@michaelsalakana Profile picture

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA

@michaelsalakana

Uhuru wa kujieleza Haki usawa na Amani @Chelsea

Joined April 2014
Similar User
King Cleo photo

@KingCleo8

Shuku Senya photo

@SenyaShuku

Ramadhani Mnyira photo

@Mnyirajr8

Barnakandh photo

@HeisBarna05

nyatu_nyatu photo

@nyatu_nyatu

Bigirimana photo

@Hulilo_BM

Dr.Eiyob Saed🩺⚔️🥼 photo

@DrAlhashish

Thomas Ludovick photo

@tludovick

mathew photo

@kahemamathew

WA SANYA JUU photo

@2018Mushiisack

Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 photo

@mackphason

Shembu photo

@henrymhina__

Musa Nkwabi Motors photo

@MusaNkwabiJr

Kalikuyundi. photo

@kalikuyundi

Babna photo

@smartbabnaa

Pinned

Kwenye moja na mbili tukitafuta #maokoto Mungu mbele ❤❤


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ninawaalika katika maandamano kesho saa tisa mchana hapa X. Maelekezo ya tutakachofanya yatatolewa. Tutapeleka tena ujumbe kwa Rais kuhusu utekaji, tukimtaka awaachie wote waliotekwa. Tutadai haki ya Mzee Kibao na wengine. Will you be there? #ZuiaUtekaji


Mkuu kwanza lazima salamu then lazima niwape konyagi kubwa kwajili ya kupotezea mda ala kuwapa moyo kunasiku Ndoto zao sitakuwa kweli

Huyo little bro/sis anayesafisha msalani hapo unapokula bata mtupie buku au zaidi. Itamfaa sana. Enjoy Friday.



Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Huyo little bro/sis anayesafisha msalani hapo unapokula bata mtupie buku au zaidi. Itamfaa sana. Enjoy Friday.


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ukisikiliza hiki kipande ndio utajua HAWA WATEKAJI NI WAKINA NANI. “Sisi ni maaskari” “Twende Gogoni” Kila siku nawaambia hawa @tanpol chini ya MAFWELE ni watekaji mnasema napiga kelele. Sitaacha kupiga kelele mpaka MNIELEWE. Repost 200 chap chap.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Huyu hakuna hata anaepajua Kwake kweli? Tupate Repost 200.

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ni Kazi ya nguvu ya umma kuhakikisha Bango hili linasambaa kila sehemu, #Repost

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

One of the key takeaways from #YouLead24 yesterday was this: We have only one Africa 🌍, so let’s work to make it a place where everyone can thrive. Let’s make our policies people-centered, inclusive, and empowering for all. #YouLead24

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Nyakati ngumu huturudisha kwa Mungu #ElimikaWikiendi


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Msaada natafuta Dalali wa kuuza nyumba Mwanza. Nyumba ipo Nyasaka (Madukatisa). DM ipo wazi.


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Song Title: Usiusemee Moyo Songwriter: Judith Wambura Mbibo Released: 2003 Happy 21yrs old Usiusemee Moyo


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ni kwa neema zake Mungu nipo hapa mbele yenu leo nikiwa na nia thabiti ya kutangaza dhamira yangu ya kugombea nafasi ya BAVICHA. Nafasi hii ni ya heshima na wajibu mkubwa,ninaelewa kwa undani mahitaji, changamoto, na matarajio yetu kama vijana wa taifa hili ndani ya chama

Tweet Image 1

Karibu Kilimanjaro karibu moshi Mjini

🇹🇿✍🏻

Tweet Image 1


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ufunuo 2 :10 "Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai."

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

HAKI IMESHINDA TENA. MAHAKAMA IMEKUBALI BONI KUPEWA DHAMANA LEO. Repost 200 Gen z babaetu anarudi mtaani leo.🔥🔥🔥🔥

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted
Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Ukikutana na hili bango mahali we repost tu. Linajieleza.

Tweet Image 1

Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Serikali ya madikteta

Tweet Image 1

Ikitokea Viongozi wamekamatwa au labda Mbowe amepigwa Risasi mniombee nilale kwa amani lakini msiache kusonga mbele, tunafanya hivi kwasababu kuna ndugu zetu na wazazi ambao hawajui watoto wao kama wapo hai au wamekufa" -@freemanmbowetz


Mr. MICHAEL JULIUS SALAKANA Reposted

Repost 200 kwa mafwele.🤝

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.