Sayansi ya Ajabu☢️🚀
@miraTz255Astronomy lover🌟🌟 together with Technology
Japan: Watafiti wamefanikiwa kuweka rekodi mpya ya kuunda intaneti iliyoweza kufikia spidi ya 402 Tbps (402,000,000 Mbps) ambayo unaweza kupakua Game mfano 'Call of Duty' chini ya sekunde 1 tu.
"gesi haina harufu kiasili(naturally), harufu huongezwa ili watu waweze kugundua kama kuna uvujaji."
Bugatti wamezindua gari mpya 'Bugatti Tourbillon' ambayo inaenda kuwa mrithi wa Bugatti Chiron. Gari hiyo itaanza kuuzwa rasmi mwaka 2026 na zitatengenezwa 250 tu. Bei ya kuanzia bila makato ya kodi inatarajiwa kuwa Tshs. Bilioni 10.9 ($4.1M).
ukiwa umeboeka hua unajaribu nin ili uchangamfu urudi kwa haraka?
"Picha hii ilipigwa na chombo cha anga cha Galileo, kilichopewa jina la baba wa astronomia , Galileo Galilei. Ilikuwa ni misheni ya kwanza kupima angahewa ya Jupiter moja kwa moja kwa kutumia kipima anga na ya kwanza kuchunguza mfumo wa Jovian kutoka kwenye obiti."
Acrophobia(fear of height) ni hali ya afya ya akili ambapo mtu hukumbana na hofu kali ya urefu. Mtu mwenye acrophobia hukumbana na hofu na wasiwasi mkali wanapofikiria juu ya urefu au wanapokuwa wamepandwa mahali palipo juu sana. moja ya njia kuiondoa hii hali angalia hii movie
Ndege ya Boeing 747 hutumia gallon 1 au takriban lita 4 za mafuta kila sekunde.Hii ni sawa na kuchoma lita 12 za mafuta kwa kilomita.Mwendo wa safari ya saa 10 inaweza kuchoma lita 150,000. Pia unaweza kusema, kama inapakia abiria 500, kila abiria hutumia lita 4 kwa kilomita 160
Ukiilala leo na kuamka mwaka 2050, jambo la kwanza utakalolitafuta kwenye Google litakuwa nini?
tuseme tu tuweke solar pande zote za jangwa la sahara unahisi nini kitatokea
utafiti unasema Watu wanaochelewa kulala haswa kuanzia saa nane mpaka saa tisa usiku wapo kwenye hatari kubwa ya kupata kifo cha ghafla ivo kama unahizo ratiba basi jaribu kuzipunguza uumpe ubongo na viungo vya mwili kupumzika
moja clip ya maarufu ikionyesha ndege aina KWALE alivo ni speed ya kupiga windo lake anakuambia speed aliotumia ni 390 kwa saa video 👇👇
ushwahi jiuliza ivi sumaku inawezaje kutoa picha ndani ya mwili wako na ikaonesha tatizo lilipo bila kufanyiwa upasuaji(operation)🤔
huyo anaitwa PEREGRINE FALCON kwa kiswahili KWALE ndo kiumbe mwenye kasi zaidi kuliko kiumbe kingine dunian, akiwa anafukuzia windo lake speed yake inafikia km 386 kwa saa ,wanakuambia kama angekua mkubwa zaidi ya binadamu basi angekua anapitia kichwa bila kujua nini kimekuua
Haya maisha hayataki userious Sana,ukipata kidogo weka balance ya Familia nyingine nenda kajipongeze,ukiwa na furaha au tabasamu unaepusha vingi vibay kwa miaka hii
hizi ni picha zikionyesha battery la Gari la umeme na sehemu inayokaa👇👇
United States Trends
- 1. Kendrick 258 B posts
- 2. Daniel Jones 39,6 B posts
- 3. Luther 24,1 B posts
- 4. #AskShadow 4.499 posts
- 5. $CUTO 4.777 posts
- 6. Squabble Up 12,9 B posts
- 7. #TSTTPDSnowGlobe 4.590 posts
- 8. Giants 71,8 B posts
- 9. Kdot 4.693 posts
- 10. TV Off 17,4 B posts
- 11. Wayne 34 B posts
- 12. Kenny 21,1 B posts
- 13. #AyoNicki 1.502 posts
- 14. Dodger Blue 4.877 posts
- 15. Reincarnated 14,6 B posts
- 16. Danny Dimes 1.330 posts
- 17. One Mic 3.676 posts
- 18. Gloria 38,8 B posts
- 19. Muppets 7.232 posts
- 20. Heart Pt 10,9 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.