@LigangaHilda Profile picture

Hilda Liganga

@LigangaHilda

no it's not too hard

Joined March 2021

Mmm

Countdown ya Amplifaya leo inahesabu za MILIONI 31 za hili Daraja hapa Morogoro lililozua gumzo jana…. ikumbatie CLOUDS FM @CloudsMediaLive 7- 9 PM

millardayo's tweet image. Countdown ya Amplifaya leo inahesabu za MILIONI 31 za hili Daraja hapa Morogoro lililozua gumzo jana…. ikumbatie CLOUDS FM @CloudsMediaLive 7- 9 PM
millardayo's tweet image. Countdown ya Amplifaya leo inahesabu za MILIONI 31 za hili Daraja hapa Morogoro lililozua gumzo jana…. ikumbatie CLOUDS FM @CloudsMediaLive 7- 9 PM

Mmmm

Duuuu

Dogo @Kigogo2014 tunakupa Onyo la mwisho; ukijifanya kichwa NGUMU tunakubutua mchana kweupe ikiwa ni pamoja na kuweka picha zako, watoto wako, wanawake zako, unapoishi na washirika wako, ikiwa ni pamoja na transactions za Pesa unazolipwa na wanaokulipa. You have been warned. 🔥

Hilda Liganga Reposted

Pole sana mama japo hata sisi Jana tulisikitishwa sana na kauli zako juu ya mikutano ya hadhara na katiba mpya. Maumivu tuliyoyapata ni makubwa sana kwakua katiba nzuri ndio msingi bora wa maendeleo

Hilda Liganga Reposted

Mimi ningekuwa ndugai ningeanza kufanya window shopping ya jeneza langu.

siadevinci's tweet image. Mimi ningekuwa ndugai ningeanza kufanya window shopping ya jeneza langu.

Pumzika kwa Amani babaaa... Kazi umeimaliza. Mwenyezi Mungu akupokee.

Hakuna dini inayoakisi matamanio yako @NectoKitiga Kazi yake Mola haina makosa, Anapotangulia mwenzako hata kama unatofauti nae vipi ni kumuombea Safari Njema. Sisi sote ni wasafiri hatujui cku yetu. Pumzika kwa Amani Eng Mfugale mwendo umeumaliza.

MazruiOg's tweet image. Hakuna dini inayoakisi matamanio yako @NectoKitiga Kazi yake Mola haina makosa, Anapotangulia mwenzako hata kama unatofauti nae vipi ni kumuombea Safari Njema. Sisi sote ni wasafiri hatujui cku yetu. Pumzika kwa Amani Eng Mfugale mwendo umeumaliza.

R.I.P....papaaa

Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Mhandisi Patrick Mfugale (Mtendaji Mkuu-TANROADS). Nitaukumbuka mchango mkubwa katika ujenzi wa miundombinu yetu hasa barabara, madaraja, reli na umeme. Pole kwa Familia na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina

SuluhuSamia's tweet image. Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Mhandisi Patrick Mfugale (Mtendaji Mkuu-TANROADS). Nitaukumbuka mchango mkubwa katika ujenzi wa miundombinu yetu hasa barabara, madaraja, reli na umeme. Pole kwa Familia na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina

United States Trends
Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.