@yahyaog3 Profile picture

yahya og

@yahyaog3

Joined July 2021

Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary

Tweet Image 1

happy independent day dear tanganyika we still love u!ila 61 ya uzee wako umeme bado shida.maji hakuna.umasikini ni janga kubwa sana.cc~eka imechemka sana katka kila ki2!um out

Tweet Image 1

maujinga ya nchi za ulaya waziri wa Germany kavaa maujinga yao!kuanzia leo nimehama rasmi Germany sipo upande wao kwa haya maujinga yao ya upinde!

Tweet Image 1

Ipo kauli inayosemwa kwamba; maumivu makubwa huwa hayana machozi kabisa, huwa yanatosha kumfanya aliyonayo kubaki kimya. Poleni wafiwa! Na hatusemi ila yaliyo mema, Allah awasamehe madhambi yao, na atusamehe nasi pia, na ayafanye yenye nuru makaburi yao.Ameen


yahya og Reposted

Mfanyabiashara Rostam Aziz . amenunua asilimia 51 ya hisa za Coastal Travels Company Limited kutoka kwa mwekezaji wa Kiitaliano mwenye asili ya Marekani, Carolina Colangelo. Ununuzi huo wa hisa umemfanya Rostam kuwa mwekezaji Mkuu wa Shirika hilo la ndege kuanzia Septemba Mosi.

Tweet Image 1

yahya og Reposted

Mkuranga DC - Kikao na Baraza la Madiwani na Wakuu wa Idara wa Halmashauri. Tumedhamiria kuzisimamia kikamilifu Halmashauri zetu ktk ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuweza kupata fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo inayoguswa moja kwa moja wananchi #KaziIendelee

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

king fid q.ay.salam


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.