Similar User
@MassagaMohammed
@MchuchuliK
@UpdatesOfACT
@SelemaniMisango
@lutfia_kassim
@Godfrey45713599
@ACT_Media255
@MchinjitaIR
@ACTBarazaKivuli
@NgomeyaWanawake
@Mbaralagande
@SeifhSuleiman
@NLiwamba
@fidelChristophe
@Presidenttz3
Wanasiasa bora katika siasa za upinzani kwa mwaka 2022 Tanzania: 1.Zitto Kabwe 2.Ismail Jussa 3.Othman Masoud 4.Addo Shaibu 5.Juma Duni 6.Freeman Mbowe 7.Dorothy Semu 8.John Mnyika 9.Isihaka Mchinjita 10.John Heche NB: Waliopo nje ya nchi Hawapambani wapo kule kulinda maslahi yao
Anachosema Mbowe Leo Zitto alikiona 10 yrs ago.. and its tue right direction by the way.. otherwise mambo yataendelea kua hivi mpaka mwisho
Masaa 4 wapo ndani wamejifungia viongozi wa Chadema na CCM,ambalo kwetu hatuna shida tunalitizama katika taswira chanya ila ingekuwa ACT wakiongozwa na Mh.@zittokabwe ,MANENO na MATUSI humu yangejaa Twitter nzima ila sababu ni wao wanaita ni ushuja 🤣🤣 mwananchi.co.tz/mw/habari/sias…
Thank you so much Gladys for joining us at the momentous event yesterday and for the powerful speech you gave. The strong bonds that exist between @ACTwazalendo and @CCCZimbabwe and between our two leaders, @zittokabwe and @nelsonchamisa are a manifestation of a common struggle.
Congratulations! Hongera to our ACT Wazalendo friends for the official opening of their party headquarters in Dar Es Salaam today. Well done Ndugu Kiongozi wachama @zittokabwe & team! #TheFutureIsPurple @ACTwazalendo @CCCZimbabwe @nelsonchamisa @BonfasiaMapunda @AdoShaibu
Natamka Rasmi kuwa #Blitzkrieg imeanza. Tunajenga Chama chetu cha ACT Wazalendo kwa juhudi, maarifa, weledi na ubunifu mkubwa. Hatutotolewa kwenye Reli na walalamishi. Tumeijua njia ya kufikia malengo yetu ya kisiasa na tutaipita njia hiyo kwa uangalifu na umakini, TUTASHINDA
Alipokuwa katika nafasi ya PAC enzi hizo alikuwa Naibu katibu Mkuu @ChademaTz .Mliamua aendelee kuiba au mlikuwa mnashirikiana naye kwenye huo wizi?.Halafu ni aibu kutaka kuzima kashfa ya kuendelea kupanga ofisi ya Makao makuu.Acha wivu wa kike!.
Uchambuzi wa Catherine Ruge umeibua ufisadi unao husisha NSSF.Ufisadi mwingi unao tajwa sasa ulitokea wkt Zitto Kabwe alikuwa Mkti Kamati ya Bunge (PAC) ukiwemo mradi wa Mwandiga Transport Terminal ambao umetumia bilioni 1.85 na hakuna kinacho endelea.Dini safi ni HAKI
Tatizo huwa mpo too slow to understand! This means kama kweli aliiba kwanini hamkumchukulia hatua mwanachama wenu na akiwa Kiongozi wa ngazi ya juu kabisa , kwahiyo nyie chama chenu mnaogopana au ni Syndicate tuu ya upigaji na kunufaika ? .
Unachomaanisha ni kuwa Zitto aliiba mali za umma akiwa Chadema na hivyo Chadema hawastahili kumkanya kwa Ufisadi huo kwasababu kwasasa yuko ACT?
Lema endeleea kuzunguka Canada kuwapitia Diaspora wa Z'bar kwa kwenda kumpa matope Zitto watu wanakuchora wanakusikiliza wanakuona ni mtu mwenye msongo wakifikra Tabia yako hii unadhihirisha nia yako ovu dhidi ya ACT Party Leader Vyote unavyomsema vibaya hapo Canada hujaridhika
Tuchezeni mchezo wa kupost ofisi za chama chako, Mimi nimeanza @ACTwazalendo Post na wewe ofisi ya chama chako. @YerickoNyerereT @Vicent_Kassala @janethrite @IsmailJussa @HecheJohn
Sabodo aliwapa kiwanja Mwenge na pesa shilingi milioni 100 ya ujenzi. Hamkujenga! Mkatafuna pesa zote! Sabodo akaamua wanyang'anya kiwanja chake. Mkaishia kupanga chumba na sebule yenu Ufipa hadi leo. Nasikia hata choo pale hamna!! Mmelogwa na nani? Acheni ACT tuwaongoze.
The biggest mistakes [in politics] are failures of imagination!
Kaka Heche kabla ya Chadema kulikuwa na chama pinzani chenye nguvu ambacho pia kilijengwa na Raia tofali Kwa tofali kufika Kila Kijiji na kitongoji cha nchi .Na ndivyo ACT inavyofanya NOW tofali Kwa tofali ,ACT ya 2014,2015,2016, ,2018 sio hii ACT ya 2022. Tofali zinapangwa vyema
Excited to join as the board member of the Levy Mwanawasa Foundation @LMF_ZM . The objective of promoting the legacy of the Late President of Zambia, Dr. Levy Patrick Mwanawasa is noble. Looking forward to contribute to the wellbeing of the people of Zambia, Africa and beyond.
Chama cha siasa ni taasisi inayobeba matumaini ya wananchi kwahiyo kuna umuhimu mkubwa wa kumiliki ofisi zenye hadhi ya ukubwa wake kuanzia ngazi ya Makao makuu hadi kwenye matawi yake hongera sana @ACTwazalendo .TUNAONA! @Ndolezi_Petro @abdulnondo2
Chama cha masuala ya Watu! Issues Issues Issues! ACT Wazalendo
April 2019: Gangster Republic Speech! I am so moved that now investigations have been conducted and report by CAG will be made public. But we need more: EXPUNGE victims’ Criminal records for justice to be meaningful and legal actions be taken against former DPP.
United States Trends
- 1. #OnlyKash 56 B posts
- 2. Starship 190 B posts
- 3. Sweeney 11,7 B posts
- 4. Jaguar 62 B posts
- 5. Nancy Mace 85,7 B posts
- 6. Jim Montgomery 3.991 posts
- 7. Jose Siri 2.786 posts
- 8. Medicare and Medicaid 23,4 B posts
- 9. $MCADE 1.316 posts
- 10. Dr. Phil 8.334 posts
- 11. Monty 11,2 B posts
- 12. Dr. Mehmet Oz 7.356 posts
- 13. Bader 4.236 posts
- 14. Linda McMahon 2.592 posts
- 15. Joe Douglas 12,4 B posts
- 16. #LightningStrikes N/A
- 17. $GARY 1.900 posts
- 18. Enner 2.274 posts
- 19. Cenk 14,2 B posts
- 20. #mnwildfirst N/A
Who to follow
-
Mohammed Massaga Massaga
@MassagaMohammed -
KMchuchuli
@MchuchuliK -
UpdatesOfACT-Wazalendo
@UpdatesOfACT -
Selemani Misango
@SelemaniMisango -
Lutfia kassim Juma
@lutfia_kassim -
Godfrey Dominick
@Godfrey45713599 -
ACT Media
@ACT_Media255 -
Isihaka Mchinjita
@MchinjitaIR -
Wasemaji wa Kisekta
@ACTBarazaKivuli -
Ngome ya Wanawake
@NgomeyaWanawake -
Maharagande Mbarala
@Mbaralagande -
Seif Hamad Suleiman
@SeifhSuleiman -
Nuru Liwamba
@NLiwamba -
𝐅𝐢𝐝𝐞𝐥 𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐭𝐨𝐩𝐡𝐞𝐫
@fidelChristophe -
president 2045
@Presidenttz3
Something went wrong.
Something went wrong.