@mshauri101 Profile picture

mshauri

@mshauri101

Find joy in suffering. Suffering, perseverance, principles, character, Hope.

mshauri Reposted

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tweet Image 1

mshauri Reposted

MSLAC inatoa salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali ya Kariakoo. Tunawaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka, na wale waliokwama waokolewe salama. waliotangulia mbele za haki, tunamuomba Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi, Ameen. #Katibanasheria #Nchiyangukwanza

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil tarehe 16 Novemba, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la…

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

mshauri Reposted

DKT SAMIA AELEKEA BRAZIL KUSHIRIKI MKUTANO G20 DAR ES SALAAM Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Novemba 16, 2024 kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20.…

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji laendelea na zoezi la uokoaji katika Mtaa wa kariakoo Jijini Dar es saalam

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

mshauri Reposted

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Palamagamba John Kabudi akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika hoteli ya Midland, Dodoma, tarehe 14 novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

mshauri Reposted

NDIO..... "Tanzania, kama nchi inayokua kiuchumi, inachangia kwa njia mbalimbali katika ustawi wa uchumi wa nchi wanachama wa G20 kupitia biashara, uwekezaji, na ushirikiano wa kimataifa. Ingawa mchango wake unaweza kuwa mdogo ikilinganishwa na nchi kubwa, ushirikiano huu una…

Tweet Image 1

mshauri Reposted

"Je, Tanzania ina mchango wa kutosha katika uchumi wa nchi za G20 kupitia biashara, uwekezaji, na ushirikiano wa maendeleo, au nafasi yake bado ni ndogo kutokana na changamoto za kimfumo na utegemezi wa kiuchumi kwa nchi tajiri?" JADILI KWA KUTAJA KILA NCHI MWANACHAMA NA MCHANGO…

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Mhe Rais @SuluhuSamia ni chaguo la MUNGU, mtake msitake ukweli ndio huo, kukalia kile kiti cha Rais sio kitu cha mchezo, kama Mungu hajaruhusu hutakaa ukikalie milele, Watanzania tulio wengi tunakuamini, tunakupenda, & tunaamini utatuvusha, #Mama_you_mad_it

Tweet Image 1

mshauri Reposted

BAJETI YA KILIMO ✅Mwaka 2021 - Shilingi bilioni 297 ✅Mwaka 2022/23 - Shilingi bilioni 750 ✅Mwaka 2023/2024 - Shilingi 970 #MamaYukoKazini

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Juhudi za viongozi wetu katika mahitaji muhimu ya maji ikiwemo maji safi na salama. Sehemu kubwa ya Tanzania inapata maji safi na salama. Hii ni kutokana na utu wa viongozi wetu katika kuhakikisha watu wao wanapata mahitaji muhimu #MSLAC #Katibanasheria #CCM #Nchiyangukwanza

Tweet Image 1

mshauri Reposted

USHUPAVU WA RAIS DKT. SAMIA Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha ushupavu wake katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kimaendeleo kwa kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ambayo haikuwa rahisi na wengi hawakutegemea ingetokea nchini lakini yamewezekana…

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.


mshauri Reposted

Juhudi za viongozi wetu katika mahitaji muhimu ya maji ikiwemo maji safi na salama. Sehemu kubwa ya Tanzania inapata maji safi na salama. Hii ni kutokana na utu wa viongozi wetu katika kuhakikisha watu wao wanapata mahitaji muhimu #MSLAC #Katibanasheria #CCM #Nchiyangukwanza

Tweet Image 1

mshauri Reposted

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylvester Mwakitalu wakati Mkurugenzi huyo alipomtembelea Mhe. Waziri ofisini Mtumba, jijini Dodoma leo tarehe 15 Novemba, 2024 @ofisi_ya_taifa_ya_mashtaka_tz

Tweet Image 1

mshauri Reposted

#ZiaraYaMamaBrazil Ushiriki wa Rais Samia Suluhu katika Mkutano wa G20 unaenda kuimarisha mahusiano ya Tanzania na mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani. Mahusiano haya yanaweza kuleta ushirikiano katika sekta mbalimbali kama vile biashara, uchumi, na maendeleo ya kijamii.…

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.