@matowo_GM Profile picture

GM

@matowo_GM

Passionate farmer | Seventh-day Adventist.

Similar User
Bruno🧸 photo

@Bruno_Mwafrika

King Mayele 🤴 photo

@FistoniMayele

Ahmed Rashid🇹🇿 photo

@ahmerd_costa19

CENTROZONE_MAN photo

@evarist_jnr

kayombo Jr photo

@kayombo29

V E N N A📸 photo

@vennatz1

Mtanga 🇹🇿🇺🇬 photo

@officialmtanga

RADI TECH photo

@radi42_

Derick photo

@derickmgeni

Balian photo

@MaestroLamar

AGAFE photo

@tussiwe

ROTTA👃 photo

@EddyAB_

SungweCost photo

@sungweone

JOB photo

@jobGulam

Genius 17 Youth Organization photo

@_simply_joh

GM Reposted

It takes time to understand the sacrifices Men do, untill they are no longer there.


😂😂

Mimi sijaona kipigo hapo mbona..😆😆



Hichi kipigo cha kawaida kabisa tukilinganisha na tulvyokuwa tunakanyagwa miaka ya nyuma, kuhusu Gavo schools @bajabiri will have plenty to say #Teachingisprofession

Mashuleni kuna vipigo zaidi ya hivi, napo tukachungulie haswa Gavo schools



Meltdown episodes continues 😂

TITANIC: Msimu wa Tatu, Mfululizo wa Kwanza (S03E01). Jina la Episode: Jamani Simba Inaniua Hii Simba



Hawa ni wanaume?

Sasa hii ni Nini???



GM Reposted

Ni muda mrefu umepita, lakini nimerudi! Tunanza Upyaaaaaa! Kwa wale ambao mmekuwa mkifuatilia kutoka mwanzo, mnajua jinsi nilivyo na mzuka kuhusu biashara na masoko ya mtandaoni. Baada ya mapumziko ya marefu kutoka X, nimerudi na kitu kipya ambacho kitabadilisha mambo kabisa👇


GM Reposted

10% umeenda mbali, haifiki hata 5%. Last labor force survey iliyotolewa 2021 ilionesha nguvu kazi yenye elimu ya chuo kikuu ni 1.8%, Vocational Training 1.2% na Tertiary/Non university 1.4. Halaafu Secondary-16.5%, Primary-63.4% na wasiosoma/hawajamaliza primary ni 15.6%


GM Reposted

Shida za walimu wa nchi hii sio ukosefu wa mitungi ya Gas....muwe na heshima basi kwa walimu jamani. #TeachingIsProfession #Accountability


GM Reposted

Tanzania kisiwa cha uvumilivu, uoga au ujinga mwingi?


Na mikopo kwaajili ya stakes

Odd za uhakika kwenye betting.



GM Reposted

Miaka 6 iliyopita siku kama ya jana tulipoteza wapendwa wetu zaidi ya 224 katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere huko Ukara, Ukerewe. Nilitamani kama nchi tuwe na tukio la kukumbuka wenzetu hawa hasa tukiangazia usalama wa vyombo vya majini na kuweka mikakati kuzuia majanga zaidi.


Topnotch hypocrisy 🙌🏾


A good joke but @bajabiri will have plenty to say. #Accountability

Kuna mtu kamwambia Mange kimambi eti ana tako dogo kama mshahara wa walimu😋🥲😂



Mafisa ubashiri tupewe mikopo.

Viongozi wa kiimani: Tulipwe 900K kwa mwezi Wasanii Uchwara: Tupewe Bima za Afya za Bure Viongozi Serikali za wanafunzi: Tulipwe mishahara Wenza wa Watawala: Tulipwe mafao ya kuwapetipeti wenza wetu



Huyu sio mwalimu wa IV ya 26, huyu ni mwalimu mwenye ufaulu mkubwa ambae anaamini angekua sehemu better than being a teacher, Mwalimu mwenye Div. IV hawezi kucheza naa ugali wake namna hii

Hawa ndo wale walimu wa Div. IV ya 26 ikabidi atafute pa kufia



Nipewe hata komwe niguse 😂


GM Reposted

Justice isn't for everyone in a corrupt society


GM Reposted

Wazee au tupige #DAW challenge tumalize hii issue ya mwana chapu??

Dear Brother and Sisters Miezi miwili nyuma nilikuja hapa kuomba msaada juu ya changamoto ya ada iliyokuwa ikinikabiri bahati mbaya sikufanikiwa na nikashidwa kufanya mtihani na kuandika barau ya kuomba kufanya Special exam ambayo ipo mwezi wa 9 but mpaka sasa sijafanikiwa…👇🏾

Tweet Image 1


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.