James T. Mushi
@mushi_jamesA Farmer and an Entrepreneur
Similar User
@Kadulyu
@babuanasa
@NyerereTZ
@KMwalongo
@mgaboz
@chandruok
@CMkasanga
@ajele_comic
@DavyNguma
@__msami_
@DR_NYERERE
@kailakarama
@InnocAloyce
@LMadeleka
@saidry21
"Kama utaishi katika Jamii ya watu washenzi na ukafanya jambo la kistaarabu, hakikisha unawaomba radhi watu hao, kimantiki utakuwa Umewakosea. Maana ustaarabu si Moja kati ya mila zao ". 🙂
Kumwamini mtu sio sawa na kutokuwa na mashaka nae kabisa. Unamwamini kwa sababu mashaka uliyonayo hayatoshi kutokuwa na imani nae. Vivyo hivyo, imani katika ujumla wake. Huamini kwa sababu huna hata chembe ya shaka. Saa nyingine unaamini kwa kuwa basi tu umeamua [kuamini].
With men it is impossible, but not with God: for with God all things are possible.” — Mark 10:27
He has made the way. God is great. Thank you hustlers, we are your servants.
“'For I know the plans I have for you,' declares the Lord, 'plans to prosper you and not to harm you, plans to give you a hope and a future.'” — Jeremiah 29:11.
Leo ni siku ya Kimataifa ya Reggae...Ni wimbo gani wa Reggae unaipenda Sana?
Makerere University graduate kneels before his mother in the market to thank her for selflessly taking care of him and paying his tuition. Plz Retweet
Furaha ya mpumbavu ni kuona tajiri anafilisika ,ili wafanane kimaisha Faraja ya maskini mwerevu ni kuona tajiri anafanikiwa zaidi ,ili ampunguzie makali ya umasikini wake. 📌📌📌📌
NAFASI ya uteuzi ukiipata, itumie kutengeneza amani na watu wote. Usiitumie nafasi ya uongozi wa umma kukomoa watu. Usitumie ofisi ya umma kuwatesa watu wasio wa itikadi kama yako. Kwa kuwatesa wengine unawafanya wakunenee mambo mabaya na kuifanya safari yako ngumu.
Be teachable. You’re not always right.
#HABARI Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @jjmnyika amesema chama hicho hakijafanya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum, hivyo hakuna orodha kutoka @ChademaTz iliyopelekwa kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Sahihi kabisa
Maridhiano hufanyika endapo pande mbili zinazokinzana zote zimeumia/zimepata maumivu. Sasa umtese mtu kwa makusudi, uumize watu kwa malengo binafsi, halafu uwaambie waridhie? Kwamba walikua na makosa ama? Waridhie kitu gani?
The Bible tells us that to everything there is a season — a time to build, a time to reap, a time to sow. And a time to heal. This is the time to heal in America.
A nation united. A nation strengthened. A nation healed. The United States of America.
📢 SELF-CARE is not SELFISH, it's SELF-FULL - unplug & fill up on deep breathing, relaxation, mindfulness, exercise or just pure fun 🙂 Besides, if you’re not taking the time 2 take care of yourself you’re not going 2 be able 2 take care of others 👍 Be good 2 yourself 👊
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors." Plato
"How can five years of power Destroy a lifetime of togetherness One time we were judged by the color of our skins Now we are judged by the color of our flags..." Rest in peace, Lucky Dube.
Don’t ignore the effort of someone who tries to keep in touch. It’s not all the time someone cares.
Methali 16:18 "Kiburi hutangulia kuanguka kwa kishindo, Na roho ya majivuno hutangulia kujikwaa." Mungu keshawapofusha na hawaoni anguko lao Nawatakia Jumapili njema, wapendwa! #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
United States Trends
- 1. Good Monday 39,9 B posts
- 2. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 3. Victory Monday N/A
- 4. #MARK_Fraktsiya 244 B posts
- 5. Carti 44,5 B posts
- 6. #MARKxYOUNGJI_Fraktsiya 99 B posts
- 7. Mona Lisa 37 B posts
- 8. Acheron 6.035 posts
- 9. Geno 18 B posts
- 10. Sam Howell 6.146 posts
- 11. Trump 2028 7.064 posts
- 12. Burna 27,8 B posts
- 13. #BaddiesMidwest 14,5 B posts
- 14. Alex Bruesewitz 9.755 posts
- 15. Yellowstone 11,9 B posts
- 16. #GoPackGo 9.780 posts
- 17. Klay 13,8 B posts
- 18. Pred 10,7 B posts
- 19. Hazuki 9.150 posts
- 20. OpTic 7.909 posts
Who to follow
-
J.James
@Kadulyu -
Babu Anasa
@babuanasa -
Christopher Nyerere
@NyerereTZ -
Klaus Mwalongo
@KMwalongo -
I stand for change
@mgaboz -
Justin
@chandruok -
Victoria M
@CMkasanga -
Mc Ajele
@ajele_comic -
David S. Nguma
@DavyNguma -
chief
@__msami_ -
Dr Semeni Nyerere
@DR_NYERERE -
Kaila (Mwenzetu)
@kailakarama -
Tarimo'sPower🇹🇿
@InnocAloyce -
Lynn
@LMadeleka -
Said Jr
@saidry21
Something went wrong.
Something went wrong.