@shuigwa Profile picture

SHUIGWA_JAFARITZ

@shuigwa

Joined November 2021
Similar User
mmmuhumba photo

@mmmuhumba

john Athanas photo

@johnAthanas15

isack lucas photo

@isacklucas231

Mick Thadon photo

@MickThadon

Omary Mkongo photo

@OmaryMkongo

Takrima Ngalinga photo

@Haris_Takrima

the one known in town photo

@donnngeta2

heismussa♥️🇹🇿 photo

@MussaSalumu14

Sayles NESA photo

@SaylesNesa

Asajile Nkomele photo

@ANkomele

Jamali Adam photo

@LadhaTv

Baraka John Mzee photo

@barakaJ03313569

Ni siku ya jana tu tumetoka kuaminishwa kwamba huyu jamaa yupo mahututi na atamaniki hata kidogo leo anaonekana ni mzima wa afya kabisa hana jerah wa kovu lolote @ChademaTz acheni drama nchi haiendeshwi kwa drama kama zenu na msfikilie watanzania wote na mazuzu kama mnavyodhani

Tweet Image 1

Ile mijtu ya Ufipa iliyokuwa inabeza na kupotosha umma sasa inaona haya Dkt Samia Hassan Suluhu imeifanya vibaya


Chadema ishapoteza Mwelekeo sasa ni Mwendo wa Matusi kwa Viongozi wa Dini zote. Akili zake hazinaga akili alianza kwa Bodaboda kuwatukana Mwisho atafikika kwa Wazazi wake ni laana.


Hawa ndio huwa wakikaa wanadanganya dunia kwamba watanzania tunawakubali kwa kununua watu hivi waandamane @😄😄@johnmyinka@Tundulisu@Freemanmbowe@Johnpambalu@Kigogomedia@Mariasarungi


Vijana wa Mzizima wampigia salute ya heshima Dr Samia Suluhu Hassani ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka miwili ya uongozi wake yenye mafanikio makubwa

Tweet Image 1

Wasafwa wakoshwa na kimbunga cha maendeleo yanayofanywa na Dkt Samia Suluhu Hassani katika mkoa wa Mbeya


Hatimae Tundu Lisu aukubali mwenyewe mziki wa Dkt Samia Suluhu Hassani baada ya kuona hakuna matunda yoyote katika ziara zake na watanzania huwambii kitu kuhusu Dkt Samia Suluhu Hassani aamua kubeba vilago vyake kimya kimya na kurudi zake Ughaibuni

Tweet Image 1

Chadema endeleni kupiga kelele na kwenda kudai magari polisi huku Mama anaupiga mwingi halafu 2025 Chiba na ndugu yako Konyagi mlalamike eti mmeibiwa kura watanzania hawataki makelele wanata maendeleo na maendeleo yenyewe ndio haya #SISI TUMEKUBALI SAMIA 2025-2030

Tweet Image 1

Chama cha Mbowe kimetimiza miaka 33 lakini mpaka leo kimeshindwa kujenga hata ofisi yake miti na tope bado kinategemea kupanga katika ile nyumba ya mtu pale mtaa wa Ufipa Kinondoni halafu leo wanaturubuni watanzania tuwaamini kuwapa nchi hivi hawa watu wana akili timamu kweli

Tweet Image 1

Wanakigamboni tunasema ahsante sana mama Dr Samia Suluhu kupitia huruma yako ya kupunguza tozo ya daraja la Kigamboni imepelekea route za daladala kutoka ndani ya wilaya ya Kigamboni kwenda maeneo mengine ya jiji la Dsm kufunguka kama vile Muhimbili,Mnazi mmoja,Simu2000,n.k

Tweet Image 1

TUNDU LISU ni kichwa cha mwendawazimu haiwezekani ametoka katika nchi ambayo alikiwa ananunua mchele 1kg kwa USD dollar 2.05 Sawa na shilingi za kitanzania 4790.85 leo anakuja nchini anashangaa bei ya mchele na kutaka mchele uuzwe buku hivi huyu mtu ana akili kweli?

Tweet Image 1

TUNDU LISU na genge lako acha kuwaongopea watanzania katiba mpya sio muoarobaini wa kushuka gharama za maisha waambie ukweli kwa kuwaelezea hali ya uchumi wa dunia kwasasa kwani hali hii sio Tanzania peke hata huko ulipotoka hali ni kama Tanzania na wewe unafahamu hilo

Tweet Image 1

SHUIGWA_JAFARITZ Reposted

Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kuona umuhimu kwa vijana kuandaliwa na kuaminiwa kwenye nafasi mbalimbali za uongozi. Utawala Bora na Uongozi Imara wa kesho unatokana na maandalizi bora ya Vijana wa Leo. @chongolo_daniel #Miaka23BilaBabaWaTaifa #CCMImaraSerikaliImara


Tunamshukuru Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa kutujengea soko jipya na la kisasa katika wilaya yetu ya Kigamboni #SisitumekubaliSamia2030#

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.