchelewa. @TanganyikaLaw @Advocate_Jebra @humanrightstz @DeusValentine

Chief Justice Martha Koome Fires back at William Ruto's Open threats to defy Court orders on Deputy President Rigathi Gachagua's impeachment.



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.