@ninacoli Profile picture

Nina 🇹🇿 💋

@ninacoli

Makeup artist, Inspired by Jessica Felicio . Retweets are not endorsements

Joined September 2020
Similar User
Erick Kabendera photo

@kabsjourno

Ahmed Rashid🇹🇿 photo

@ahmerd_costa19

Teknohama photo

@Wamarashi

𝐀𝐩𝐨𝐥𝐥𝐨 photo

@Apollo_Boniface

Baly24_tz🇹🇿🇿🇲 photo

@mbalinga24

Zature photo

@iamZature

V E N N A📸 photo

@vennatz1

MTCA photo

@MTCAssociation

MJUKUU WA TRUMP photo

@jhonsmallya

joka kibisa photo

@NODEEjr

Masua K.E photo

@ke_masua

Charles Barnabas photo

@mwananyonji

guyu photo

@Mld3dd

simba TZ 🦁 photo

@Ibrahhimmalcom

Humphrey ngahatilwa photo

@FNgahatilwa

Pinned

IAM SORRY MY WIFE; SITORUDIA TENA! Ni sauti ya mume akiongea kwa msisitizo mbele ya mkewe aliyekuwa amefika mwisho wa uvumilivu wake.Licha ya kuvumilia mateso na maumivu aliyokuwa amepitia kwa muda mrefu bado mumewe alionekana kutokujali na kuzidisha visa na mikasa. Shuka nayo

ninacoli's tweet image. IAM SORRY MY WIFE; SITORUDIA TENA!
Ni sauti ya mume akiongea kwa msisitizo mbele ya mkewe aliyekuwa amefika mwisho wa uvumilivu wake.Licha ya kuvumilia mateso na maumivu aliyokuwa amepitia kwa muda mrefu bado mumewe alionekana kutokujali na kuzidisha visa na mikasa. Shuka nayo

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Eti kwanini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti yakiwa shambani ?

Kingvannytz_'s tweet image. Eti kwanini watu wanawekaga mawe juu ya matikiti yakiwa shambani ?

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Raisi wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao kuweka picha za watoto wao maofisini mwao ili wawe wanazitazama pale wanapofanya…

mshambuliaji's tweet image. Raisi wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amewataka Watumishi wa Umma kuacha kuweka picha yake kwenye ofisi zao akisema kuwa yeye sio Mungu anayetaka kusujudiwa badala yake amewataka watumishi hao kuweka picha za watoto wao maofisini mwao ili wawe wanazitazama pale wanapofanya…

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Simba ikifunga 3 bila napost nimevaa bikini ile ya kikamba.

Mrsdaviee's tweet image. Simba ikifunga 3 bila napost nimevaa bikini ile ya kikamba.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

. @Nnauye_Nape ni BOLIZOZO. Unaweza kumtisha nani sasa chini ya Jua? Kama wapo watu wanakuogopa, ni wapumbavu. Unatoa maelekezo kwa polisi kama nani? Waziri wa Habari unatoa maelekezo Wizara ya Mambo ya Ndani? Kwanza unatakiwa kuwajibika, Idara ya Habari Maelezo ipo Wizara yako.…

IAMartin_'s tweet image. . @Nnauye_Nape ni BOLIZOZO. Unaweza kumtisha nani sasa chini ya Jua? Kama wapo watu wanakuogopa, ni wapumbavu. Unatoa maelekezo kwa polisi kama nani? Waziri wa Habari unatoa maelekezo Wizara ya Mambo ya Ndani? Kwanza unatakiwa kuwajibika, Idara ya Habari Maelezo ipo Wizara yako.…

Napenda tu kucheza nipeni maua 🌺 yangu jamani

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Bilal Saadat Alikabidhiwa Milioni 300 na Serikali kuendesha operesheni ya utetezi wa serikali mitandaoni akaamua kutumia pesa hiyo kununua watu wamtukane Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba. Kwa kifupi Mwigulu Nchemba anakaangwa kwa pesa aliyoikusanya mwenyewe. ROHO MBAYA

IdrisaIddyTz's tweet image. Bilal Saadat

Alikabidhiwa Milioni 300 na Serikali kuendesha operesheni ya utetezi wa serikali mitandaoni akaamua kutumia pesa hiyo kununua watu wamtukane Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.

Kwa kifupi Mwigulu Nchemba anakaangwa kwa pesa aliyoikusanya mwenyewe.

ROHO MBAYA

Linapokuja Suala la kusema Ukweli na kupaza sauti kwa niaba ya watu Mchekeshaji Erick Omondi huwa anafanya kweli. Leo amekamatwa na Polisi sababu ameandamana mpaka kwenye njia ya Kuingia Bungeni sababu anapinga ongezeko la bei za bidhaa na Ugumu wa maisha huko Kenya.

ayubu_madenge's tweet image. Linapokuja Suala la kusema Ukweli na kupaza sauti kwa niaba ya watu Mchekeshaji Erick Omondi huwa anafanya kweli. Leo amekamatwa na Polisi sababu ameandamana mpaka kwenye njia ya Kuingia Bungeni sababu anapinga ongezeko la bei za bidhaa na Ugumu wa maisha huko Kenya.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kenya wa Jomo Kenyatta Terminal 2, utafungwa kwa muda wa Siku mbili ili kufanya maandalizi ya Kumpokea Jill Biden yani Mke wa Rais wa Marekani anayetarajia kutumbelea nchi hiyo. Huyu ni Mke wa Rais peke yake, pata picha angekuwa Rais ingekuaje.

ayubu_madenge's tweet image. Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kenya wa Jomo Kenyatta Terminal 2, utafungwa kwa muda wa Siku mbili ili kufanya maandalizi ya Kumpokea Jill Biden yani Mke wa Rais wa Marekani anayetarajia kutumbelea nchi hiyo. Huyu ni Mke wa Rais peke yake, pata picha angekuwa Rais ingekuaje.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Kama hukubaliani na alichosema Mganga basi we ni Msimbe wa Hovyo 😂😂😂

spana_Konki's tweet image. Kama hukubaliani na alichosema Mganga basi we ni Msimbe wa Hovyo 😂😂😂

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Leo Cristiano Ronaldo kavaa kanzu safi kabisa na Kashika Upanga huku akijumuika na wenzake katika kusheherekea kumbukumbu ya Kuanzishwa kwa taifa la Saudi Arabia. Kanzu imekaa mahala pake kabisa.

ayubu_madenge's tweet image. Leo Cristiano Ronaldo kavaa kanzu safi kabisa na Kashika Upanga huku akijumuika na wenzake katika kusheherekea kumbukumbu ya Kuanzishwa kwa taifa la Saudi Arabia. Kanzu imekaa mahala pake kabisa.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Usiku wa leo, Jengo la Umoja wa Ulaya hapa Dar Es Salaam Tanzania limewaka Rangi za Njano na Blue kuashiria bendera ya Ukraine. Umoja wa Ulaya hapa Tanzania umeamua Kufanya hivyo ili kuonesha Support yao kwa Ukraine Ikiwa imetimia Mwaka Mmoja tangu Russia ivamie Ukraine.

ayubu_madenge's tweet image. Usiku wa leo, Jengo la Umoja wa Ulaya hapa Dar Es Salaam Tanzania limewaka Rangi za Njano na Blue kuashiria bendera ya Ukraine. Umoja wa Ulaya hapa Tanzania umeamua Kufanya hivyo ili kuonesha Support yao kwa Ukraine Ikiwa imetimia Mwaka Mmoja tangu Russia ivamie Ukraine.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Putin amehotubia Maelfu ya raia wa Russia, ndani ya Uwanja wa Luzhniki ambapo Ilipigiwa Fainali ya Kombe la dunia 2018. Putin ametoa hotuba hiyo kuelekea kumbukumbu ya Mwaka Mmoja tangu apeleke Majeshi Ukraine. Pia amesema Nchi inajuvunia Askari wake wanaopigana vita huko Ukraine

ayubu_madenge's tweet image. Putin amehotubia Maelfu ya raia wa Russia, ndani ya Uwanja wa Luzhniki ambapo Ilipigiwa Fainali ya Kombe la dunia 2018. Putin ametoa hotuba hiyo kuelekea kumbukumbu ya Mwaka Mmoja tangu apeleke Majeshi Ukraine. Pia amesema Nchi inajuvunia Askari wake wanaopigana vita huko Ukraine

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Pamoja na kuwa na rekodi hii ya UTENDAJI ULIOTUKUKA ndani ya Jeshi la Polisi lakini niliamua Kwa HIYARI YANGU MWENYEWE kuachana na Jeshi hilo ili nifanye kazi inayohusu HAKI za watu Kwa WELEDI mkubwa.

PMadeleka's tweet image. Pamoja na kuwa na rekodi hii ya UTENDAJI ULIOTUKUKA ndani ya Jeshi la Polisi lakini niliamua Kwa HIYARI YANGU MWENYEWE kuachana na Jeshi hilo ili nifanye kazi inayohusu HAKI za watu Kwa WELEDI mkubwa.

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

@HKigwangalla⁩ Kumbuka sisi tulipitia haya yote ili tu nyinyi muwe Wabunge… Wakati ule ukiwa Waziri unamrusha Baba wa familia ya watu vichura pale uwanjani … Sasa mshajua Mama ⁦@SuluhuSamia⁩ hataki ‘damu’ mikononi mwake mnabaki kudata, mnaweweseka tu Wadwanzi!

TheRealJongwe's tweet image. ⁦@HKigwangalla⁩ Kumbuka sisi  tulipitia haya yote ili tu nyinyi muwe Wabunge… Wakati ule ukiwa Waziri unamrusha  Baba wa familia ya watu vichura pale uwanjani … Sasa mshajua Mama ⁦@SuluhuSamia⁩ hataki ‘damu’ mikononi mwake mnabaki kudata, mnaweweseka tu Wadwanzi!

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

This is the day that the Lord has made. We shall rejoice and be glad in it! #EACYouthParliament21

EACYParliament's tweet image. This is the day that the Lord has made. We shall rejoice and be glad in it! #EACYouthParliament21

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

Today Young people from all over East Africa are convened at the East African Community Headquarters in Arusha to take part in the #EACYouthParliament21 a project under our Youth Parliament Program. @FarajaAfricaFdn @actionaiduganda

EACYParliament's tweet image. Today Young people from all over East Africa are convened at the East African Community Headquarters in Arusha to take part in the #EACYouthParliament21 a project under our Youth Parliament Program. 

@FarajaAfricaFdn @actionaiduganda

Thanks to @EA_Bunge for engaging young people in key decision making processes and to the @Parliament_Ug Also thanks the Speaker @JacobOulanyah & @martin_ngoga Delegates from 🇺🇬 🇰🇪 🇹🇿 🇷🇼 🇸🇸 🇧🇮 are already on their way to the 4th #EACYouthParliament21. Thanks to our partners.

Wabwire1's tweet image. Thanks to @EA_Bunge for engaging young people in key decision making processes and to the @Parliament_Ug. Also thanks the Speaker @JacobOulanyah & @martin_ngoga. Delegates from 🇺🇬 🇰🇪 🇹🇿 🇷🇼 🇸🇸 🇧🇮 are already on their way to the 4th #EACYouthParliament21. Thanks to our partners.

I'm very elated to be part of the East Africa Youth Parliament. Eagerly to represent other youth across East Africa regions. #EACYouthParliament21

KidigaJames's tweet image. I'm very elated to be part of the East Africa Youth Parliament. Eagerly to represent other youth across East Africa regions.
#EACYouthParliament21

Nina 🇹🇿 💋 Reposted

The measurements put up as a way of reducing the spread of Covid-19 led to a slow down in the East African community. Hon. Vivian Kabasinga. #EACYouthParliament21

FarajaAfricaFdn's tweet image. The measurements put up as a way of reducing the spread of Covid-19 led to a slow down in the East African community. Hon. Vivian Kabasinga. #EACYouthParliament21

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.