Wilson Leguna
@legunajoSoccer,Wrestling,Social & Politics
Similar User
@English_snow2
@mwamba_wakusini
@KisongaRauce
@Hulilo_BM
@Rostam16_
@ChaliiYaAr
@DrAlhashish
@Muqbil2018
@DuruUpdates
@kharryson95
@TibenganaBituro
@abraham_onesmo
@Ludan180
@kitoileena
@EmmanuelKilaza
Ifike wakati TUKATAE UONEVU wa mara kwa mara ambao POLISI wamekuwa wakimfanyia MDUDE NYAGALI. Kama ana “MAKOSA” yoyote, SHERIA ichukue mkondo dhidi yake. Hii nchi SIYO GHETTO na wala MDUDE NYAGALI SIYO MKIMBIZI kwenye nchi hii. Huo 👇 USHETANI HAUKUBALIKI. @MariaSTsehai
Mungu Ampigamie...
KADA maarufu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Mpaluka Nyagali amemburuza kartini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe kwa kumshikilia kinyume cha sheria. Katika Shauri hilo Namba 33247 la mwaka 2024 lililofunguliwa kwa hati ya dharula Mdude atawakilishwa na Rais…
"Soka Amepotezwa, Ali Kibao ameuawa Tumenyamaza" :~ Padre Charles Kitima
Neymar Jr talking about African players.
Walimu hawajitsmbui,wana makundi,kuna machawa,hao hawana shida,hulipwa vizuri na hupewa chapuo la kazi za ziada namarupu rupu,hawa wanaolalamika,ni tofauti,lkn ikifika kipindi cha uchaguzi,wanaogopa dola,wanapendelea CCM! Ndio maana tunaitaka #KatibaMpya ili kuondoa ujinga huu!
Chama Changu, tumefikaje huku? Kumbukeni Hawa waalimu ndio tunaowategemea kwenye kuiba kura. Walipeni haki zao tafadhali.
...kwa kuwa walishindwa, wawapishe wengine, sijajua kama huko majina ya wapinzani yalirudi,kama yapo, hao ndio viongozi wanaofaa, ni bora hawa wamejisema wenyewe kuwa hawafai!
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Wameanza kutubu🤣🤣🤣
...hakika..uoga wetu ndio nguvu yetu, tusimame pamoja kuidai #KatibaMpya huu ujinga unauendelea utakoma!!
SATIVA, usikubali kuuziwa woga. Get up, stand up / Stand up for your right / Get up, stand up / Don’t give up the fight.” — Robert 'Bob' Nesta Marley and the Wailers, , “Get Up, Stand Up” - 1973 Robert 'Bob' Nesta Marley anaanza kwa kusema Preacherman, don't tell me/Heaven is…
ICC is backing terrorism
Another masterclass by the great Douglas Murray.
...hata wakikublock, wengine wakicomment na kuwa tag @tanpol , wataipata hiyo tweet, kifupi wanatakiwa kujitambua, wakifanya jazi kwa weledi, kufuata PGO, co maelekezo ama ushawishi wa kisiasa, nchi itabadilika. #KatibaMpya ndio m40 wa yote haya!
Mbaya zaidi wananiblock kwenye page yao. Hii inamaanisha wanaona malalamiko yangu wanaleta DHARAU.
....mkiwadunga sindano wanacheza hawa...tunapenda wacheze ili mkifungwa msiwe na sababu...mkifunga tujue mlikua full kikosi...
“Tumejiandaa vyema kwenda kuwavaa Al Hilal siku ya Jumanne, Wachezaji wapo fiti isipokuwa baadhi ya wachezaji waliumia kwenye mechi za Kimataifa ambao ni Aucho na Mzize, lakini Boka pia aliumia kwenye mchezo wa ligi. Daktari atatupatia jibu kamili juu ya hali zao kama wataweza…
🚨🚨ANOTHER ENFORCED DISAPPEARANCE OF A YOUNG MAN IN #Tanzania‼️ Vicent Peter Masawe Aka Babuu / Bright disappeared Nov 18, 2024 he was driving his car plate number T 642 EGU - Ractis Old Model. He lives in Kigamboni, Dar Es Salaam and works in Magomeni. On the day he…
Kuna kitu hakiko sawa! Kwa nini hawajamwachia Mdude? 👉🏽Hata ukamataji ulionyesha kuwa waliyeanza naye na kumwumiza ni @mdudechadematz 👉🏽wamekaa naye separately na walikataa kusema yuko wapi 👉🏽Baadaye wakakiri wako naye ila mwanasheria hakuweza kumwona. 👉🏽Mwishoni wamewaachia…
Usiku huu mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mhe. @TheRealJongwe pamoja na viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa kituo cha Polisi Vwawa wameachiwa kwa dhamana.
Naomba Repost 400 kwa MBEYA. HAKIKA HUU SIO MKOA WA MAFALA.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
...japo ukweli unauma, lkn ndio ukweli wenyewe...tumeupata...poleni sana wahanga... We should condemn police abduction and brutality...wasiojulikana wanajulikana sasa, na licha ya kuwaumbua lkn bado wanaendelea bila uoga...inasikitisha mno,uoga wetu ndio kaburi letu!
MMEJIONA SASA KUWA HAMUELEWEKI MNATAKA NINI EEE!!? YANI NI HAMJUI MNACHOKITAKA!! Wapo waliotekwa wakarudi wakiwa hai, wakachagua kukaa kimya, mkawakebehi/mkawadhihaki/mkawa-bully/mkavuka na mipaka mkawatusi kwa kuwaambia walibakwa wakarekodiwa ndomana hawaongei tape…
MMEJIONA SASA KUWA HAMUELEWEKI MNATAKA NINI EEE!!? YANI NI HAMJUI MNACHOKITAKA!! Wapo waliotekwa wakarudi wakiwa hai, wakachagua kukaa kimya, mkawakebehi/mkawadhihaki/mkawa-bully/mkavuka na mipaka mkawatusi kwa kuwaambia walibakwa wakarekodiwa ndomana hawaongei tape…
Inasikitisha kuona maneno yana toka kwenye kinywa cha Rais.
...hatuko huru ktk nchi yetu wenyewe, waliojipa madaraka ya kututawala wanatufanya tuwe watumwa ktk ardhi yetu wenyewe, tuidai kwa nguvu #KatibaMpya sasa, Umoja wetu ndio nguvu yetu, tuunganishe nguvu,kwa pamoja tunaweza!!
Utekwe, uteswe mara mbili. Uviziwe, uekewe madawa, iwe kesi, ukae mwaka jela, sasa ungoje hukumu. Mdude hastahili mateso ya namna hii katika nchi yake.
...inauma mno, vaa viatu vya mzazi wake...ndio maana tunaitaka #KatibaMpya sasa...
Huyo mtoto ni muhitimu wa kidato cha SITA na alikuwa na NDOTO za kuwa MWANASHERIA ila NDOTO zake ziilikatihwa kwa kupigwa RISASI na mapolisi sababu aliandamana KUDAI haki za WATOTO wanaotekwa na kupotea LEO angekuwa ni miongoni mwa vijana wanaojiunga na CHUO KIKUU
United States Trends
- 1. Chargers 52,7 B posts
- 2. Chargers 52,7 B posts
- 3. Quentin Johnston 4.923 posts
- 4. #WWERaw 61,1 B posts
- 5. Lamar 175 B posts
- 6. Drake 329 B posts
- 7. Herbert 18,9 B posts
- 8. Canada 410 B posts
- 9. Derrick Henry 9.114 posts
- 10. #BALvsLAC 8.879 posts
- 11. Kofi 15,4 B posts
- 12. Justice Hill 2.755 posts
- 13. OG Anunoby 3.880 posts
- 14. Ladd 4.510 posts
- 15. Bateman 7.732 posts
- 16. Dobbins 5.626 posts
- 17. John Harbaugh 3.805 posts
- 18. #Knicks N/A
- 19. Elfrid Payton 3.629 posts
- 20. #MNFxESPN N/A
Who to follow
-
Chelsea
@English_snow2 -
Philbert James
@mwamba_wakusini -
Rauce Kisonga
@KisongaRauce -
Bigirimana
@Hulilo_BM -
رستم رمضان
@Rostam16_ -
Arusha boy
@ChaliiYaAr -
Dr.Eiyob Saed🩺⚔️🥼
@DrAlhashish -
Mwinyiakida,M,M.
@Muqbil2018 -
Mjukuu wa Ibada
@DuruUpdates -
kharry_de_prince
@kharryson95 -
Mjumbe
@TibenganaBituro -
abraham onesmo
@abraham_onesmo -
Mansa Mussa
@Ludan180 -
Kitoi Leena🇧🇷
@kitoileena -
XF-2821
@EmmanuelKilaza
Something went wrong.
Something went wrong.