๐๐๐๐ข๐ข๐ ๐๐๐ก๐ฒ๐
@HabiibYahyaaAlhamdulillah
Similar User
@iamcolosal
@arusha_icon
@askariwamigu
@Hunterjay12345
@JsMtuPoa
@goligani
@callmeFuraha
@EssayDeals
@babawawazee
@CosmasiMbaba__
@rala195
@barbieSubrah
@mozu245
@Malengoo
@EddoLalika
Picha Ya mwaka 1930.. Waliokua wanaswali wamefariki.. na ambao hawakuswali wanasubiri swala iishe wauze bidhaa zao pia wamefarikiโฆ Wote sasa wapo chini ya ardhi, kila mmoja anaona njia alokua ameishika.. Alieswali hakufa kwa njaa, na alieacha swala kwa ajili๐๐พ
Ndo unakua umetoka tu kukopa umeshalipia mlango ndo waanza biashara haina hata wiki yanatokea haya, unaweza waza we ni mtt wa shetani. Mungu awatie nguvu๐ซ
Keep Kariakoo in your prayers ๐๐ป๐๐ป.
Taarifa zilizotufikia zinasema Jengo la ghorofa limeporoka Kariakoo na Congo Jijini Dar es Salaam. Jitihada za kuokoa vitu na manusura wa ajali hiyo zinaendeleaโ๏ธ #KitengeIpdates
ูุง ุชุฑุงูุจ ู ุง ูู ููู ุบูุฑูุ ุญุชู ูุง ุชูุฑู ู ุง ุชู ูู Usikodolee macho vile wanavyomiliki wenzako, ili usije kuvichukia vile ulivyonavyo.
Time for Mike Tyson ๐ฅ
ZIMEBAKI SIKU CHACHE TICKET UMEPATA??? Je upo tayari kuyapa usikivu stahiki masikio yako๐ซ? Njoo uliwazwe moyo na uyatibu masikio yako, Njoo tumswifu mtume (S.a.w) na Maqam mbalimbali pamoja tutukuze ufalme wa ALLAH nunua ticketi yako mapema zimebaki chache sana.....!
Porn ni Zina ya macho. Inaharibu akili, uhusiano wako na Mwenyezi Mungu, Imani yako, Tahajjud zako na matendo mema. Mwenyezi Mungu atuepushe na uchafu huu.๐คฒ
Hakuna anayejua kinachoendelea nyuma ya machozi yako, hakuna anayefahamu huzuni yako ya ndani, hakuna anayejua maumivu unayopitia. Lakini kila mmoja ataona makosa yako. Mwisho wa siku, maisha lazima yaendelee.
Kuna mtu muda huu amelala kitandani hospitalini, akiomba Mungu ampe nafasi ya kuishi maisha unayoishi sasa. Heshimu maisha yako, yaenzi, na yatumie kwa busara.
InโShaโAllah
ุงููุดู ููุณ ุนูุณ ุงููุฌุงุญุ ูููู ุฌุฒุก ู ูู Kufeli sio kinyume cha mafanikio, bali ni sehemu ya mafanikio.
ุงูู ุงุถู ุตูุฏูู ู ุบููุ ููุชุญู ููุชุนูู ูุง ููุนูุด ููู Muda uliopita ni sanduku lililofungwa. Huwa tunalifungua kwa ajili ya kujifunza, sio kwa ajili ya kuishi ndani yake.
ุฅุฐุง ููุช ุงูุญูููุฉุ ููู ุชุญุชุงุฌ ุฅูู ุฃู ุชุชุฐูุฑ ูู ู ุง ููุชู Ikiwa utasema ukweli, wala hutohitaji kukumbuka kila ulichokisema.
Kwa moyo wa dhati naomba tushikamane kumpigia kura @shinelady kwa tuzo hii anayostahili. Kura yako ni msaada mkubwa kwake! Namna ya kupiga kura: 1. Tembelea link zwrawards.co.tz/vote/ 2. Tafuta kipengele cha mgombea 3. Chagua picha yake na gusa duara chini ili kuweka tik (โ )โฆ
Allahu Akbar ! WOW ๐ค
Moja ya vitu ambavyo ni vya kuviepuka ni kuongea kitu/vitu bila kua na elimu navyo ya kutosha. Katika ulimwengu huu wa utandawazi ni rahisi sana kupoteza watu kwa maandishi ya mtandaoni. Maandiko yanayoandikwa humu X yanaonyesha wazi watu wana elimu ndogo sana kuhusu Uislamu
United States Trends
- 1. Mike 1,85ย Mn posts
- 2. Serrano 240ย B posts
- 3. Canelo 16,6ย B posts
- 4. #NetflixFight 72,4ย B posts
- 5. Father Time 10,8ย B posts
- 6. Logan 79,2ย B posts
- 7. #netflixcrash 15,9ย B posts
- 8. He's 58 26,1ย B posts
- 9. Rosie Perez 14,9ย B posts
- 10. ROBBED 102ย B posts
- 11. Boxing 300ย B posts
- 12. Shaq 16,2ย B posts
- 13. #buffering 10,9ย B posts
- 14. My Netflix 83,3ย B posts
- 15. Roy Jones 7.185 posts
- 16. Tori Kelly 5.254 posts
- 17. Ramos 69,9ย B posts
- 18. Muhammad Ali 18,6ย B posts
- 19. #netfilx 5.069 posts
- 20. #cancelnetflix 5.068 posts
Who to follow
-
NGOTE
@iamcolosal -
Arusha Icon ๐
@arusha_icon -
askari wa miguu
@askariwamigu -
HUNTER
@Hunterjay12345 -
๐ฑ๐บ
@JsMtuPoa -
goligani
@goligani -
FURAHA
@callmeFuraha -
Private Writers
@EssayDeals -
BABA WA WAZEE.
@babawawazee -
COSMASI MBABA
@CosmasiMbaba__ -
Ahlam๐
@rala195 -
Dr Subrah ๐น๐ธ๐๐
@barbieSubrah -
DIGALAโ๏ธ
@mozu245 -
MALENGO
@Malengoo -
Eddo Lalika
@EddoLalika
Something went wrong.
Something went wrong.