Similar User
@henrymhina__
@ShigongoR
@MaigaMgeta
@MwalunuKipya
@joseemtafiti
@PopaMtey
@Awesome777Jay
@ThatWasEpic__
@HoodsGeneration
@MagangaChrispin
@MarcoKasasi
Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao. Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini. @ManenoIzaak
Pamoja na juhudi zako kwenye kutafa maisha usisahau yakuwa ni Mungu pekee ndiye anaye ruhusu mabadiliko yakupate, Hivyo usi msahau kwenye mahangaiko yako.
“Badilika, lakini anza polepole. Kwa sababu, mwelekeo ni muhimu zaidi kuliko kasi.” - Paulo Coelho
Baadhi ya matatizo hayahitaji funga wala maombi.. Nenda kawaombe msamaha wale wanyonge uliodondosha machozi yao.🙏
Unapotafuta maisha kuwa mvumilivu kwani mafanikio huenda sambamba na mipango ya Mungu.
Muombe Mungu akupe kiasi kwenye kila jambo katika maisha yako,maana ukikosa kiasi utaishia kupata aibu nakudhalilika,pia kuna watu muhimu utawapoteza katika maisha yako🤝🙏
Ni bora kuishi na mtu anayeonekana ni mwenye dhambi lakini ana upendo, kuliko mtu anayejifanya mkamilifu halafu ana roho mbaya.
Mtu anaekupenda kweli hawezi kukuvunjia heshima kwa namna yeyote ile, kuwa makini na 🚩🚩 mapema! "Ukipanda treni na ukapitishwa kituo, jitahidi ushuke kituo kinachofata, kadri unavyosogea vituo vya mbele ndivyo gharama inaongezeka kurudi ulipotoka"
Dunia ina kelele nyingi sana lakini usiamini katika hizo kelele bali amini katika uwezo wako, nia yako, na malengo yako utafaulu.
Maisha ya utafutaji yanahitaji sana nidhamu kubwa Kuliko Elimu.
Omba msamaha pale unapokosea, bado una umri mdogo sana kupoteza watu muhimu kwa sababu ya ufahali au kiburi. Ondoa fikra ya kwamba unaweza pata mbadala wa kila mtu.
"Hata tungefanana vipi, hata tungelingana vipi, hata tungezidiana vipi, kila mmoja ana upekee wake unaomtofautisha na wengine. Ujue upekee wako, ukubali, ustawishe na uruhusu uchanue. Upekee wako ndio turufu yako. Hapajakuwapo wewe kabla na hapatakaa pawepo wewe mwingine baada!"
The difference between promises and memories is that we break promises and memories break us.
Shangilia Mambo yote kwa hii Dunia ila Sio kushangilia Anguko La Mtu Mwingine.
Maisha yanataka uwe muongo mbele ya wasiopenda hatua zako.. Yanataka uwe muigizaji kwenye maisikio yanayokutangaza ubaya. Yanahitaji uwe loyal kwa wenye huruma na harakati zako.. Vinginevyo na hapo maisha ya pretend, hayatakusaidia..
Upendo huwa unakufa taratibu kama anaye pendwa Hathamini juhudi za mtu anaye mpenda.
Anything you’re doing to fight poverty, take it more seriously.
Jukwaa la Elimu Kwa Jamii, Taarifa na Historia kiganjani mwako..🧠 t.me/ElimikaKiganja…
MFAHAMU SHUJAA WA KISUKUMA ALIYEWATESA WAJERUMANI NG'WANAMALUNDI. #EP01✨ Thread 🧵 Historia ya Ng'wanamalundi Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani. Mtu huyo aliyewahi kuutingisha utawala wa Wajerumani,…
Dunia haina huruma hata ukitia huruma, Dunia haina hasara kwa namna yoyote utakavoamua, ufe au uishi, Dunia haina muda nawewe kama huna cha kuipa, haina muda nawewe kipindi unachojitafuta ukijipata basi Dunia itakuhitaji sana, Dunia haina muda maana Dunia Ina watu wengi sana.
United States Trends
- 1. Carti 29,3 B posts
- 2. Sam Howell 5.573 posts
- 3. Geno 17 B posts
- 4. Packers 52,4 B posts
- 5. #GoPackGo 9.213 posts
- 6. Seahawks 33,4 B posts
- 7. Klay 10,5 B posts
- 8. #BaddiesMidwest 10,5 B posts
- 9. #YellowstoneTV 7.325 posts
- 10. Seattle 20 B posts
- 11. Mavs 9.149 posts
- 12. Romeo Doubs 3.196 posts
- 13. Josh Allen 51,5 B posts
- 14. Mona Lisa 28,1 B posts
- 15. Hazuki 8.571 posts
- 16. #njSSE 10,2 B posts
- 17. #GBvsSEA 8.427 posts
- 18. Weeknd 11,7 B posts
- 19. Grizzlies 5.975 posts
- 20. Jordan Love 7.744 posts
Who to follow
Something went wrong.
Something went wrong.