Antony Petro Lunguli
@lunguliTechnology & Science
Similar User
@Titus_KM
@chiefmwakafuje
@AfriCAnLeMpee
@MtuliJohn
@kingmolat
@ChibayaAmos
@LindaMwasu
@Catholic_David
@kidiffumajor
Ikiwa umepewa neema itumie sasa kwa sababu muda una tabia ya kupoteza thamani ya vitu.
Kuomba Msamaha Unapunguza Upendo ,Kadri anavyozidi Kukusamehe Ndio Kadri ambavyo Anapunguza Imani na Wew. 📌
Mwelewe Mungu ,Mjue Mungu ,Mpende Mungu,maisha yako ya mdhihirishe Mungu 🙏🏽
Ina hitajika kutumia akili nyingi sana ili kujuwa adui anaekuja kwa picha ya rafiki.
Hata kama watu wako wakaribu watakutenda vibaya, madam unamtegemea Mungu kuwa na subira
Niache kaz ya kubet nihamie zangu huku 🤣😀😀
Ishi ukifurahia kila hatua tofauti tofauti unazozipitia pasipo shaka au wasiwasi.
“ Inahitaji Ujasiri Kuanza., Ila itahitaji Moyo Kumaliza..”😎😎
Roho ya kitajiri ni kuona wivu wa kuongezeka katika hatua zako na sio kumuangmiza mwingine kwa ubaya..
Maombi na jitihada vina uwezo wa kubadilisha matokeo.
Ukitaka kufika mbali, acha kufikiria karibu.
Baadhi ya mambo mazuri gharama yake ni juhudi, uvumilivu na kutumia muda wako vizuri.
Dada sijakataa ni kweli umeona mengi lakini ushawai ona mtu amenipost kua Mimi ni MTU wake 😋 .
Malengo niliyojiwekea huu mwaka hayataki usingizi hata kidogo..💔
Kama shida zitakufunza uwe mnyenyekevu basi mafanikio yakufunze kulipa fadhila..🤞🏿
Hata kwenye meza ya bure kula unachoweza kununua.
Pesa ni zamu yako sasa kunitafuta nimechoka mimi 🙌🏿🙌🏿🥺
Nidhamu ina maana kubwa sana ukielewa maana yake na jinsi ya kuitumia (kuiishi)
Ni kweli pesa huna, basi jitahidi uwe msafi, smart, maana umaridadi unaficha mengi..🤞🏿
Juhudi ni bora kuliko ahadi.
United States Trends
- 1. Pete 312 B posts
- 2. DeSantis 36 B posts
- 3. Jokic 12,8 B posts
- 4. Kerr 7.413 posts
- 5. Podz 3.465 posts
- 6. Mavs 12,7 B posts
- 7. Clemson 25,3 B posts
- 8. #SpotifyWrapped2024 7.079 posts
- 9. Wiggins 2.782 posts
- 10. XDefiant 19,1 B posts
- 11. Nuggets 17,2 B posts
- 12. azealia 4.599 posts
- 13. Brea 2.666 posts
- 14. Jamal Murray 1.556 posts
- 15. Kentucky 19,2 B posts
- 16. Kuminga 2.386 posts
- 17. SecDef 8.911 posts
- 18. Marcus Smart 2.728 posts
- 19. #HonkaiStarRail 103 B posts
- 20. Ubisoft 14,5 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.