Katiba ya Watu wa ๐น๐ฟ
@katibayawatuKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba ya Watu wa ๐น๐ฟ #Katiba #katibayawatu #Pamoja60
Similar User
@Bimkubwatz
@kennedy40691787
@bimkubwatanzabg
@Luckas1498886
@YassinMatola3
@RachelG18078700
@KasilatiRodrick
@MwangaNkay76798
@stevenleonardk4
Ni hali inayoliangamiza Taifa Unamaoni gani juu ya jambo hili? @Jamhurimag @jmkikwete @TZMsemajiMkuu @WizaraMNN @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @HKigwangalla @TuliaAckson @dr_mpango @KassimMajaliwa_ @freemanmbowetz @zittokabwe @TanganyikaLaw @MsLACampaign
Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia katika maonesho ya Nane Nane inalenga kutoa elimu ya sheria, ushauri, na ufumbuzi wa matatizo ya kisheria kwa wananchi. Tupo Hapa Kukuhudumia! kwani msaada huu ni Bure kwa Watanzania wote.. #MSLAC #Katibayawatu #KaziIendelee
Kila mkoa unajivunia uzalishaji wa mchele bora kuliko mkoa mwingine inaashiria ushindani mzuri katika sekta ya kilimo nchini Tanzania. Kwa mtazamo wa kiuchumi na uzalishaji, ushindani huu una faida kadha, Kuongeza Ufanisi wa Uzalishaji. Ushindani kati ya mikoa unawezaโฆ
Wananchi wameonyesha kuridhishwa na huduma za kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia. Fika katika banda letu lililopo maonesho ya Nane Nane ili kupata huduma za msaada wa kisheria bure. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #KaziIendelee
Mapema leo nchi yetu ilipoandika historia kwa uzinduzi wa Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) ambapo pia nimeitumia kusafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Baada ya kukamilika kwa kazi hii njema, sasa tumeanza kazi ya vipande vipya vya Tabora kwenda Isaka, Isaka hadi Mwanza,โฆ
#LIVE:MEDANIZASIASA MDAHALO WAGOMBEA URAIS TLS 27/07/2024. Wagombea wakijitambulisha #katibayawatu #katibanadheria #startv @startv
Mslac Yawa Mwarobaini wa Kisheria Kwa Watanzania Ambao Sheria Imepindishwa Juu ya Haki Waliostahili. youtu.be/1_SRZwGywCs #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Mbali na msaada wa kisheria, wanawake na watoto wanapokea msaada wa kisaikolojia ili kuwasaidia kukabiliana na athari za kisheria wanazokumbana nazo. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan
Kampeni Hii ya msaada wa kisheria imebeba mfumo unaoshughulikia migogoro na kupunguza kero za Kisheria kwa Wananchi walio Wengi na Wasioweza Kughalamikia huduma za Kisheria! Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure! #MSLAC
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imeleta matumaini mapya Ya Haki kwa Watanzania Hasa Kwa Wanawake na watoto nchini, kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa na kulindwa. Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure! #MSLAC
Dar es Salaam? Pata msaada wa kisheria kutoka Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia viwanja vya 77. Huduma za migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, na ukatili wa kijinsia zinapatikana bure! Fika kwenye banda letu leo! #MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #SisiniTanzania
MSLAC tupo viwanja vya 77 kukuhudumia. Tunatoa msaada katika masuala ya migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, ukatili wa kijinsia na mambo mengine yote yanayohitaji msaada wa kisheria. Fika kwenye banda letu upate huduma hizi bure na kwa uhakika! #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu
Serikali ya Tanzania imeweka juhudi kubwa katika kuwafundisha watoto na vizazi vijavyo umuhimu wa kufanya kazi na kutunza mazingira. Hii inaendana na Katiba ya Tanzania inayosisitiza haki ya kila mtu kupata elimu na wajibu wa kila raia kuchangia maendeleo ya taifa. Elimu yaโฆ
Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo โ Busisi), lenye urefu wa kilomita 3.0 na barabara unganishi ya kilomita 1.66, linatarajiwa kuanza kutumika tarehe 30 Disemba 2024. Daraja hili linalojengwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Bureauโฆ
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA (MSLAC)NDANI YA SABASABA, Karibu Katika Banda La Mslac Kupata Msaada Na Ushauri Wa Kisheria. Katika Maonesho Ya 48 Ya Biashara Ya Kimataifa Ya Dar Es Salaam (DITF) #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA (MSLAC)NDANI YA SABASABA, Karibu Katika Banda La Mslac Kupata Msaada Na Ushauri Wa Kisheria. Katika Maonesho Ya 48 Ya Biashara Ya Kimataifa Ya Dar Es Salaam (DITF) #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), tunashiriki katika maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi zawadi ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kabla ya ufunguzi Rasmi wa ย Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ย (Sabasaba) tarehe 03 Julai,โฆ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda ย mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ย (Sabasaba)โฆ
United States Trends
- 1. GOTY 32,5ย B posts
- 2. #AskShadow N/A
- 3. Balatro 17,9ย B posts
- 4. Mika 95,5ย B posts
- 5. #TheGameAwards 40,1ย B posts
- 6. Elden Ring 26,6ย B posts
- 7. #Strobepopcat N/A
- 8. Metaphor 24,6ย B posts
- 9. Shadow of the Erdtree 9.685 posts
- 10. Ichiro 4.179 posts
- 11. Morning Joe 77,3ย B posts
- 12. Astro Bot 13ย B posts
- 13. Game of the Year 35,7ย B posts
- 14. Stellar Blade 10,6ย B posts
- 15. SOTE 3.497 posts
- 16. Silent Hill 2 13,2ย B posts
- 17. $CUTO 9.860 posts
- 18. Wukong 17,2ย B posts
- 19. Geoff 8.883 posts
- 20. Helldivers 2 4.459 posts
Who to follow
-
Bimkubwatanzania
@Bimkubwatz -
kenedy s. Kithabo
@kennedy40691787 -
BimkubwaTanzania Blog ๐น๐ฟ
@bimkubwatanzabg -
Luckas
@Luckas1498886 -
๐ ๐ฎ ๐ ๐ผ ๐น ๐ฎโ๏ธโ๏ธ
@YassinMatola3 -
Rachel Gibson
@RachelG18078700 -
Rodrick kasilati
@KasilatiRodrick -
Mwanga Nkayagwa
@MwangaNkay76798 -
Dm-computer-dodoma
@stevenleonardk4
Something went wrong.
Something went wrong.