@mofURT Profile picture

Ministry of Finance Tanzania

@mofURT

Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.

Similar User
CRDB Bank PLC photo

@CRDBBankPlc

Bank of Tanzania photo

@BankOfTanzania

Mamlaka ya Serikali Mtandao photo

@eGA_Tanzania

Uhamiaji Tanzania photo

@UhamiajiTz

Tanzania - SGR Project 🇹🇿 photo

@SGR_tz

TMDA photo

@tmda_tanzania

Wizara ya Elimu Tanzania photo

@wizara_elimuTz

TRA Tanzania photo

@TRATanzania

National Bank of Ethiopia photo

@NBEthiopia

Kassim Majaliwa Majaliwa photo

@KassimMajaliwa_

zuhura yunus photo

@venusnyota

Wizara ya Maliasili na Utalii photo

@MNRT_Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara photo

@ViwandaBiashara

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) photo

@TaruraTz

TBS photo

@TBS_Tanzania

Wahasibu wanawake nchini wametakiwa kusimamia vizuri fedha za umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Katibu Mkuu, Dkt. Natu E-lmaamry Mwamba, katika…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The 2nd African Association of Accountants General (AAAG) conference will be held from December 2-5, 2024, in Arusha, Tanzania. Theme: Building Public Trust in Public Financial Management (PFM) Systems for Sustainable Growth. Register now at conference.aaag.org.zm

Tweet Image 1

Ministry of Finance Tanzania Reposted
Tweet Image 1

Ministry of Finance Tanzania Reposted

It was good to see Tanzania’s Minister of Finance Dr. @mwigulunchemba1 at Cop 29 in Baku. Tanzania can always count on my strong support and that of the African Development Bank Group.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (@AfDB_Group ) Dkt. @akin_adesina , katika Viwanja vya Michezo vya Olimpiki, Baku, nchini Azerbaijan, unapofanyika Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa…

Tweet Image 1


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (@AfDB_Group ) Dkt. @akin_adesina , katika Viwanja vya Michezo vya Olimpiki, Baku, nchini Azerbaijan, unapofanyika Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa…

Tweet Image 1

Ministry of Finance Tanzania Reposted

"The purpose of public finance is not to accumulate wealth but to distribute it wisely to foster inclusive and equitable growth" - Joseph Stiglitz. Register here: conference.aaag.org.zm #TheCountdown at 14 Days. #2ndAAAGConference #ArushaTanzania

Tweet Image 1

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akisisitiza umuhimu wa kuongeza fursa za uwekezaji katika uchumi wa buluu na maji ya bahari kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi hususan katika eneo la kodi na kukuza ajira, wakati akimkaribisha Waziri wa Nchi…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 , ametoa wito kwa Serikali, Sekta Binafsi na Washirika wa maendeleo kuunga mkono agenda ya kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa manufaa ya watu waishio Barani Afrika. Dkt. Nchemba ametoa wito huo wakati akifunga mkutano…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Ministry of Finance Tanzania Reposted

Delighted to meet my brother @mwigulunchemba1, Finance Minister of #Tanzania. We discussed collaboration on access to alternative finance sources, infrastructure development, and effective macroeconomic management to prioritize development needs - @ClaverGatete at #COP29Baku

Tweet Image 1

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 , amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi yao ya kutoa dola za marekani bilioni 500, sawa na dola bilioni 100 kila mwaka kwa ajili ya kuzisaidia nchi zinazoendelea kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi katika kipindi…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 , ametoa wito kwa Serikali, Sekta Binafsi na Washirika wa maendeleo kuunga mkono agenda ya kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa manufaa ya watu waishio Barani Afrika. Dkt. Nchemba ametoa wito huo wakati akifunga mkutano…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 , amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa anayesimamia Kamisheni ya Uchumi Kanda ya Afrika, Bw. Claver Gatete, pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Ministry of Finance Tanzania Reposted

#TheCountDown to the #2ndAAAGAnnualConference #GoodGovernance is perhaps the single most important factor in eradicating poverty and promoting development - Kofi Annan. Register or learn more about the conference here: conference.aaag.org.zm

Tweet Image 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiteta jambo na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), katika Banda la Maonesho la Tanzania, lilipo katika Uwanja wa Michezo wa Baku, unapofanyika Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Wizara ya Fedha imekutana na kufanya kikao kazi na Asasi Zisizo za Kiserikali (AZISE) ili kujadili na kupokea maoni yao ya kuboresha Mwongozo wa Uzingatiaji wa Fedha na Ushirikiano kati ya Serikali na AZISE (Financial Compliance and Engagement Manual for NSAs) ili kuhakikisha…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Ministry of Finance Tanzania Reposted

Today, UKinTZ committed £10m to Tanzania’s Health Sector by signing the Health Basket Fund MoU. We're proud to partner with GoT 🇹🇿 & other partners 🤝in the journey towards Universal Health Coverage, aligning with GoT plans for #HealthForAll and ending preventable deaths by 2030.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

🇹🇿🇬🇧 Tanzania na Uingereza zimesaini hati za Makubaliano ya nyongeza ya kuchangia Mfuko wa Kusaidia Sekta ya Afya (Health Basket Fund (HBF)) kati ya Serikali na wadau wa maendeleo (Development Partners) ya pauni milioni 10 (sawa na Tsh bilioni 34), itakaowezesha utoaji wa huduma…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya kikao na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mtaalamu Mwandamizi wa Maendeleo ya Jamii kutoka Benki hiyo, Bi. Claudia Zambra Taibo, pamoja na wataalamu kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tanzania imeushukuru Umoja wa Ulaya (@EUinTZ ) kwa kuendelea kuwa miongoni mwa washirika wakubwa wa kimkakati wa maendeleo nchini kwa kuendelea kusaidia utekelezaji wa bajeti na sekta nyingine muhimu licha ya ukweli kwamba baadhi ya washirika wa maendeleo walijitoa. Hayo…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.