Vladimir Putin
@AlexOmbeEXPERT-COITUS INTERRUPTUS
Similar User
@Odemba4
@Yunus47473764
@maombi_t
Sema tu Shemasi hatujakuzoea kunyamazia vitu. 🚶🚶😁
Daah!.. Namheshimu sana Komredi Mtanda ngoja nikae kimya!..
Ni Kazi ya nguvu ya umma kuhakikisha Bango hili linasambaa kila sehemu, #Repost
Jeshi la Polisi wamevamia Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa njiani kuelekea Vwawa ,Wilaya ya Mbozi kwenye uzinduzi wa kampeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mchana huu ! Tunaendelea kufuatilia ! Upande wa kushoto mtu aliyevutwa kutoka kwenye…
Repost 200 kwa CHADEMA tafadhari. Walisema “chama kimejifia”. 😁✌🏾
Sipo apa kupish agenda au #. Ila uyu jamaaa kaongea point kaongea point kuliko viongozi wenu
CCM niliwaambia lakini. Repost 200 ifikie CHAWA.🔥🔥🙇🏾
Huyu hakuna hata anaepajua Kwake kweli? Tupate Repost 200.
Kama matumizi ya hela ndio haya ni jukumu la kila raia kukwepa kodi kadili inavyowezekana.
"Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia…
Jenista Mhagama ni waziri. Kaweka STANDARD. Eti tugaregare kwenye vumbi! 😂😂😂 Wamanyema hatuna mila hizo.
"Kitendo cha BASATA kuanza kumfungia @naythetrueboy muendelezo uleule, wanaoimba nyimbo za matusi hawana shida na BASATA wanapewa mpaka tuzo lakini wanaoimba vitu vya msingi wanapata shida sana" - ; Afande Sele
Wanaosema Samia hajui mambo ya kina Soka na Kelele wanazipiga wananchi Samia huyu hapa anajibu kwamba akiambiwa ameteka basi kina Mwijaku wajibu Ndio maana kuna mabillioni yanalipwa kwenda kwa chawa eti uhamasishaji Wanasanii wameongwa fedha ndefu
Marekani ilimtuhumu Makonda kuhujumu haki ya kuishi. CCM ikamteua kuwa Katibu Mwenezi na baadaye Rais Samia akamteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Lissu amemtuhumu hadharani kuwa aliongoza genge lililompiga risasi. Je, taswira ya Serikali ya Samia itasomekaje ndani na nje ya nchi?
Ingekuwa nchi nyingine muda huu Paul Makonda angekuwa kesha jiuzulu ila kwakuwa nchi yenyewe ndo hii sitashangaa kesho Rais Samia akimpandisha cheo.
Naomba REPOST 200 kwa RAISI za bila sababu.🤝
Hiki ndicho kilichotokea Kanisa Katoliki Msimbazi. Polisi mkome hili msirudie na muombe radhi. Tuchezeeni kwa mengine sio kwa imani yetu. Ninyi ni kina nani hasa kuvuruga ibada zetu. Mnaweza kufanya hivi ktk msikiti wowote?
Sisi Askofu tumetaka Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda [na wakuu wake serikalini] na Mtume Mwamposa kuomba msamaha kutokana na kauli ya Makonda ya kudhalilisha maaskofu na Kanisa aliyoitoa katika Mkutano wa Mwamposa, Arusha aliposhambulia aliowaita 'watoa matamko na nyaraka'!
Mh Rais kesho watu wakipigwa ktk maandamano au kuuwawa watakuwa wanapigwa au kuuwawa kwa sababu wanapinga utekaji na uuwaji dhidi ya rafiki zao na wao wenyewe. Tafakari sana. Nakutakia siku njema.
Naomba kuwauliza independent political analysts na washauri wa SSH, “How did SSH lose her political capital so quickly and become a figure associated with disappearances in public perception and beliefs?” I have my theory but I would like to hear other people’s thoughts.
United States Trends
- 1. Thankful 66,3 B posts
- 2. #RTXOn 7.224 posts
- 3. #twug 3.237 posts
- 4. #PMSLive 3.744 posts
- 5. Sharon Stone 2.506 posts
- 6. $ELONIA 1.654 posts
- 7. Happy Thanksgiving 28,8 B posts
- 8. Hezbollah 158 B posts
- 9. Creighton 2.502 posts
- 10. Lebanon 189 B posts
- 11. Johnie Cooks N/A
- 12. #PumpRules 3.741 posts
- 13. Xanadu 1.245 posts
- 14. #ai16z 2.444 posts
- 15. Rivian 9.452 posts
- 16. Mack Brown 5.035 posts
- 17. $CUTO 7.446 posts
- 18. Billboard 579 B posts
- 19. $BULLY 4.728 posts
- 20. James Houston N/A
Something went wrong.
Something went wrong.