Similar User
@DeoMunishi
@HaongaHon
@HilmiHilal88
@HenryKilewo
@MayorIringa
@Eng_Matarra
@franklin_tissa
@chadema1damuni
@ReformationTz
@PKUSHOKA
@FerdianaMukama
@jjmbwambo
@ItsTemba
@ChaliiYaAr
@king_kinya
Mara usile sembe, Usile nyama nyekundu, Usile wali usiku, usile ngano (mikate), Usinywe chai, Ama mnataka kutuua na njaa Mbaki mnakula Peke yenu?
Kinyume cha sheria na Katiba. Ofisi ya RCO Mbeya inazuia Mawakili wa Mdude Mpaluka Nyagali kuonana na Mteja wao.Toka Asubuhi jitihada zote zimefanyika lakini kumekuwa na michezo ya kuhangaishana. Kwa Mara nyingihe tena tutaendelea kurudi tena Mahakamani kuhakikisha Mteja huyu…
Zamani nilikuwa nikisikia mtu kajitoa muhanga nilikuwa nashangaa sana na nilikuwa najiuliza mswali yafuatayo; 1.Mtu anayejitoa muhanga aogopi kifo au ulemavu..? 2.Mtu anayejitoa muhanga amechoka kufaidi raha za Dunia na anasa zake.? 3.Mtu anaye jitoa muhanga hana huruma na…
Mtendaji wa mtaa (Asifa uchaguzi msaidizi) wa Mbwamaji,kata ya Somangila wilaya ya Kigamboni Bwana KOILETH KULANGWA (pichani) na Askari wanne wa Jeshi la Polisi wanatuhiwa kumshikia mtutu wa bunduki kichwani Wakala wa CHADEMA aliyekuwa Kituoni Bi LIDYA JOSEPH KIMOLO Kisha…
Meko wa kike a.k.a Jumong au Mama yao.. Yameendelea ya 2019. "MIMI NA MAREHEMU NI KITU KIMOJA"
LILITH UFUNUO USIO SEMWA NB: Hili ni swali wengi mliomba nimuelezee huyu bidada Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam. Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34:14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam.…
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, Ila huruma inaweza Kukufanya Ukafilisika Kabisa.
Natamani wabongo wote wangemjali sana huyu jamaa na kumsapoti kazi zake
PART 1. Huyu baba hana muda mrefu CCM….. Naombeni msevu hii posti na nitawaambia kwanini hana muda mrefu. . Nchimbi ni old school CCM, nikisema old school namaanisha kwamba Nchimbi anazile beliefs za kwamba CCM ina hati miliki ya nchi ya Tanzania na haki ya kutawala milele ila…
CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina…
Licha ya kutekwa na kuumizwa juu ya Harakati zake anazofanya kupitia muziki,Hakuchoka Sasa anataka Kuongea na mama Apewe retweet 1000
Unapotoka Ahsubuhi nyumbani kwako Hakikisha una swali na kuiaga familia vizuri, Maana unaweza kwenda na usirudi Tena.
Hakikisha unakula nyumbani, pikiwa na Mkeo au Mama yako mzazi, usitembee peke yako ikibidi beba silaha. Mkiwa Bar, sokoni, hotelini, barabarani, saluni au kokote, mkiona mwenzenu anachukuliwa tu kama chupa ya chai muwe mnahoji, kataeni na, msindikizeni hadi kituoni kwa uhakika.
Hivi kuna mtu anaweza mpigia kura kweli? Mbona mtaani ni kubaya sana
Ukiona yameanza madharau kwenye mahusiano yako, Kitu kikubwa cha kufanya Anza kumpuuza kwa kila jambo. Yaani punguza kumzingatia tu, Mpe uhuru awe free. Ili achague yeye kuendelea au kukatisha husiano.
Arusha. Kesho Tukutane Uwanja wa Soko la Kilombero kuanzia saa nane mchana. Nyie ni watu muhimu hampaswi kujua habari muhimu kupitia vyombo vya habari tu. Njooni tuzungumze haki.
Mzee Ali Kiibao alifutwa na mtu aliyekuwa na taarifa sahii juu ya safari ya Mzee huyo kwenda Tanga. Mtu huyo naye akalipa nauli ya kwenda Tanga kwa basi lilelile alilopanda mzee Kibao. Alipoombwa taarifa zake ili ziwekwe kwenye passenger's manifest, akakataa
Usipende kutangaza matatizo yako kwa kila mtu kuna watu wanakaa wakisubiri kujua kitu gani kinakusumbua ili wazidi kusheherekea shida zako.
Mwaka 2022 UHAMIAJI ilipanga NJAMA ZA KUNIUA kupitia GROUP LAO LA WHATSUP. Siku chache baada ya kuweka TAARIFA hiyo kwenye Ukurasa wangu wa FACEBOOK, NILITEKWA na baadae KUSHITAKIWA chini ya Sheria ya Makosa ya Mtandao. Muulizeni DPP Mbona hiyo KESI HAIENDELEI TENA?😂😂
United States Trends
- 1. Jokic 11,8 B posts
- 2. Pete 293 B posts
- 3. DeSantis 34,1 B posts
- 4. Kerr 7.041 posts
- 5. Mavs 12,1 B posts
- 6. Podz 3.212 posts
- 7. Clemson 25 B posts
- 8. Nuggets 16,5 B posts
- 9. Brea 2.622 posts
- 10. Wiggins 2.737 posts
- 11. Kentucky 19,2 B posts
- 12. Jamal Murray 1.474 posts
- 13. Bama 41,1 B posts
- 14. Marcus Smart 2.589 posts
- 15. Kuminga 2.285 posts
- 16. NBA Cup 14,8 B posts
- 17. Grizzlies 6.235 posts
- 18. #MFFL 4.020 posts
- 19. azealia 3.687 posts
- 20. #GSWvsDEN N/A
Who to follow
-
Deogratias Munishi
@DeoMunishi -
Pascal Yohana Haonga
@HaongaHon -
Hilmi Hilal
@HilmiHilal88 -
Henry Kilewo
@HenryKilewo -
Alex kimbe(Mayor 2015-2020)iringa
@MayorIringa -
JAPHET MATARRA
@Eng_Matarra -
Franklin Tissa
@franklin_tissa -
Chadema Damuni ✌
@chadema1damuni -
#ReformationsTz🇹🇿
@ReformationTz -
Patrick JK
@PKUSHOKA -
Ferdiana Brastus Mukama
@FerdianaMukama -
Johnson J.Mbwambo🇹🇿
@jjmbwambo -
FRV. Gaspar E. Temba
@ItsTemba -
Arusha boy
@ChaliiYaAr -
king kinya
@king_kinya
Something went wrong.
Something went wrong.