@mzazikijana Profile picture

Frère

@mzazikijana

Humble yourself, humble your dreams!

Similar User
Mnigajia photo

@nicomwaih

EL-BIKE⁰⁰¹🤔 photo

@Official_ElBike

Mkataumeme photo

@Shabiki255

D I N G O O photo

@dingoopoul97

AGAFE photo

@tussiwe

Michael Ng'oja photo

@michaelingoja12

SungweCost photo

@sungweone

kibwerebwere__ photo

@KiBWeReBWeRe_

KamugishaJr. photo

@kamugisha001

Anderson photo

@anderson_saimon

AKITEKTI photo

@mruma255

king lameck photo

@king_lameck

KITASA🔑🧥 photo

@kikotiofficial

MLATINO 🏴 photo

@lexmlatino

Yes It's me photo

@Itsmeofficiel

Frère Reposted

Watu wa hali ya chini wanaoitwa Mafukara huwa hawana kinyongo na Mtu, ukienda Msibani wao ndio watakesha makaburini kupasua ardhi ukapumzike, wakati Washikaji zako wapo busy kukupost status na kusubiri mapicha ya mwisho. Watu wa hali ya chini wapo busy Kariakoo kupasua kuta,…


Frère Reposted

Mabinti wa siku hizi hawaamini kabisa kwenye hizi progress... Wanataka ukimtongoza leo kesho ndoa kesho kutwa mna nyumba, wiki ijayo mna biashara, mwezi ujao watoto, baada ya miezi mitatu umjengee wazazi wake kabla ya wako, muwe na apartments za kupangisha kila wilaya !!

Ndio maana yule Mama alilia sana. Mungu aendelee kumtia nguvu.

Tweet Image 1


Frère Reposted

Wabunge wa viti maalumu wafutwe, sio kwa ubaya ila hawatusaidii kitu ni praise team.


Frère Reposted

Siasa Ndo Inaamua Sukari Iuzwe Shingapi/ Na Inapanga Kaliua Ni Wapi Wajenge Zahanati/ Na Ijue Tofauti Ya Mwanasiasa Mwanaharakati/ Mmoja Ndo Mzalendo Mwingine Maslahi Binafsi/ #MikatoYaMkato💐


Frère Reposted

EP yangu mpya Ya ‘_NUSU PEPONI NUSU KUZIMU ‘ imetoka tayari kwenye All Digital platforms Worldwide pia unaweza kupitia LINK ipo kwenye BIO yangu🤟🏼

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Frère Reposted

Shule ilitudai Akili,Mitaa ikatudai Mafanikio,na Wazazi wanatudai shukrani Ikitokea umefika kabla yetu,Usitie Miba katika njia zetu..Tumebakiwa na Mungu tu!!


Frère Reposted

Zamani wanaume tulikuwa tunatengenezwa from the very family level, yaani ukiwa mtoto unapewa treatment za kiume mpaka unakuwa unakuwa shupavu kabisa. Ilikuwa kama unalia unaambiwa "Nyamaza mtoto wa kiume halii hovyo, unaliaje mwanaume" hii unakuwa nayo kiasi kwamba hata shuleni…


Frère Reposted

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA , BAADA, NA WAKATI WA INTERVIEW YA KAZI. Namba tano zitakusaidia sana. KABLA YA INTERVIEW, ZINGATIA: 1. Chunguza kampuni na msimamo yao. 2. Kagua wasifu(CV) wako na uandae hoja za kuzungumza. 3. Jizoeze maswali ya kawaida ya mahojianokwa ufupi na…

Tweet Image 1

Frère Reposted

🦅ACHANA NA BATTERY HEALTH kwenye iphone Leo nakusanua namna nyingine ya kuangalia kama iphone yako imetumika kwa muda gani ama haijatumika kabisa 😅 kupitia Cycle counts sio battery 🪫 health hii unakuta kabisa iko 100% lakini simu imetumika miaka na haikai na charge

Tweet Image 1

Frère Reposted

HIZI HAPA 🔥SERIES KALI🔥 AMBAZO MWARABU👰 AMEKIWASHA SANA🔥🎬🍿 UZI🧵 01.FAUDA🔥🔥🔥

Tweet Image 1

Frère Reposted

MASWALI na MAJIBU 11 ya INTERVIEW yatakayokuweka mbele ya washindani wako. RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵... Ajira!

Tweet Image 1

Frère Reposted

Baba kasema,Simple like that.😂


Frère Reposted

Kuna TOFAUTI kubwa sana kati ya USHOGA na HAKI ZA BINADAMU. Hakuna SHERIA yoyote inayosema kwamba USHOGA ni “HAKI YA BINADAMU”. Ni kweli, MASHOGA ni BINADAMU na WANASTAHILI HAKI kwa UBINADAMU wao na SIYO kwa USHOGA wao. Narudia tena, USHOGA siyo HAKI.😀😀


Frère Reposted

Quality movies to watch this weekend (thread)

Tweet Image 1

Frère Reposted

Latest action movies to watch this weekend - 2023 (thread)

Tweet Image 1

Frère Reposted

Tupate Madini ✍✍👇 Tambua Namna ya kujua kama mileage ya Gari unayotaka kununua Yard au kwa mtu ni sahihi au imechezewa..kurudishwa nyuma👇👇

Tweet Image 1

Frère Reposted

"Watoto wa kwanza (first born) wanabebeshwa na kubeba mizigo mikubwa ya wajibu na lawama. Matarajio makubwa ya familia juu yao yanawabebesha wajibu, na wanaposhindwa kuyafikia matarajio hayo wanabebeshwa mzigo wa lawama. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwawekea wepesi."

Tweet Image 1

Frère Reposted

💯

Tweet Image 1

Frère Reposted

Respect 👏 #UCL


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.