@michaelingoja12 Profile picture

Michael Ng'oja

@michaelingoja12

#realestatedealer #supplierofbuildingmaterials mchanga, kokoto, kifusi, cement, nondo, mawe,. #expertinaccountandfinance, #progressive, contact #0659726402.

Similar User
Joseph Maduka photo

@NtemiMaduka

MPEMBA HALISI🤫 photo

@Mpemba77

King photo

@KingOxle

KCB © photo

@hugokisima

Liv photo

@ollymush

Liz Fred photo

@LizFred6_sp

2m'z photo

@TalianiTumaini

Victor Masatu photo

@VictorMasatu

Negron photo

@negronbey

Nusu Kipenyo photo

@NusuKipenyo

#that.felix.guy 🇺🇬™🌍 photo

@felix_myles72

DoJo photo

@Boxtz

Didistone photo

@Didistone25

Queen Hurricane ❤ photo

@MyCoconut5

Zuma Lucky Johnson photo

@johnson_zuma

Ooh, I mean basi ipimwe upya. Atleast kila jengo lipate barabara nyuma na mbele kama alivyopendekeza mama tibaijuka

Mzee, kariakoo ni surveyed area, urasimishaji hufanyika kwenye unsurveyed areas. Au nitakuwa sijakuelewa?



Michael Ng'oja Reposted

Binafsi bado siamini Dodoma nasubir regime nyingine. Growth ya dodoma inategemea political factor zaidi sasa naogopa kuiweka kwenye rank za juu ila Dar es salaam na arusha ina sababu nyingi zinazo fanya market yake stable sio siasa pekee


Michael Ng'oja Reposted

Hongera sana, nilitaka kushangaa makao mkuu kweli isahaulike🤣


Michael Ng'oja Reposted

Amen 🙏

- Namuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutokutimiza wajibu, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana



Michael Ng'oja Reposted

Leo Bungeni Dodoma #Mchetungwa

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Michael Ng'oja Reposted

Leo Bungeni Dodoma. #OdoUmmyBungeni

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Michael Ng'oja Reposted

Kama kuna mtu nilimkosea humu wakuu munisamehe naendelea kuwaomba msamaha. Msiache kurepost post za biashara yangu nategemewa. 🙏🏿😢


Michael Ng'oja Reposted

MHE UMMY ATIMIZA AHADI YAKE KWA SHINA LA CCM LANGO LA JIJI KWAMINCHI NA CENTRAL JIJINI TANGA Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe @ummymwalimu amekabidhi televisheni janja yenye ukubwa wa nchi 65, jenereta na masufuria 2 vyote vikiwa na thamani ya shilingi millioni 4 pamoja na…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Michael Ng'oja Reposted

📍Tanga Mjini ▪️MHE UMMY ATIMIZA AHADI YAKE KWA SHINA LA CCM LANGO LA JIJI KWAMINCHI NA CENTRAL JIJINI TANGA Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu amekahidhi televisheni janja yenye ukubwa wa nchi 65, jenereta na masufuria 2 vyote vikiwa na thamani ya shilingi…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Michael Ng'oja Reposted

Leo Bungeni Dodoma

Tweet Image 1

Michael Ng'oja Reposted

Leo #JimboniTangaMjini ----- Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mhe. Ummy Ally Mwalimu, leo alhamisi Oktoba 17, 2024, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Mhe. Ummy ametekeleza haki yake hiyo…


Dulla planet anawapa sana kipaumbele I mean nafasi Travella bang na itsyoupeople kwenye kipindi pale @CrownMediaTZ @DullahTheking2 .


Michael Ng'oja Reposted

Rest In Peace Major General Charles Mbuge.

🔴TANZIA

Tweet Image 1


Michael Ng'oja Reposted

Shime tujitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Mkaazi ili kushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Tweet Image 1

Michael Ng'oja Reposted

Dodoma kila mtu ni mtu wa System


Michael Ng'oja Reposted

📍Tanga ▪️Mhe Ummy Mwalimu ashiriki matembezi ya UVCCM wilaya ya Tanga Kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Mbunge wa Tanga Mjini ,Mhe . Ummy Mwalimu Tarehe 5-10-2024 ameshiriki Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Tanga yenye lengo la kuhamasisha wananchi…

Tweet Image 1


Binafsi hii ya kuanzia maisha ndo napambana nayo ikamilike kwanza

Kuna maeneo ya kuanzia maisha,kuna maeneo ya kuishi baada ya kuwa vizuri kiuchumi na kuna maeneo ya kustafia au kuzeekea. Vipi wewe sasa hivi unaishi kwenye eneo lipi kati ya haya..? Cc @lapexproperties

Tweet Image 1


Michael Ng'oja Reposted

Hello Moshi❤️


Michael Ng'oja Reposted

👉🏽 Mwanangu "Jay Melody" amefanya niusikie "ujayMelody" kwa kila msanii wa kuimba anaepita na beat ya Producer muimbaji "jiniX66" 😅 Sio kwa ubaya, na wala sio kwajili ya kuwakosea heshima wengine, ila nadhani ni kutokana na Chemistry iliyopo kati yao.... Pamoja na impact ya…

Tweet Image 1

Michael Ng'oja Reposted

Hapa nilipo nipo na kitita cha shilingi 1000, bado kitita cha shilingi 80,499,000/= ninunue gari la ndoto yangu ..... Mpaka kieleweke 😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.