@sir_lazaro Profile picture

𝒞ℴ𝓃𝓉𝒶𝓃𝒶

@sir_lazaro

Joined April 2022
Similar User
Al Qasus photo

@thebeardguy420

duncan shikuku photo

@duncanshikuku85

uncle kidole photo

@Alhabibshomy16

Putin_Moscow photo

@Binamu_1

J.Hans B photo

@HansB_Kasenga77

Kaishe photo

@Kaishe_kaishe

AMAZING JEFF. photo

@Amazingjeff23

Daydreamer. photo

@DavidMalima8

Normal One photo

@Salehedemaftaha

𝐇𝐚𝐭𝐚 𝐃𝐢𝐦𝐩𝐨𝐳 𝐧𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐫𝐞𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐭𝐮,𝐔𝐬𝐢𝐭𝐞𝐬𝐞𝐤𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐢𝐨 𝐥𝐚𝐤𝐞....!!!


Mbali na Yale unayoyajua kuhusu wengine,na wengine Wana mengi wayajuayo kuhusu wewe pia.Nyamaza na ishi maisha yako achana na ya walimwengu.


Kila mmoja ana wale WANA ambao hata apate SHIDA kiasi gani hawawezi kumuacha KAMWEEEE. MUCH RESPECT TO THEM💟


UPENDO NA CHUKI UPENDO na CHUKI ni marafiki wakubwa sana katika maisha ya mwanadamu........Chukulia huu mfano, Adui Yako wa sasa ndo anaweza kuwa rafiki Yako MKUBWA wa baadae na rafiki Yako KIPENZI wa sasa ndo adui mkubwa wa kesho. ZIDISHA UPENDO DAIMA NA SI CHUKI


Shida zinatutesa ila ndo zinatufanya kujua picha halisi ya maisha yeti ya Kila siku.......


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.