@vikalitz Profile picture

IBRA VIKALI.

@vikalitz

Read Me Here...👉 https://t.co/Gs2gTaAsPv 📌

Joined May 2012
Similar User
blue dream photo

@bluedreamvibes

kijana wa kale photo

@URUKivena

𓃵 photo

@Johnc_joo

Humphrey photo

@humphyrey

Elinadha Msuya photo

@ElinadhaMsuya

Johnny Msong’o photo

@Jonijo_Dee

Kiga photo

@kiga255

Moris daudi photo

@Modarisy

Dizzo master❄️ photo

@DizzoMasterDm

rich chambai photo

@richchambai

NVSSOR™ photo

@Nas_Khallifa

El photo

@ChrissElmercy

Frank Myinga photo

@FrankMyinga6

Pinned

January photodumps #Vaasaakaliii #watchloverstz Kwa Wapenda Saa (Vidonda)

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

January photodumps let's have it



Hii post Inapaswa Kuwekewa Lamination... Madini Adimi Na Bure... 👉Wafundishe Katumia Unachokiuza Au Huduma Unayoitoa

Kama Unauza Electronics za aina yoyote Chukua Huu ushauri Wangu Tunza... Fanya kwa Miezi kwa Social Media yoyote utakuja kunirudia.. Fungua Akaunti kwenye Platform yoyote... Usianze Kuuza kabisa.. Simama kama Mtaalamu tu wa hio umechagua.. Make sure inakuwa moja👇



Huyu Jota Silva (NFO) Ni Mchezaji Wa Mchongo Sana


Kuna Video Unasikia Sauti Yake Kabisa Anaelekeza Kwa Pisi Zake Aikalie Vizuri... Au Sio Yeye Wadau..?

Ndio mana Masha Aliruka ruka.. Pale aliposikia Niffer amekamatwa na Mapolisi 😅😂😂🙆‍♂️ Sikiliza Behind the Story... Video kwa Comments👇

Tweet Image 1


Katumia Panga Mara 24 kuukata Mgomba na Bado Haukukatika... Nchi za Kiafrika Ungese Mtupu Kuna Muda Nguvu Zinaisha, Inabaki Sauti, na Kuna Siku Sauti Haitatoka, zinabaki Pumzi na Siku Si Nyingi Vyote Vitaondoka

Waafrika,unafki upo kwenye damu. #Accountability



Ahaaaa Huogopi?

Nguvu iliyotumika kuwashika wachangishaji ingetumika kumkamata pia Mmiliki wa Ghorofa, ingekuwa poa sana.



Mtoto Wa Majengo Sokoni Music.. Inawezekana Ana Biti Nyingi Alizoachiwa na Latino... Walishaanza Kuwa Na Muunganiko Mzuri Sana.. Itachukua muda au Tunaweza tusipate Tena taste km Ya Pancho Kwa Game Hii Tena.. S/o Kwa HarmyB na B hits Kwa Ujumla

Hii ni makala fupi nayomuhusu marehemu Pancho Latino ambayo kwa kiasi fulani imejaribu kuzungumzia machache kati ya mengi ambayo ameyafanya katika kumuenzi bado nafikiria kufanya kubwa zaidi inayomuhusu lakini hii ya kwanza i tazame kule you tube kwenye channel yetu ya 👇🏾



Tajiri Kawaruhusu Mseme Yote Hayoo...?

GSM ana uwezo wa kupanda private Jet na kwenda jiji lolote zuri na kufurahia na familia yake wakati huu wa Birthday yake. Lakini amesafiri kilometa 400 mpaka Kibaigwa kuwafuata wanafunzi wa Shule ya Msingi Mzogole. Amewaachia 40, ameenda kituo cha afya cha Kibaigwa amewaachia 60m…



Wanajua kutabiri na wanaifanya Kazi yao vizuri.. Kazi za Watu hizi

Vijana wetu hawa.

Tweet Image 1


Kwa Zaidi Ya Saa Moja Najaribu Kufungua App Ya Tigopesa Inagoma Kufunguka, @Tigo_TZZ Ina Shida Gani...?


Mwakitale ni Street Anthem Kabisa

Kesho Rich Mavoko anadondosha "Baluza" Kupitia Instagram accout yake ametusanua kuwa ni mwendelezo wa magoma mfululu! Sijui nani yupo nyuma ya Rich Mavoko ila angekuwa na watu sahihi hadi sasa ilitakiwa yeye na Chino waendelee kupush ngoma ya "Mwakitale". #TheWalkingMedia

Tweet Image 1


Apunguze Kuwaambia Watu, Bali Aongeze Maombi Mengi Kukuombea Uendelee Kutoboa..

Ukianza kufanikiwa mwambie mama yako apunguze kuwaambia watu taarifa nyingi kukuhusu. Yes, yupo proud na wewe ila asisahau mama wa wengine pia wanatamani watoto wao wawe kama wewe!



Hata Mimi Huwa Najiuliza Kivipi Messi Anachukua Balloon d'Or na Neymar Hajawahi..? Jokes Zama Ya Ronaldo Na Messi (2008-2023) Ni Viumbe Wawili tu (Modric , Benzema) Waliweza Kuingilia Na Kubeba Mbele Ya Icon Hao Wawili..

Kuna muda unakaa unajiuliza maswali, ila unakosa majibu -Kivipi Vini anachukua Ballon d'Or na Neymar hajawahi? -Kivipi Benzema anachukua Ballon d'Or Lewandowski/Suarez hajawahi? Kwamba Vini ni bora kuliko Titi, Maldini, Sneijder, Robben, Raul, Iniesta, Bergkamp UPUMBAVU!!



IBRA VIKALI. Reposted

⚫️Hii ni Kwa Beginners Tu! ⚫️Leo natoa Ebook ya Njia 5 za kutengeneza Pesa Buree🔥🔥🔥🔥 Ili Kupata ⚫️Repost ⚫️Follow Me ⚫️Comment neno (PESA) Kisha nitakutumia

Tweet Image 1

Kitu Nilichokuona Na Kujifunza Leo Kwenye Cha-gu-zi, Yani Kuna Watu Kwa Buku 2, 3, 4, 5 Unawanunua, Then Wanawakataa Wa Wanyumbani, Wanawapa Waugenini.. Daah..

Tweet Image 1

IBRA VIKALI. Reposted

Nimeamka nacheka kwa dharau 😂😂😂. Ila watu, basi haya endeleeni tu.


Jide Sio Msanii ni Mwana-Muziki... Kuna Vitu Gani Umetumia Kuweza Kuwaweka Sahani Moja...? Jide ni Bora Muda Wote, ila Kwa Sasa Ni Zuchu Kwa Kuwa anapata airtime yakutosha

Wewe ni jaji wa muziki kuna tuzo mbili mezani 1. Queen of Bongo fleva 2. Msanii bora wa kike kuwahi kutokea kwenye kiwanda cha Bongo fleva Una Lady Jaydee na Zuchu nani unampa nini na nini unampa nani?



IBRA VIKALI. Reposted

👉🏽 Nikki Mbishi jana alikuwa Sayarini pale {PlanetBongo} alisema 👇🏽 "Utafutaji wa Pesa kwa Wasanii wa HipHop unaonekana na una uhalisia machoni kwa watu......Tofauti na upande wa Chino wanaMan " Sema Unju jau 😂😂

Tweet Image 1

Namba 8 ni Namba Ya Hela... Kuiweka Namba 8 kwenye Bei Ya Vitu Vyako Inakuwa ni Kama Attraction..

Yule jamaa anauza magari used kila bei ni “na Laki nane Tajiri”😂😂 ni kama ndo masharti ya mganga wake Utaskia “ Nauza Gari Laki nane na Laki nane Tajiri, Gari kali sana kipengele labda uje nacho wewe”



IBRA VIKALI. Reposted

Unaambiwa Uingie Kazini Kuanzia 8:00am—5:00pm Unapewa Siku 2 Tu za Kupumzika—(Jumamosi & Jumapili) Kwanini? Ili Usipate Muda wa KUFIKIRI Binadamu akipata Muda wa KUFIKIRI anakuwa Kiumbe HATARI Mno Na Hawezi kuwa Kwenye SYSTEM MATRIX Knows about this!


IBRA VIKALI. Reposted

Wakati wanapanga, Anza mdo mdo. Wakati wao wanawaza kuanza kesho, Wewe maliza leo leo. Wakati wao wanapumzika, Wewe peleka moto. Wakati wanasema hawana nyenzo, Wewe tumia walivyonavyo wao. Kuja kushituka, Uko Mbali. Kazi ni vitendo, sio mipango.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.