Eng. Abbas Maluka
@engmalukaCivil Engineer. Entrepreneur. Chelsea FC fan. I like Politics, CCM💚. I am the Champion in 🎮.
Similar User
@Malone_Che_
@BintiMkulima
@LolcTanzania
@achingumbi
@mlindwa83
@IshengomaPereus
03/11/2021|Udzungwa waterfalls|800m high from sea level|500m high from Sanje Village|With my Dota, Now Mama Djà @ Uduzugwa National Park. MANG'ULA Morogoro instagram.com/p/Cnq9ojqLS-q/…
+1 today, thanks God for this gift of life. @ Udzungwa Water Falls instagram.com/p/CVzNunOokO7/…
Namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi kinasimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020 ni dhahili kuwa serikali inaenda kufanya makubwa Sana katika kuletaji maendeleo nchini. CCM imara, Serikali imara 🙏 @ccm_tanzania @SuluhuSamia @DrHmwinyi @DanielGChongolo @hamdu_shaka
Tulieni 2025 tunajambo letu. Official 2025 - 2030 Raisi wangu ni SSH @SuluhuSamia @ccm_tanzania @uvccm_tz #Kaziiendelee #TwendeNaSSH
Hongera sana mwana msimbazi mwenzangu kaka wa Taifa na mtu mwenye hekima na busara nyingi sana Mhe @jmakamba kwa uteuzi. Kwahakika naimani sasa umeme kila kitongoji linaenda kutimia. instagram.com/p/CTu8pHGLuR7/…
Mabibo external @London Lounge #pichazasimu📸 @ London Lounge instagram.com/p/CTrX1mrLtpb/…
😍 Thanks to @ThreeUK, I am giving away a Chelsea 2021/22 away shirt! All you have to do is... 1) RETWEET this tweet 2) LIKE this tweet 3) FOLLOW @UberCheIseaFC and @ThreeUK Competition ends Friday 10th September! 🔥
World Photography Day #📸byme Wakali wa picha za simu @kikwete @malukakhamis @mustafashujaa @director_scoobs @__.monalisa instagram.com/p/CSxDbzXjXS8/…
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Hiyari yangu katika chanjo ya COVID-19 nitaitumia kwa kuchanjwa. Naamini Mungu ndo mlinzi wa afya yangu lakini amenitaka niweke juhudi katika maombi yangu ya kila jambo hivyo kuchanjwa kwangu ni juhudi ya kumuomba aninusuru na ugonjwa huu. Naungana na Raisi wangu🇹🇿🙏
Nimemsikiliza ndugu @mgambatz TBC ARIDHIO leo, akiongelea juu ya ongezeko la Tsh 50 katika mafuta hapa inchi lililowekwa katika bajeti iliyoanza July 2021, ameeleza safi sana na nimefarijika kumsikia na hasa alivyoeleza kwa umahili masuala ya kiuchumi. Hongera @TBConlineTZ
Busara yako katika matendo yako, matamshi yako, hisia zako, tabasamu lako, huzuni yako, kutembea kwako, kukaa kwako, kusikikiza kwako, kuuliza kwako, kujibu kwako na ku (ji)elezea kwako, kunajenga ukuaji wa thamani yako kwenye mioyo ya watu wanaokuzunguka. @ElimikaWikiendi
You are a lion bcoz you have that lion Spirit, the winning power, wining mentality N you are the winner. There is always next time. @diamondplatnumz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 @bet_africa @betawards instagram.com/p/CQpbg8ILIy6/…
United States Trends
- 1. #BlueBloodsFinale 12,5 B posts
- 2. #SmackDown 57 B posts
- 3. #SantaIsCoco N/A
- 4. #TheLastDriveIn 4.419 posts
- 5. Standard 109 B posts
- 6. #OPLive 3.977 posts
- 7. Embiid 8.967 posts
- 8. Blazers 2.252 posts
- 9. Chris Paul 1.892 posts
- 10. Daylight 89,8 B posts
- 11. Harper Murray N/A
- 12. Reggie Bush N/A
- 13. Margaret Thatcher 3.489 posts
- 14. Michin 9.162 posts
- 15. The Guy 326 B posts
- 16. Mayorkas 20,4 B posts
- 17. Dayton 2.529 posts
- 18. Montana State 1.448 posts
- 19. Melo 23,7 B posts
- 20. Sydney Sweeney 27,1 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.