l o n e w o l f
@rhyx84Ginious is no guarantee of wisdom
Similar User
@EmanuelMwakibi6
@thisisKaunda
@cptKINCHA
@AmryBasole
@mfuasi2014
@PascalKinuka2
@AbelZachalia
"Naitaji Kurejesha Uchumi wa Marekani, ili tuendelee kua Super Power ni Lazima Uchumi wetu uwe imara. Hatupaswi Kuingilia Vita Zisizo tuhusu, pia hatuwezi kutoa Misaada kwa Nchi zisizokua na Malengo najua Sera zangu ni Ngumu lakini Hatuna Budi Kukubaliana nazo" :~ Donald Trump
Faida za "umakini wa akili" ni pamoja na:- 1. Kupunguza kuwaza kupita kiasi 2. Kuimarisha kumbukumbu ya kufanya jazi 3. Kupunguza athari za kihisia 4. Kubadilika zaidi kiakili 5. Kurudhika zaidi katika mahusiano. #afyayaakili #furahakwawote #raghbafilmworks
Hakuna anayeongelea hili ila, Upweke ni kitu kibaya sana! I hope happiness finds you!
Resilience with love and kindness us mental health.
In a world where you can be anything, be kind Image: @emilycoxhead @HappyNewspaper_
Hakuna linaloshindikana kwenye kijiji chenye Wazee na Taifa bora lenye msingi wa kikatiba na utawala wa sheria huthamini Utawala Bora na usalama wa Raia....Tuzungumze pamoja na kutafuta suluhisho endelevu la pamoja. Ni tarehe 5 Oktoba pale Ubungo plaza....Tusipozungumza kama…
Watanzania ni watu wa kutafuta Excuse kila siku na kwenye kila kitu ili mradi tu wapate mwamvuli wa kujifichia!! Round hii excuse yao wanayoikomalia ni utasikia 🗣️ Tatizo wanachokosea maandamano wanayaweka kichama, wanatakiwa wayaweke yawe ya wananchi😁 🗣️Au tatizo kwenye…
CCM ilishaliwa na wahuni kitambo sana, hakuna tena chama pale kuna kundi limejichukulia chama kunufaika na TAIFA
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akili Dr. Sadick Mandari kutoka @Mirembe_hosptz akizungumzia mbinu mbalimbali zinazoweza kuchukuliwa ili kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na Kujiua. #SuicideAwarenessMonth #SuicidePreventionday Cc. @VAFTanzania
Unapokuwa na msimamo hakikisha umekubali kuishi matokeo yake. Hupaswi kujuta
Kuwa wewe kisha acha watu waamue kukukubali ama vinginevyo.
Maadhimisho ya Siku ya Kuzuia kujiua Duniani September 10, 2024. #ChangetheNarrativeonSuicide #AfyayaAkiliniAfya
RICHARD MABALA APAZA SAUTI KUHUSU UTEKAJI "Asiyepiga magoti (mwanasheria Tito Magoti) sasa anaambiwa anatafutwa kwa kutopiga magoti. Watu wangapi watekwe au kutishiwa kutekwa hadi tusimame kwa pamoja na kusema basi!" Richard Mabala
Kama Taifa lazima tuache uoga. Watu walioua ndugu zetu, kuteka na kutesa raia, kama Daud Bashite, tuwataje waziwazi. Makonda is a criminal. Hatuhitaji uamuzi wa mahakama kuyasema haya. Hata nikifa kesho, ifahamike sikuwa mnafiki. God bless Tanzania 🇹🇿 & her people.
Wafuatao ni watu muhimu zaidi Tanzania kutokana bidii yao ktk kutetea haki, kuelimisha, kufichua na kukemea uovu! 1. @PMadeleka 2. @Mwabuk2Boniface 3. @PKibatala_ 4. @Advocate_Jebra 5. @ExMayorUbungo 6 @IAMartin_ 7. @MariaSTsehai 8. @EduTalkTz 9.@AnanileaN 10 @EsirEid
Wangeregulate vitu vya kufundisha... Ukikataza jamii itapoteza historia yao
Sema hili la kupinga unyago binafsi naona lina ukakasi sana maana hiyo ndio ilibakia sehemu pekee mtoto anaenda kujifunza na kufunzwa mambo ya tamaduni zake. Ingewezekana kuwashauri tu kwamba wakienda huko wasifundishwe mambo ya ngono
Watanzania wengi hua wanaifeel CDM wanapokua na matatizo ya kukosa haki, unyang’anyi na uonevu lakini shida zikiisha wanakua busy na unafki.
Ukifanya jambo kwa ajili ya jamii bila kuweka maslahi yako mbele, jamii itakufanyia jambo(itakulipa)
United States Trends
- 1. #Bitcoin 370 B posts
- 2. Lakers 44,2 B posts
- 3. Duke 41 B posts
- 4. Hawk Tuah 40,4 B posts
- 5. Clippers 6.871 posts
- 6. Isaiah Evans 4.947 posts
- 7. #Survivor47 9.686 posts
- 8. Creighton 6.890 posts
- 9. Cooper Flagg 2.655 posts
- 10. DreTL 3.012 posts
- 11. #RHOSLC 6.605 posts
- 12. Hailey 12,6 B posts
- 13. #AEWDynamite 23,4 B posts
- 14. #RhythmAndFlow2 1.389 posts
- 15. Fauci 176 B posts
- 16. Coffeezilla N/A
- 17. CEOs 41,3 B posts
- 18. Infinity Nikki 8.810 posts
- 19. Obamacare 13 B posts
- 20. Jay Taj 1.965 posts
Something went wrong.
Something went wrong.