@WillieUzi27 Profile picture

Uzi Malume

@WillieUzi27

SAMIA (UNELECTED) MUST GO. She destroys Our Country. YANGA, Man city & Barcelona #Justice4Sativa

Joined March 2022
Similar User
Fransisco photo

@MuyongaFA

Yakuti MJ photo

@LijimiMJ

nameless jr photo

@FrancesmMtena

CHIMPAYE photo

@ENtiyahela

Young Jr❄ photo

@YoungJr_98

Vancouver photo

@weare6lack

manengo the hustler photo

@matunda47

fidehan'sjr photo

@andrea_mwaluko

_Coolest kid photo

@GidionWilly

muhmaker photo

@muhmaker

Baraka barakaa photo

@AgustiFilimoni

Champdree photo

@Champdree119

Dr Oscar photo

@Iamsilver_25

OfficialJackson01 photo

@jack_officiaal

Ukhuty Mamuu photo

@UkhutyM

Pinned

KWENU TANZANIA. Mimi sio MPUMBAVU kiasi kwamba nikapige kura katika UCHAFUZI unaoendelea KESHO. Hakuna UCHAGUZI HURU wala DEMOKRASIA janjajanja zimekua ni zilezile tunazopinga miaka nenda rudi. POLISI inatishia aman wananchi kutolinda kura badala wahakikishe TUNAPATA HAKI. 🚮

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Uzi Malume Reposted

Tuachane na mampira mpaka sahivi mawakala wa Chadema Makongo juu hawajapewa nakala zao za viapo


Uzi Malume Reposted

ALERT: Haya waungwana. Taarifa zinakuja, Chama Dume kitashinda kwa ushindi wa kishindo serikali za Mitaa. Mitano tena!

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

Nadhani huu Uchaguzi tulitakiwa kuukata mapema sana, tungebaki na harakati za Katiba, shida kubwa Shangazi tunakuwa tunarukaruka sana hili Tatizo la la wizi Uchaguzi ni la kudumu, tungeachana kabisa na Uchaguzi tukakomaa na Katiba mpya, bila hivyo hatuta ambua kitu


Uzi Malume Reposted

BREAKING NEWS USIKU HUU VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE WA NKASI KASKAZINI. Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe.Aida…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tunaongozwa na miwatu ya ajabu sana

Matumizi ya kishenzi ya pesa za umma ni matokeo ya kuongozwa na washenzi. @SuluhuSamia @tanpol

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Uzi Malume Reposted

Novemba 16, 2024 jengo la ghorofa nne lilianguka Kariakoo na kuua takribani watu 29. Leo Novemba 26, 2024 Serikali imetangaza kumaliza kufukua kifusi chote. Hivyo Serikali imetumia siku 11. Umejaribu kujiuliza majengo ya 10 yangeporomoka, Serikali ingetumia wastani wa siku ngapi?


Uzi Malume Reposted

Send emails to press@ikulu.go.tz Tell President @SuluhuSamia to stop abductions and extrajudicial killings in Tanzania. #ZuiaUtekaji

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

Andika hapo Tundu Lissu hakimbiwi kihivyo

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

Shida ilianzia hapa. “Watoto wa mama”.

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

CHAMA CHA MAANGAMIZI BILA kupepesa VIJANA wa CCM wamekuwa na MATAMSHI hatari kwa nchi na HAWAGUSWI 1-MIONGONI mwao wapo viongozi wa CHINJACHINJA na hio ni CV kuombea cheo kwenye chama chao 2-MIONGONI mwao wanatoa maelekezo kwa POLISI kwamba MKIONA watu wanapotea MSIWATAFUTE

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Uzi Malume Reposted

Mwenye jengo lililoanguka kariakoo ni CCM

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

‼️Siku 100 za mateso kwa vijana na kwa familia zao‼️ @SuluhuSamia umehusishwa na watoa taarifa ndani ya serikali moja kwa moja na kutoa amri wakamatwe na hivi karibuni kuwa wauwawe We uko kimya siku zote 100 - ulisema utekaji ni vijidrama! Hujaonyesha concern yoyote kama mkuu wa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Uzi Malume Reposted

🚨❗️ Mo Salah: “Disappointed? Yes, I’m disappointed. Of course I’m disappointed with the situation”. “I have not seen any sort of proposal from Liverpool so far”.

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

Kushoto ni kada wa Chadema na Mwenyekiti wa Mkowa wa Kilimanjaro kulia ni Mwa Ccm kauli zao hazija tofautiana sana kwa nn akamatwe Mmoja mwingie aachwe acheni ubagizi muachieni Mwenyekiti wa Kilimanjaro aendele na shuuli zage za kampeni. @Mwabuk2Boniface @LembrusMchome

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Uzi Malume Reposted

🚨SHADRACK CHAULA STILL MISSING‼️ #Tanzania In July Chaula an artist drew the picture of @SuluhuSamia and burnt it! He was arrested, charged and jailed within 24 hours - a record! We, the People paid his fine and got him out within a week In August, Chaula was taken by a govt…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Uzi Malume Reposted

Wakati DPP ALIPOMBAMBIKIA KESI YA “MONEY LAUNDERING” ndugu ARTHUR FREDRIK MGONGO, nilisimama PEKE YANGU na KUMKEMEA DPP KWA UONEVU WAKE. Wengine walisema “HAWATUMII MITANDAO”. Badala yake “WATAMUOMBA DPP AFUTE KESI”. Eleweni kwamba; DPP na POLISI ndiyo KITOVU CHA UONEVU. WAKEMEWE

Tweet Image 1

Uzi Malume Reposted

Rais @SuluhuSamia shikamoo. Umeibua mjadala mzuri na tutajadili pamoja. Nashauri wasaidizi wako wakufikishie sehemu ya maoni yangu katika mjadala huu ulioibua Ughaibuni. Kwa kutumia tafsiri yako ya umaskini, hatutakuwa na mjadala sahihi. Tafsiri ya utajiri haiwezi kuwa tu na…

Tweet Image 2

Uzi Malume Reposted

#zuiautekaji Maamsamano ya online nayo yatushinde Wanangu? Naomba Repost 200 kwanza.🫵🏾

Ninawaalika katika maandamano kesho saa tisa mchana hapa X. Maelekezo ya tutakachofanya yatatolewa. Tutapeleka tena ujumbe kwa Rais kuhusu utekaji, tukimtaka awaachie wote waliotekwa. Tutadai haki ya Mzee Kibao na wengine. Will you be there? #ZuiaUtekaji



Uzi Malume Reposted

1️⃣0️⃣0️⃣ Days of #Enforceddisappearance ‼️ Kesho tunatimiza siku 100 tangu @DEUSDEDITHSOKA Jacob Mlay na Frank Mbise walitekwa na vikosi vya usalama pale Chang’ombe Tumepata taarifa kuwa @SuluhuSamia ameamuru wauwawe na hadi sasa polisi walioagizwa na mahakama kuwatafuta wako…

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.