@Duladu1 Profile picture

Dorah

@Duladu1

mjasiliamali

Similar User
Fred Masele photo

@Fred_Masele

Faison Thabiti photo

@FaisonThabiti

Emaly photo

@Emaly_M

kongogoo....🌟💥 photo

@06kongogo

DAVOO🍥 photo

@Samaitograndson

Emmanuel012 photo

@FarajaEmmanue12

Baraka Zephania photo

@zephania_baraka

Abdul Song photo

@song_abdul

Amani Faustin Kataraia photo

@Kataraia_Amani

Dorah Reposted

"Fursa unakutana nayo haikukuti." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Hupotezi muda kwa kukutana na watu, unapoteza muda kwa kutokujua unachokitafuta ama unachokiwekeza katika kukutana kwako na watu hao." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Ukihifadhi sana nongwa ndani yako itakutafuna na kukukosesha furaha. Ukiitema nyingi kupita kiasi hata pale pasipohitajika, au kushinda kitendo ulichotendewa, itakujengea uadui na visasi vya kudumu. Nongwa nayo yafaa iwe kwa kiasi." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Walio wepesi kugawana shida zao na watu, mara nyingi ndio walio wagumu kugawana neema zao na watu. Mkarimu wa shida zake huwa ni bahili wa neema zake, na bahili wa shida zake huwa ni tajiri wa neema zake." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Kukusamehe ni hiyari yake, kuomba msamaha ni wajibu wako. Kuishi na deni la samahani kwa uliyemkosea ni mzigo mzito. Usikubali kuubeba ukuelemee. Wewe tua mzigo wako, mtwishe mzigo wake." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Amina

"Aliyekukosea jana aweza kujirudi na kukutendea wema kesho. Aliyekutendea wema jana, aweza kukutendea ubaya kesho. Wanapokukosea, andika makosa yao kwa penseli uweze kuwasamehe itapobidi. Wanapokutendea wema, andika mema yao kwa wino, usije sahau wema wao pale watakapokukosea."

Tweet Image 1


MUNGU FUNDI


Dorah Reposted

"Bahati ni makutano ya jitihada, wakati na fursa." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Sijui kwanini sikuhizi la mkuu hawasikii na miguu hawavunjiki


Dorah Reposted

"Ukiishi katika jamii iliyojaa watu wenye husda, lia hadharani, furahi sirini." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Kama vile ambavyo huwezi kuzuia mwanga unaouwasha wewe kumulikia na wengine, huwezi pia kuzuia mwanga unaouwasha kuumiza macho wengine. Ndivyo ilivyo pia kwenye kuionyesha furaha yako hadharani,wako utakaowaambukiza furaha, na wako utakaowapa hasira na maumivu." Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Kosa au kosea, uwaone. Pata au patia, uwajue." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

"Maisha ni kupokezana matarumbeta na maturubai." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Dorah Reposted

Ukiona watu wana kukwepa kwepa, Anza kujipunguza na ikikupendeza zaidi Futa na namba zao.


Dorah Reposted

Aina nyingine ya riziki ni kuwa na mtu ambaye anaweza kukutoa kwenye huzuni na kukufanya uwe na furaha kila wakati.


Dorah Reposted

Mafanikio yana siri kubwa sana, Moja ya siri ya mafanikio ni Usiri. Maana hawawezi kuharibu wasicho kijua.


Dorah Reposted

"Hujamjua mtu kama hujajua visa na mikasa aliyopitia, au hujawa sehemu ya visa na mikasa yake. Watu ni matokeo ya visa na mikasa." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Ukiwaza mambo mengi utajikuta unawaza ujinga


Dorah Reposted

Kuna muda utaamua kumsamehe lakini ndugu zako hawatamsamehe. Jifunze kuwa na siri katika mahusiano yenu.


Dorah Reposted

"Kila mtu ataiamini ngazi aliyoitumia kupanda au tawi alilojishikilia kuinuka huko nyuma. Hamna ubaya. Ni hulka ya binadamu." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.