@BabaPforreal Profile picture

Baba P

@BabaPforreal

-I'm a verified Tekton -Father -Teacher -Poet -MINOR SETBACK MAJOR COMEBACK THAT'S MY FAVORITE -Ukombozi ni maamuzi -Political neutrality!

Pinned

Mitandaoni kuna masikini wanaoweza kukuaminisha kwamba wewe ndio masikini wa mwisho na hujawahi kupiga hatua wala huna progress!!!


Mpaka madaraka ina kilevi don't you see??!!!!! 🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎵🎵🎶🎶✍✍✍🔥🔥🔥


Pesa ndio sabuni ya roho ambayo ukiifulia haitoi povu!! Ila Stamina😔😔😁😁😂😂


💪

Uwekezaji wa bilioni 160, ajira elfu 2, na nyingine 3 zisizo za moja kwa moja. Na sasa viwanda vyote vinavyozalisha bati haviitaji kuagiza tena malighafi kama koili na nyinginezo kutoka nje vyote sasa kuzalishwa hapa Kibaha na Kinglion



Oyaa @innocenzo__ nakuchallenge wewe😁😁

Praise the Lord!! Nime'accept the challenge ya Joel Lwaga #Olodumare go and listen cc @Allycaydo1 @SharoGangstar @rchboy9 @BabuBomba4 @mlevi_shemtoi @JoellwagaMusic @JohMakini @nikkwapili the link >>youtu.be/77fqCMOU2dU



Praise the Lord!! Nime'accept the challenge ya Joel Lwaga #Olodumare go and listen cc @Allycaydo1 @SharoGangstar @rchboy9 @BabuBomba4 @mlevi_shemtoi @JoellwagaMusic @JohMakini @nikkwapili the link >>youtu.be/77fqCMOU2dU


It's your boy ya Joh Makini!!! Ni Joh na Mchopanga ndio wakongwe pekee wa rap wanaoikanya generation Z kwenye uwanja wao wa nyumbani na wanatii vyema!!


Joel Lwaga's challenge is accepted here... Kesho naiweka YouTube tumsifu na kumtukuza MUNGU kwa ukuu wake... Note: My condolences to the family who lost their beloved one in Kariakoo incident!!! MUNGU awatie nguvu!!🙏🙏


Izzy!

Lord Eyez was on beastmode on Saturday!! I should have expected that after seeing the Superman-like Cape. Dope performance offsar SALUTE !! #CastleLiteUnlocks #TheAftermath

Tweet Image 1


Mimi ni mtanzania nitakayesimama kuitetea mahakama ya Tanzania popote pale.. bila pesa, bila connection, bila kumjua mtu, bila cheo niliendesha kesi na watu wenye hivyo tajwa hapo juu nikashinda na kupata haki yangu!! Mbali na mahakama Mungu pia anakua sehemu ya haki🙏🙏


Unju is more than this kinda pen game!! At his age now he should bring more inspirational shits on!!

Wanakufa na nyege hawapati hata blowjob' Ukaleta pigo za kidada ukashindwa kusimama dede mbele ya Diddy ulivyo dodo lzma upigwe dude . @NikkiZohan



Baba P Reposted

Orbit Ninachojua Ni Independent Si Ugumu Nauelewa But Sio Mpya. Dwin Si Yuko Bongo Records Jikoni Kabisa Au Yupo Kwenye Foleni Bado? Game Boi Kweli Kabisa Sijui Shida Imekuwa Nini But He’s Good 👍


Yes Dwin Yuko pale nadhani foleni... Orbit hela kabisa ile, yes sio mpya ila utaratibu wake wa kuja na kuondoka akirudi unamfanya aonekane mpya.. Game boy had a good start and consistence wahusika wamrudishe kwa nguvu zote!!

Orbit Ninachojua Ni Independent Si Ugumu Nauelewa But Sio Mpya. Dwin Si Yuko Bongo Records Jikoni Kabisa Au Yupo Kwenye Foleni Bado? Game Boi Kweli Kabisa Sijui Shida Imekuwa Nini But He’s Good 👍



Yule Game boy wa Gentrize na Nisher alikua anakuja sijui nini kimenasisha njiani .. hopefully kuondoka kwa Nisher... Dwin amekosa usimamizi mathubuti nadhani lakini angekaa pale. Above all natamani sana atokee mdau awekeze kwa Orbit na Rafu Mc halafu wabaki na identity ile ile!

South Africa Kila Mwaka Kwenye Game Yao Ya Hip Hop Lazima Kuna Talent Mpya Zitajitokeza Na Unaona Future Mbele Yao Mwaka Unaisha Huu Bongo Yetu Nani Mpya Masikioni Mwako Na Unaona Anaenda Kufanya Maajabu?



Na hapo ndipo mkeo atataka tuvunje amri ya sita/ Namwambia mama hapana imekatazwa kwa kanisa!! ✍✍✍🎶🎶🎶🔥🔥🎵🎵🔥🔥


Baba P Reposted

Ni kweli mzigo mpaka uwe mwingj ndo unaenjoy hizi pesa ndogo ndogo bora kuzungusha tu


Baba P Reposted

Chek hesabu hapa.

⛳️ UTT AIMS Ili kujua kwa siku pesa yako inakuwa kwa kias gan chukua pesa iliyopo zidisha kwa 0.000333 Mfano 2,000,000 *0.000333=666 Hyo ndo faida kwa siku, kwa mwez ni 1% pesa iliyopo = 12% inaweza kushuka or kupanda kutokana na hali ya soko



Ukiweka million 3 UTT baada ya miaka 3 unaweza kunja shilingi ngapi?...


Noma masta... Dude la moto sana...

Beat na mashairi yaligongwa watu wakiwa na hisia kali sana,nadhani machizi kibao wa bakta/Chuga walikuwa na hasira sana baada ya Abou kushambuliwa na machizi Dizim. You know inakuwaje ngoma ikipigwa kwa hisia.



Nkukule Adenkule, you're my Simi/ Mguu hapa mguu kule, kati mimi/ Mkufunzi njoo shule, class mimi! 🎶🎶🎶🎵🎵🔥🔥🔥✍✍✍✍✍Tototooo....


Nani aligonga huu mdundo wa N 2 N #ShowLove?... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Once again King Izzy terrorized the jam🔥🔥🔥🔥


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.