@kuonewa Profile picture

Smart Japhy

@kuonewa

Joined April 2012

Mtoa una matatizo, Yan Viongoz wanaotetea haki za wanyonge hao hao tena wawe wanafurahia kuumizwa kwa Wananchi?? Hivi kuna Watanzania wanaofikir ovyo namna jamani?? Poleni sana!!

Asilimia kubwa ya viongozi wa awamu ya Tano wanapata faraja sana wakiona wananchi wanaumizwa. Hakuna mwenye hali hata mmoja anayetakiwa kuumizwa ili kujenga nchi!! Wakati mnaomba kula MATESO haikuwa Moja ya ahadi, kutafuta haki za binadamu sio ahadi, Kuumiza watu ni Uhuni tu

Tweet Image 1


Raisi hana kituo maalumu cha kazi, Raisi si sawa na Mbunge na Raisi anaweza kuwa mahali popote na mda wowote ule!!

Hongera Mkuu Wa Mkoa Mh. Makonda Kwa Kuwatimua Wazururaji Jijini Dar Es Salaam Ili Warudi Kwenye Kituo Chao Cha Kazi Jijini Dodoma, Taifa Limehamishia Masikio Kwa Mkuu Wa Mkoa Wa Geita Kujua Mzururaji Wa 'Chattle' Anapewa Masaa Mangapi Kurudi Ofisini Kwake Jijini Dar Es Salaam?



Wanaume ambao hawtumii pombe hawana kilevi kingine zaidi ya kutulia na familia zao tu ila wanaokunywa pombe wao hufanya mambo ya ajabu maana pombe si chai!!!

Naomben kuulza jamaan hiv wanaume ambao hawatumii pombe na sigara kilevi chao ni nini?



Tatizo upinzani unaleta siasa kwenye Covid-19, Serikali kila kukicha wanapambana kwa njia tofauti lkn wao wapinzani hata mpango kazi wa kupambana na hii Covid-19 hawautoa lkn kelele kila kona yan hatar, hili ni jambo la watu wote kuungana basi!!

Naomben kuulza jamaan hiv wanaume ambao hawatumii pombe na sigara kilevi chao ni nini?



Kaongea Fact Mwigulu!!

Mwigulu seriously!! Kwahiyo Kagame, Uhuru, M7, Ramaphossa wao ni manesi? Mbona wako Frontline kutekeleza wajibu wao? una watoto nyumbani na wana smartphone wanaona ivi vitu, ukiamka kuchangia since huwezi kuongea kwa ajili ya watanzania have some respect for ur family basi.



Kumjua Yesu ndio kujua njia sahihi ya kwenda huko peponi!!

@kigogo2014 Ndugu Snowden @kigogo2014 umenifundisha msamiati hapa, kwamba hatuendi kwa YESU kwasababu tunamjua YESU ila tunaenda kwa YESU kwasababu tunaijua njia ya kwenda kwa YESU. Hakika ni Amini na Kweli.



Smart Japhy Reposted

1. Membe alifukuzwa CCM hata kabla hajahojiwa. Naye alilijua hilo. Taarifa za ndani zinasema aliwaeleza hilo akina Mangula. 2. Amefukuzwa CCM si kwa makosa wanayotaja bali kwa kuwa alitamani kugombea urais kupitia CCM. Katika mahojiano, aliwaeleza: "Mwambieni JPM, nitagombea."

Tweet Image 1

Si kweli, Ukitaka kuamini kuwa si kweli basi angalia wote waliokuwa Upinzani then wakahamia CCM na wakapewa madaraka, Waitara, Lengai Ole Sabaya, Patrobas Katumbi na wengine wengi yan wao wanapiga kazi tu na MTU mpinzani yeyote akijichanganya kwako basi ujue kaumia.

Kwa Kifupi Chadema wamepewa nchi bila nguvu nyingi



Huyo jamaa ndio tayar kapotea peke yake na hakuna atakaemsaidia tena!!

Kwa Kifupi Chadema wamepewa nchi bila nguvu nyingi



Smart Japhy Reposted

#LIVE: Winners at Cannes Film Festival awards react pscp.tv/w/b7mG4DFBbWp6…


Korea Kaskazini ukinyoa nywele kwa kuiga staili ya Raisi unafungwa Jela!

This post is unavailable.

Smart Japhy Reposted

Bomb Kills Five U.S. Soldiers in Southern Afghanistan nyti.ms/15eu2VO


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.