@PiusKereja Profile picture

Pius kereja

@PiusKereja

Big brother 💙

Joined April 2022
Similar User
Michael photo

@Michael34716221

Kuna yule mwana pindi mpo primary au sec. alikua anakuzidi nakwambiaje amini kwamba mpaka leo anaamini anauwezo kukuzidi.


"Unapokua na roho mbaya hakikisha una uwezo wa kuzimdu shida zako"


Sijawai kutishwa na maneno ya mwanadamu kwa sababu naamini chochote kinachotokea kwenye maisha yangu kinaletwa na Mungu na hakiwezi kuondoka Kama yeye hajataka.


Kwenye maisha changamoto kubwa ni maradhi, kwani magonjwa yanatesa, yanataabisha na yanakosesha amani na tumaini 😢kuliko changamoto zingine unazozifikilia. Tujitahidi sana kumwomba mungu atuepushe na maradhi pengine atuponye kabisa 🙏🙏


Yule mwanao anae kuomba pesa na kukukopa kila mara, saa ingine halipi ni bora sana kuliko rafiki anaekupitia kwenda kumbi za starehe na kukwambia akakununulie pombe.


Mpenzi wako kesha pata mpenzi wake kwenye semina za ukalani wa sensa. 😔😔


Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako, nitakutia nguvu, maana nitakusaidia, naam nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. (Isaya 41:10)


Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana Bwana YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Isaya 12: 2


Yo negro stop telling us to work hard, connect us to people who helped you 😔😔


Wengine tunaishi kwenye jamii ambayo furaha zetu zinawapa watu shida na shida zetu zinawapa watu furaha,😔😔


Kukumbuka uliowasaidia katika maisha yako ni umasikini iliokithiri na utaishia kuwa disappointed kila siku ukingoja fadhira maana wanadamu tumweumba kusahau, tajiri hana kumbukumbu mzee tafta hela.


Kukumbuka uliowasaidia katika maisha yako ni umasikini iliokithiri na utaishia kuwa disappointed kila siku maana wanadamu tumweumba kusahau, tajiri hana kumbukumbu mzee tafta hela.


Watu ni hawapendi kukuona unapiga hatua flani katika maisha lakini watu haohao wanapenda watu ambao wamesha piga hatua flani katika maisha.😔😔


Siwezi kuolewa na mwanaume ambae hana pesa, alisikika dada mmoja anaeogea sabuni hadi inabaki saizi ya line za voda. 🤔🤔


Mda mwingine kuchelewa kuo au kuolewa ni bora sana kuliko kukosea kuoa au kuolewa.


Mda mwingine kuchelewa kuo ni bora kuliko kukosea kuoa.


Kama huna pesa, Jitahidi kuilinda afya yako maana tajiri wa afya ni bora kuliko tajiri wa pesa na magonjwa.


Wazazi ni watu mhimu Sana, ukitaka kujua umhimu wao tembelea watoto yatima😢 alfu zungumza nao. Ndo utajua kwamba wazazi wako pekee ndo wanaweza kukupa msaada usio na masimango. Tujitahidi kuwaombea kwa mwenyezi Mungu awalinde ili hata waje kuonja hivi tunavyovipigania💙💙


Dunia saizi inatuitaji tuwe na elimu, Ila maisha yanaitaji pesa.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.