@herieth_mushi Profile picture

Herieth Mushi

@herieth_mushi

Katiba Mpya ni tiba ya demokrasia

Joined May 2023
Herieth Mushi Reposted

Usiwe chawa, Tenda haki inatosha


Herieth Mushi Reposted

5. The Giant Groundsel is a prehistoric plants found on top of Mt Kilimanjaro.

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Siku 58 mnafikiri tutachoka kumdai? Tulisema we will NEVER rest and you will never know peace @SuluhuSamia na genge lako la watekaji! Mrudisheni @DEUSDEDITHSOKA na wenzake! Usifikiri unatujua au kutuelewa watanganyika! You don’t ❌na utakuja kutuelewa umechelewa sana…

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

A breakfast meeting with Bob Amsterdam at the Steigenberger Wiltcher's Brussels earlier today.

Tweet Image 1

Kuna watu wanabeza maandamano kutokua na watu wengi,niwaulize jambo moja malengo ya maandamano yalikua ni nin? 1.Ku raise awareness juu ya mass abduction ya watu wetu na polisi 2.Kuitaka serikali iwaachie mara moja watu wetu inaowashikilia kinyume cha sheria na isiendelee…


Namheshimu sana prof j ,lakin nasikitika kusema kuwa ameshinikizwa kutoa video hio leo ikionyesha ana hali mbaya hapo zaman Fikiria kwa nini imetoka leo? Jibu ni kubadili upepo mitandaono @AbroadTanzania @MariaSTsehai @Advocate_Jebra

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Hureeee! nimeshinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, hapa Lagos Nigeria, Asanteni sana Watanzania kwa kupiga kura na kuhakikisha nina shinda….. tukutane kesho Uwanja wa Ndege! Idumu Mizimu!

Tweet Image 2
Tweet Image 3

Herieth Mushi Reposted

Stay strong @DEUSDEDITHSOKA Haki yako utaipata 👊🏽 Sisi tunaendelea kusema #FreeDeusdedithSoka and #FreeAllPoliticalPrisoners

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Niliwaambia huyu habanduki 😅 na IGP mtamwona kwenye kilele! Wao wanafuata maagizo wanasema kama Mafwele na Muliro Sasa anayetoa maagizo nani mnafikiri? Wataanguka naye 🤣 Eniwei hapa kuna maelekezo ya uchaguzi pia yote yana uhusiano Things will get worse before they get…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Niwaambie tu wapigania haki wenzangu Siku kumi zijazo zitakua za jasho na damu Wapinga haki watatumia kila njia kuvunja umoja wetu 1.kuna connectio/video za utupu za watu maarufu zitavujishwa,yaan mtu atalipwa pesa ajirekodi then itavujishwa ili kubadiri upepo 2.kuna migogoro ya…

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Kuna watu humu mlileta topics mbalimbali na mliona mabango yetu ya #FreeDeusdedithSoka na wenzake mkapita bila comment wala share - mkakoleza tu mijadala yenu Leo eti wanasikitika na kukerwa na utekaji na mauaji - walikuwa wanasubiri nini na why ghafla wamebadilika? Kwamba Samia…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Herieth Mushi Reposted

Hivi @SheikhPonda ulishakemea na kutaka @SuluhuSamia “atoe kauli” kuhusu utekaji wa akina @DEUSDEDITHSOKA na vijana wengine? Inawezekana nimepitiwa.. just curious!

Tweet Image 1

Tegemeeni teuzi tata ili kufunika kadhia hii ya watu kutekwa Tegemeeni migogoro ya kutunga simba na yanga ili kugawanya watu Tegemeeni reshufle za cabinet @IAMartin_ @ExMayorUbungo @MariaSTsehai


Herieth Mushi Reposted

Look at this bright young man abducted by @SuluhuSamia for voicing his dissent 😤 @KGeorgieva @MaEllenSirleaf @VP you were all very vocal about supporting Samia for her gender now we need you to CONDEMN her actions that include ordering security forces to “disappear” young men in…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Herieth Mushi Reposted

‼️ PRAYERS WORK 💯 Sasa tunachotakiwa ni kuongeza sala na kuongeza kelele kutaka @DEUSDEDITHSOKA aachiwe na wengine Mungu ataweka kila kitu sawa but pia lazima tuishi kwa imani na matendo “For truly I tell you, if you have faith the size of a mustard seed, you will say to this…

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Hatutakubaliana na jaribio la kuwapoteza hawa vijana… waachiwe mara moja.

Tweet Image 1

Herieth Mushi Reposted

Nyie mliopo CCM, TISS, Polisi, JWTZ na vyombo vingine - hivi mmekosa uzalendo na uwezo wa kudadavua na kupigania rasilimali zetu na watu wenu wa Tanganyika? Leo Zanzibari wana serikali yao na ardhi yao hawezi kugawa Rais wa Muungano - nyie mko bize kupigania Tanganyika ife? Eti…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.