@stanleymnali Profile picture

Stanley Ernest

@stanleymnali

citizen by birth |degree in Bsc chemistry |st. Joseph university in Tanzania |politician |christian rc |natural man made. ©®2017

Joined June 2015
Similar User
ERICK MGALAMA photo

@MgalamaErick

Aseme alipo mmemfadhili au kaja kwa gharama sake😀😀😀👌

Beckham mbona picha zake insta hasemi kama yupo Tanzania ? 🇹🇿



😂😂😂😂😂nicheke tena 😂😂😂😂😂

Waganga zamani wanasaidia watoto kuzaliwa na kuleta mvua za kukuza mazao ila siku hizi wanakuza makalio na kuongeza nguvu za kiume #Tutafika



Angecheza na mshindi was pili kwenye EPL yaa n spurs

Hivi kama Chelsea angeshinda FA ina maana ngao ya hisani angecheza yy mwenyewe mazoezi kisha wanamkabidhi ngao yake au ingekuwaje @bkisusi



IGP mpya na wazamanii

Tweet Image 1

Ukisema ukweli tu mwoga.😀😀😀

Ili usiwe muoga wewe isifie tu Chadema ila ukienda kinyume na wao wewe ni muoga na msaliti sijui wanatumia kipimo gani



Hili ndo tatizo LA watanzania wa upande wa pili cjui nani katuloga, kizuri lazima kisifiwe

Leo kawa MUOGA baada ya kusema ukweli kuhusu mchanga? Kipindi anamuamshia dude bashite alikua nani?



Le akili kubwazz wafwazzzz😀😀😀😀💪💪💪💪

Leo kawa MUOGA baada ya kusema ukweli kuhusu mchanga? Kipindi anamuamshia dude bashite alikua nani?



👏👏👏👏

Rais Dkt @MagufuliJP alipotembelea wagonjwa Hospitali ya Muhimbili hii leo, akitokea kwenye ibada Kanisa la Mtakatifu Petro, Oyster Bay.



😀😀😀😀😀💪💪💪

Kama ukigeuka kitandani vibaya tu unaweza kupiga teke sufuria au diaba basi ndugu yangu tupige kazi kama tunavyotukana online.



Stanley Ernest Reposted

Baada ya simba sc kukataliwa rufaa yao na fifa chini ya rais Gianni Infantino sasa wanajipanga kupeleka malalamiko yao kwa Donald Trump 🤣🤣🤣


Waliopo na wanaotaka tuwape.. Bora waendelee waliopo.


Stanley Ernest Reposted

Kiongozi wa upinzani Ethiopia, Yonatan Tesfaye amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kuposti Fb akisema "Serikali inatubagua"

Tweet Image 1

Stanley Ernest Reposted

Hivi Ukinusa Soksi Au Kufuliree Huwa Unataka Kukutana Na Harufu Gani? #MawazoOvyoOvyo


Ubingwa huoooo jangwaniii

Kama ukigeuka kitandani vibaya tu unaweza kupiga teke sufuria au diaba basi ndugu yangu tupige kazi kama tunavyotukana online.



Stanley Ernest Reposted

Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Dr. Kizza Besigye amekamatwa na Polisi leo katika Wilaya ya Isingiro wakati akielekea kwenye maandamano.

Tweet Image 1

Stanley Ernest Reposted

Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Mwakyembe kuhusu wasanii wanaojiingiza katika siasa.


Stanley Ernest Reposted

Tunapoomboleza vifo vya wapendwa wetu tuendelee kuwa wamoja. Mungu ibariki Tanzania.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.