Bwaji Deo
@Bwaji4R. I. P Mom (27/07/2016) 💞 God Rest You In Peace Our Dear Mother 🙏🙏 Phone No: 0769230966 Email: [email protected]
Similar User
@kitudike
@Simon_Machibya
@iamZature
@Religion_ATR
@NgomeniErnest
@RaphaelMheta
@fadhilikangusi
@PeterObedy
@Official_ElBike
@mkamaluhega
@MissWamboi_
@tussiwe
@LizFred6_sp
@ntyeka2
@Dawizzy_9
Umewahi kujiuliza ikitokea wewe, mkeo/mumeo, mwanao, mzazi wako au ndugu yako akawa kwenye hali kama ya @mishalymish au hali nyingine mbaya kiafya na akahitaji msaada wa watanzania. Je utapenda watu warespond kama wewe unavyorespond kwenye matatizo ya wengine?
Usipoteze maneno yako kwa watu wanaostahili ukimya wako. Wakati mwingine kitu chenye nguvu zaidi unachoweza kusema ni kutosema chochote.
Mzingatie sana yule mnaye gombana mnaachana ila Baada ya Muda anarudi Mwenyewe Na Kukumbia Mbali na yote yalio tokea Bado anakupenda Sana. Kuna kitu Amekikosa Ndio Maana Anarudi tena Muanze Upya. Mahusiano bora lazima Hii kitu iwepo.
MonaLisa Wa TikTok Bado Anaendelea Kupiga Watu Na Wanalia Sana, Ukienda Kucomment Kwenye Account Yake TikTok Anafuta Comment Na Anakublock
Kuna huyu poa wa Instagram. Huyu ukituma pesa mzigo hupati, na pesa hupati. Ni mwanamke pia
MonaLisa Wa TikTok Ukiangiza Mzingo Kutoka Kwake Na Ukalipia Pesa Yako Mzingo Upati Na Pesa Yako Upati Na Ana Group Lake Whatsapp Lipo Private Watu Wengi Wanelizwa Na Huyu MonaLisa Siku Zake Zinahesabika Hii Serikali Sio Ya Kutapeli Watu @TweveDevota @IAMartin_ @ManenoIzaak
Nani ana wazo zuri la Biashara amshauri Brother hapa.?😊
Wanangu au kuna sehemu niliwakosea, mbona hamtaki kuja kuniungisha .😨
jaman haya matangazo ya mikop ya @moodewji nmeblock mpaka nimechoka ni mimi tu au na nyie😏😏
Ndiyo nimefika Kariakoo kwa ajili ya kuwachukulia vikali, Comment kitu unachohitaji kama upo mbali nitakufanyia Delivery ama utakuja kukichukua THE MANDEVU STORE .
Kuna mstari mmoja Tupac anasema "No one knows my struggle, they only see the trouble" humu tunaonekaga tu Mabishoo Maisha safi ila kwa ground tunapambana na ups & downs mpaka tufike Hii picha sio ya 17 Century ni juzi kati tu wakati nipo Mbeya, Oyaa! hii kazi sikieni tu kuna…
MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA! Nimekua na mazingira magumu sana ya kifedha tangu nimeanza uguza mzazi for 3+ years ago Nimeingia madeni, umasikini/ufukara & a lot you can't even tell + Sikuweza fanya kazi yoyote Wakuu naomba msaada wa chochote 0749688788 (Paschal Nkololo) 🙏
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu na pia nitumie furusa hii kuwakaribisha Wanangu, ndugu zangu na wanajamii wote wa humu Twitter (X) kwenye Duka langu la THE MANDEVU STORE linalopatikana Mabibo Mwembeni. Nimatumaini yangu Wanangu mtanishika Mkono as we always do,…
Chochote kile unachokiona kwangu kimeletwa na Mungu, Hadi huyu mwanamke mzuri naye pia kaletwa na Mungu.
United States Trends
- 1. #PrizePicksMilly 2.582 posts
- 2. 49ers 33,9 B posts
- 3. Packers 35,1 B posts
- 4. Raiders 31,8 B posts
- 5. Niners 7.109 posts
- 6. Cowboys 59,1 B posts
- 7. #GoPackGo 7.084 posts
- 8. $CUTO 5.845 posts
- 9. Rams 16,1 B posts
- 10. Broncos 23,6 B posts
- 11. Josh Jacobs 5.418 posts
- 12. Deebo 5.961 posts
- 13. Seahawks 20,4 B posts
- 14. Geno 7.211 posts
- 15. #PrizePicksDiscord N/A
- 16. Chiefs 76,6 B posts
- 17. Christian Watson 2.171 posts
- 18. Bears 83,2 B posts
- 19. Brandon Allen 3.990 posts
- 20. Minshew 3.853 posts
Who to follow
-
KITUDIKE🇹🇿
@kitudike -
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿
@Simon_Machibya -
Zature
@iamZature -
ATR Mtiling’ati
@Religion_ATR -
Ngomeni son.
@NgomeniErnest -
Raphael Mheta
@RaphaelMheta -
Fadhili Kangusi
@fadhilikangusi -
PETER OBEDY MCHUNGAJI DACTARI 💊💉
@PeterObedy -
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
@Official_ElBike -
mkama luhega
@mkamaluhega -
The TMI Princess
@MissWamboi_ -
AGAFE
@tussiwe -
Liz Fred
@LizFred6_sp -
ANDAJAIV
@ntyeka2 -
Sky High. 👽🌴
@Dawizzy_9
Something went wrong.
Something went wrong.