@malambili Profile picture

Baisar Abdallah

@malambili

A young politicians/ Member of CCM. A football fan of Yanga/Arsenal FC. From Mtwara Tanzania. email. [email protected] Mstahiki meya - TANDAHIMBA

Joined August 2015
Similar User
Said ramadhan photo

@SaidSr70

Kwa kuzingatia umuhimu wa elimu kwa watoto wetu, hususani wale wanaotarajia kuanza darasa la kwanza. Ofisi ya diwani wa kata ya kitama -1 inatarajia kuwapatia MADAFTARI 5 kwa kila mmoja ,kwa wanafunzi wote watakaoanza darasa la kwanza kwenye shule zote zilizopo kata ya kitama.


Ujenzi wa kiwanda cha ubanguaji korosho kata ya kitama- Organic Growth..

Tweet Image 1

Kuna somo kubwa sana la kujifunza kwa ndg SABAYA hasa, kwa sisi viongoz vijana. TUONGOZE TUKIWA NA HOFU YA MUNGU


Hivi ushajiuliza itakuwaje , endapo mh Rc anakufuma na denti during afternoon uko nae lodge???


https://t.co/Cotcsc0JK9

Tweet Image 1

Baisar Abdallah Reposted

Shujaa zangu pia hao 👊👊 twitter.com/mkandamizaji/s…

#ShujaaWangu2015 Single moms ambao wanakomaa hadi kieleweke sometimes bila sapoti za wababa wa watoto. Mungu awape nguvu zaidi 2016.



Eti jaman katika wale 1500, mchungaj msigwa hayupo nae? Wale wa iringa


Ujinga na ulofa ni kutoka bungeni, na kwenda bar kuisikiliza hotuba ya JPM. Bar kupitia tv tena na kumuomba muhudumu aongeze sauti...


ccm oyeee http://t.co/LlZgxX6eJ5

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.