IHE
@IBUIGO1AMERICAN GREET AGAIN TRUMP AND VENACE SPREAD LOVE FOR ALL HATREAD FOR NONE.
Similar User
@zhilacodes
@pdehoest
@LauraDavilaPena
@fedeclavistel
@nancyperezz_of
@__kima__
@JBurkhartWV
@Mehmetf84199891
@vino90chan
Connection Ni Za Kumnyima Mtu Mpwa Kweli Leteni Mambo Nimeweka Bluetooth Sikioni Tayari
Leo ndio nimejua ile Nyimbo ya Chameleon(Tubonge) ilikua haiongelei mapenzi ila ni Gospel music.!!😂🙌🏻
Mama amewalipia viingilio mkaangalie mpira uwanjani lakini Serikali yake imetoa akaunti mchangie pesa wahanga wa Kariakoo. Imekaa vizuri. Tumpongeze mheshimiwa mama.👏
Wameweka kikomo hili uwepo mama huonekane akuje aseme endeleeni na kazi ionekane bila mama isingewezekana kwahyo mama anaupiga mwingii mnoo mpka unamwagikaaaa
Kumradhi hapa naomba nieleweshwe kidogo, kwanini tunaweka ukomo wa zoezi la uokoaji? Zoezi likiendelea nini kitaathirika?
Wakati JWTZ Wanatia Nanga Pale KARIAKOO Walishukia Pale Msimbazi (Katikati Ya Barabara Ya Mwendokasi) WANANCHI Walivyowaona Tu Waliwashangilia Sana Huku Wakiimba WANAUME Hao! WANAUME Hao! JWTZ Walipofika Eneo La Tukio Hawakuhitaji CAMERA Walihitaji Vitendea Kazi Wakaanza Kazi. 🤝
Kuchangisha PESA, kama ni “KOSA KISHERIA”, basi ni DOGO SANA, kulinganisha na UZEMBE uliosababisha VIFO vya watu kwenye POROMOKO LA GHOROFA KARIAKOO. Serikali ijikite kwenye KUOKOA WATU kwenye eneo la AJALI.
SIMPLE 2 BEDROOM 🏠 1. 2 Bedroom(1Self, 1Plain) 2. Sitting room 3. Kitchen 4. Public toilet Bati 56 Block 2400 Karibu kwa ramani na makadirio zaidi 👇👇👇 WhatsApp: wa.me/c/255746122023
Mpaka Tanzanians wanafanya hii kazi buana
Wakati Mwili wa Mkongwe wa muziki wa dansi nchini Kikumbi Mpango maarufu 'King Kiki' ukiwasili katika Viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuagwa, mke wa mwanamuziki huyo, Constansia Kalanda aliinuka kucheza wimbo wa Kitambaa Cheupe uliokuwa unapigwa. Wimbo huo ulipigwa baada…
Hii video nimeiangalia zaidi ya mara 20 Aiseeeh.😃😃😃🙌🏾🙌🏾 Huyu dogo kafanana na Msanii gani.???😃😃
Ngoja niisaidie serikali 1. Wabunge 393 X 500,000 = 196,500,000 2. RC, RAS, DC,DAS 200,000 X 278 = 55,600,000 3. IGP and his team, wakuu wa mashirika = 300,000,000. 4. Wafanyabiashara wadhamini wa CCM = 800,000,000 Acha kuchangisha hawa maskini wenzangu.
Eneo hili linalindwa na mitambo ya kuzuia ushoga. It's no gay fly zone. Stay alerted ⚠️
Mwanamke unajua huna bikra alafu unahoji eti "" mwanaume unakuwaje na kibamia!? Like seriously 🤔
Polisi wakikutaka wana’ track simu kwa kutumia teknolojia ya Pegasus (spyware) kutoka Israeli, wanakupata popote ulipo. Polisi wameshindwa ku’ track (locations) za watu waliofukiwa na kifusi Kariakoo wakati simu zao wanatumia kuwasiliana na watu? Au kifusi kizito? Tuombe msaada.
Hii picha ilipigwa March 19 2013 Pichani ni rais mstaafu Jakaya Kikwete na mkewe wakienda kujionea hali ilivyo kwenye jengo lililoko kiwanja No. 2032/73 mtaa wa Indira Gandhi Jengo hili la ghorofa 16 lilikuwa limeanguka likiwa bado kwenye hatua za ujenzi.
Imagine tumefika hatua ambayo mwananchi aliyekuwa trapped kwenye kifusi cha jengo anashindwa kulia kwa sauti ili kuomba msaada kwa hofu kwamba alifanya hivyo, waokoaji wa serikali watakasirika na kumwacha afe.😰
United States Trends
- 1. #DWTS 22,4 B posts
- 2. Cavs 44,3 B posts
- 3. Cavs 44,3 B posts
- 4. Tatum 28,2 B posts
- 5. Garland 65,4 B posts
- 6. #WWENXT 21,6 B posts
- 7. #RHOBH 7.510 posts
- 8. Ilona 5.302 posts
- 9. Chase U 4.071 posts
- 10. Linda McMahon 24,5 B posts
- 11. #LetEmKnow 7.255 posts
- 12. Tony Brothers 2.637 posts
- 13. Mitchell 72,1 B posts
- 14. Danny 39,5 B posts
- 15. Niang 4.306 posts
- 16. Mobley 4.862 posts
- 17. Charles Lee N/A
- 18. Carrie Ann 1.727 posts
- 19. Queta 2.925 posts
- 20. Jaylen Brown 2.953 posts
Something went wrong.
Something went wrong.