@jokelii_ Profile picture

JOKEL🃏

@jokelii_

♧Smart Boe♡🦅 ♧Jokel 🃏

JOKEL🃏 Reposted

Jitahidi Sana Kuwa Mwema , Lakini Kamwe Usipoteze Muda Wako Kuwaaminisha Watu Wema Wako📌.


JOKEL🃏 Reposted

Vijana Tunafundishwa Kuweka Akiba Nusu Ya Kipato Tunacho Kipata Ikiwa Matumizi Ya Kipato Tunacho Kipata Kwa Hali Ya Kawaida Ni 109% Maana Yake Bado Hakikidhi Maradhi ,Mavazi Na Chakula✍️ Mh.Tafadhari Tupe Mbinu Mbadala Hii HAPANA Madeni Yataongezeka Na Magonjwa Yatatutafuna🤌🙏


JOKEL🃏 Reposted

Hatukubali Mangungu tuachie timu yetu 😡

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

Wakuu tushambulie pale pinned 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

Aweeeeeeee 🌚

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

🙏Nisaidie Repost🥰 QUALITY SHOES🔥🛍️ ~Brands name; VANS🛍️🛍️ ~Size; 40 41 42 43 44 45 ➡️Price; 65000/= ~Delivery available 📍Kariakoo 📞 0623346245 Au Dm @QueenOnlineBiz @QueenOnlineBiz

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

JOKEL🃏 Reposted

Ni siku nyingine tena ya kusaka mitonyo. Tumwombe Mungu hali ya hewa iwe shwari.🙏 Good Morning.

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

Unaweza ukawa umezaa kabla ya ndoa na kweli ilikuwa sio matarajio yako ila kuzaa tena kabla ya ndoa ni ishara ya kwamba haujitambui.


JOKEL🃏 Reposted

Hawa jamaa waajabu sana. Wanataka wao wakija Bara waajiliwe ila sisi tukienda kwao wanamaindi. Sitaacha kusema Mwalimu kama kuna kitu alifeli ni kutupa hawa jamaa. Afu unakuta keleng’ende za bara zinagonga meza tuu. Ndiomaana hata mpiga Mwingi haeleweki. Hawa jamaa🚮

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

Lihimidiwe jina lako yehova. Sifa na utukufu ni vyako bwana. Umetupa heshima katikati ya maadui zetu. Umetupa ushindi dhidi ya maadui zetu. Hakika upendo wako juu yetu hauna kipimo. Naomba ukashushe mvua za baraka kwenye kazi zetu. Kalinde familia zetu. Wote tuseme amen.🙏🏿

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

Weather for two; My late mother's jacket from 13years ago and i😆🤭

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

JOKEL🃏 Reposted

Unakuwa na nguvu za kimwili na kiakili mara tu unapogundua hakuna mtu atakayesimama na kupigania vita vyako kwa ajili yako. Hekima Za Mfungwa 101.


JOKEL🃏 Reposted

Ushawahi kuona mchina ana mimba? Just look betweet S and F ujione mambo

Tweet Image 1

JOKEL🃏 Reposted

𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗞𝗢𝗦𝗘𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗖𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗢𝗡𝗔 𝗡𝗜 𝗦𝗔𝗛𝗜𝗛𝗜 𝗞𝗔𝗕𝗜𝗦A Nimwanafunzi wa mtaalam @mrshitcoin_Tz 𝗔𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝗺𝗶𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗮𝗯𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 (𝟭𝟳𝟭𝗠) 𝗡𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝟭𝟵 𝘁𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗽𝗿𝗼𝗼f

Tweet Image 1
Tweet Image 2

JOKEL🃏 Reposted

Sema wabongo tunaona kila kitu ni simple tu yani, kisa una hela unaamua kufungua biashara bila ya kufanya utafiti, hujui marketing and sales strategies hata moja. Huku kitaa watu wanafunga maduka daily kisa kukurupuka.


JOKEL🃏 Reposted

#Ad ☎️0788177071 Mwisho wa changamoto za nguvu za kiume, u me mlegevu ni kwa Masai Usikubali kushindwa kwenye matatizo ambayo yanatibika Muone Masai Herbal Clinic kama Una changamoto za kiume ✅Utapata nguvu za kiume ✅Uume utakaza ✅utaweza kusubiri mpaka mke afike…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

JOKEL🃏 Reposted

#Naomba Repost Dear❤️🙏 27,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE NATUMA

Tweet Image 1
Tweet Image 2

JOKEL🃏 Reposted

Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo Urafiki Ukiisha , Siri Zako Zote Unazikuta Kwa Maadui Zako ✍️.


JOKEL🃏 Reposted

Katika mambo ambayo kibinadamu haya wezekani ndio Mungu huji tukuza kwayo, na pale ambapo akili zetu zime fika mwisho ndipo Mungu huanzia usi ogope, endelea kumtumainia.


JOKEL🃏 Reposted

Kama hujawahi mkojoza demu wako wewe ndio zile herufi katikati ya F na S

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.