@mepuyinywe1 Profile picture

@mepuyinywe

@mepuyinywe1

Business man

Similar User
😁INSIDER😁 photo

@JosephatKatabwa

Ema Venanc Kilenga🇹🇿🇵🇹 photo

@ema_venanc

thebarontz photo

@thebarontz

Focus Digito TV photo

@focusdigito

Robert Mhebuka photo

@realrobert92

Mohamed Mussa photo

@mmmsambila

Dully Fundi Bomba photo

@fundiBomba404

@mepuyinywe Reposted

Mmekataa kuandamana sasa itaandamana mifuko yenu

WATUMISHI WASIO NA TIN NAMBA KUTOLIPWA MISHAHARA JANUARI - Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka TRA amesema, Mfanyakazi ambaye hatawasilisha Namba ya Mlipakodi (TIN) hadi Desemba 31 mwaka huu hatalipwa mshahara wa Januari Soma - jamii.app/TINWaajiriwa #JFLeo

Tweet Image 1


@mepuyinywe Reposted

Hahaha Huyu mzee hela za Mabeberu zinamchanganya

WATUMISHI WASIO NA TIN NAMBA KUTOLIPWA MISHAHARA JANUARI - Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka TRA amesema, Mfanyakazi ambaye hatawasilisha Namba ya Mlipakodi (TIN) hadi Desemba 31 mwaka huu hatalipwa mshahara wa Januari Soma - jamii.app/TINWaajiriwa #JFLeo

Tweet Image 1


@mepuyinywe Reposted

Sawa sawa!

Tweet Image 1
Tweet Image 2

@mepuyinywe Reposted

Yusufu alifungwa kwa kosa la kusingiziwa mwisho wa siku alikuwa kuwa waziri mkuu. Daniel alishtakiwa akatupwa kwenye makanwa ya simba wenye mama mwisho alikuja kutawala na Mungu wake alianza kuabudiwa. Hata sasa MUNGU yule yule bado anatawala kwa nguvu zile zile


@mepuyinywe Reposted

Sasa tulale kidogo maana kesho itakuwa siku ngumu na ndefu sana! Energy is needed ✌🏻✌🏻


@mepuyinywe Reposted

ALERT 👉 habari toka TISS wanakiri kwamba mwaka huu hali ni mbaya sana na ni ngumu kuweza ku resit Zanzibar na Bara.. WAmekubaliana kabisa kuwa ni lazima kumoja kuwatoke either Zanzibar au Bara... 👉 Sasa watanzania kazi kwenu !! Hayo nayowaandikia hapa ni toka ndani ndani huko


@mepuyinywe Reposted

Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa kucheka: #Mhubiri3

For everything there is a season, and a time for every matter under heaven: He has made everything beautiful in its time. Also, he has put eternity into man's heart, yet so that he cannot find out what God has done from the beginning to the end. - Ecclesiastes 3:1,11

Tweet Image 1


@mepuyinywe Reposted

Uchaguzi wa Zanzibar kana kwamba kuna vita ~Majeshi kila pahala... Tafadhali watu wasitishwe. Kila mtu atekeleze jukumu lake kwa Haki na Sheria, Mpiga Kura/Wakala/TumeYaUchaguzi/Polisi #WazanzibariNdioWenyeNchi Kura ni Haki ya Mzanzibari kumchagua umtakae #Haki #Haki #Haki #Amani


@mepuyinywe Reposted

Kutoka Jimbo la Same: Mawakala wa Chadema wameapishwa usiku hii ni kutokana na Msimamizi wa Uchaguzi kuleta hila za kutowaapisha mchana kutwa hali iliyopelekea Mawakala hao kuchukua uamuzi wa kutoondoka ambapo imembidi Msimamizi ajitokeze usiku na kuwaapisha. #TutaelewanaTu

Tweet Image 1

@mepuyinywe Reposted

Someni hii na wasambazieni wengine link.medium.com/2xWfVFWoMab


@mepuyinywe Reposted

Msimamizi Musoma kakuta mawakala wa chadema wamekuja na raia kama buku ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…


@mepuyinywe Reposted

Wagombea wa upinzani walienguliwa, walisimamishwa kufanya kampeni, yawezekana walikuwa na makosa. Na hili la kukataa kuwaapisha mawakala wa upinzani ni nini? Kwanini tunataka kulazimisha vurugu na kuliingiza taifa ketu matatani?


Huyu kasahau kuwa gari ya chama siyo gari yake binafsi mwone alivyomshamba.Hili ndo tatizo la kuwatoa kwenye bajaji


@mepuyinywe Reposted

#Taarifa💥za moto kutoka nyumba nyeupe Meko anamtukana Chakubanga na Muuza ndizi kwa kumdanganya kwamba wameshaua upinzani mwaka 2020 anapita bila kupingwa. Meko amshakubali kwamba Lissu ni CHAGUO la umma. Hakuna njia ya kumshinda isipokuwa kupindua meza yenye vinywaji.


@mepuyinywe Reposted

JK wasaidizi wa Meko wanasema anakuja kwako kuomba ushauri! Mfukuze maana alikuwa anakudharau sana! Mwambie apambane na TISS wanaomjaza ujinga 🤣🤣


@mepuyinywe Reposted

Chikola hapo ni 40km from Dodoma! Halafu mtu anakuja kusema kanunua ndege sijui uchumi wa kati! Mxxx ..


@mepuyinywe Reposted

Kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......! @SuluhuSamia Chuma Kinasema Kura zenu zisipotosha,Mtaamua Kuondoka Kwa Shari au kwa Heri.


@mepuyinywe Reposted

Banks kufungwa na kutotoa huduma 72hrs before elections! Sasa mje mseme hamjaambiwa


@mepuyinywe Reposted

Hili tukio walau tumefanikiwa kupata video. Kuna matukio mengi ya hovyo sana yanayofanywa bila kuonekana. Polisi wetu wanafanya mambo ya kinyama kama yaliyofanywa na makaburu kwa watu weusi. wanalazimisha kukibeba chama ambacho wananchi wamekichoka sana. Mwisho wa uhuni huu 28/10


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.