Similar User
@bint_mvanga
@KcKeegancalvin
@BeatriceL_
@defoe2019
@joamaiko
@FMNDEONIO
Safari yetu ya mashindano ya Kimataifa imefikia tamati. Shukrani kwa Wachezaji wetu, Benchi la Ufundi, Viongozi, Wanachama na Mashabiki wetu wote kwa kuwa nasi kwenye kipindi chote cha mashindano haya. 𝐖𝐄 𝐖𝐈𝐋𝐋 𝐁𝐄 𝐁𝐀𝐂𝐊🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
"Kitendo cha Serikali kutengeneza tatizo (TOZO), kisha kuunda kamati kwaajili ya kusolve hilo tatizo walilotengeneza halafu wanatangaza kwa wananchi kuwa wametatua tatizo ili wapongezwe hiki ni kichekesho na ni tatizo pia" @kigogo2014 @Eric_Bernard94 @IAMartin_ @Roma_Mkatoliki
Kwenye maisha kuna aina ya watu wenye tabia tofauti tofauti utakutana nao, ila jitahidi sana kuwazingatia wale ambao kwenye kila unachofanya lazima wakosoe hawa kuna muda wapo sahihi na unaweza kuwa best kwa sababu yao lakini pia sio kila wanapokosoa unapokea negative.
Kuna muda natamani kuona TANZANIA ikiwa kwenye mikono ya wapinzani ili tujue utendaji wao ila nikifiria maovu ya CCM kwa wapinzani naogopa sana mana damu ya visasi itaenda kulisumbua taifa, je ni kipi kifanyike ili kuendelea kulinda amani ya nchi..?? NI WAZO TU..🤔
Kuna muda natamani kuona TANZANIA ikiwa kwenye mikono ya wapinzani ili tujue utendaji wao ila nikifiria maovu ya CCM kwa wapinzani naogopa sana mana damu ya visasi itaenda kulisumbua taifa, je ni kipi kifanyike ili kuendelea kulinda amani ya nchi..?
Hodi tena watanzania wazalendo wenzangu. Ule muda wa kumng'oa ulimi Rodrigo umewadia Follow. Retweet kila mtu ajue
Kesho waweza amka ukakutana na the story book ya kaka HAMZA at WASAFI TV..😀😀😀 Muandaaji Jamal April 🤔🤣
Tunaishi katika misingi ambayo dini na familia zinataka tuwe wema,ila mtindo wa maisha yetu wananchi wa Tz yanatutaka tuwe waovu na wanafiki kwa kuchekea yote yanayotuumiza na kuwasifia wasiotujali et kisa tyu wametuzidi kipato. AMKA MTANZANIA..🚶🧑🦯
United States Trends
- 1. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 2. #mondaymotivation 22,6 B posts
- 3. #Superman 18,3 B posts
- 4. Good Monday 51,6 B posts
- 5. Victory Monday 1.739 posts
- 6. #SkylineSweeps N/A
- 7. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 8. #MondayVibes 2.991 posts
- 9. Immanuel 5.134 posts
- 10. John Williams N/A
- 11. Burna 32,3 B posts
- 12. Boston Tea Party 2.671 posts
- 13. $PENGU 21 B posts
- 14. Trump 2028 9.638 posts
- 15. Jerod Mayo 1.873 posts
- 16. MARK LEE 85,2 B posts
- 17. Benny Hill N/A
- 18. Mona Lisa 42,1 B posts
- 19. Kai Cenat 15,6 B posts
- 20. Carti 47,3 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.