George Rugambwa
@georgerugambwaThinker, Mtanzania, Mdadisi, Mkapaism.
Similar User
@JsMtuPoa
@barbieSubrah
@Eddo142
@Lizzie36021
@DullahTheking2
@MsomiKhan18
@ze_mandevu
@Muwindaji
@mozu245
@BlackSingapore2
@Malengoo
@HabariDigital_
@OriginoZee17
@Ireneigora
@Jeba_OG
Moja ya kazi ngumu kwenye harakati za ukombozi ni kuweka nyuma maslahi binafsi na kutanguliza maslahi ya kundi. Mimi nimeshakuwa mbuzi wa kafara nasubiri hatma yangu kutoka wakuu wenye mavazi ya kijani na njano. Sasa nyie mjiandae, wataondoka wengi kwenu kuja kuziba nafasi yangu.
Alichokifanya Jon Mrema si kwa utashi wake bali maekelezo kutoka juu kwa Mbowe. Na lengo la Mbowe ni kutaka kutuma msg kwa Lissu just to show him 'WHO IS THE BOSS' na kwa Taarifa ile kwa umma naamini kabisa ujumbe umefika kwa Lissu. Kwenye hili naona changamoto moja,…
Msingi wa yote haya ni ubinafsi, udini na ukabila ndani yetu. Wengine kujiona bora kuliko wengine. Moshi umeanza kufuka sasa, tutaona moto sio siku nyingi na huo ndio utakuwa mwisho wetu.
𝐕𝐈𝐓𝐔𝐎 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐊𝐎𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈. MAMA ANAHAKIKISHA KILA MTANZANIA ANAPATA HUDUMA YA AFYA ILIYO BORA NA YA UHAKIKA KARIBU ZAIDI NA MAKAZI YAKE. #MamaYukoKazini
𝐒𝐄𝐊𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐃𝐈𝐍𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐙𝐈𝐃𝐈 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐙𝐔𝐑𝐈. USIMAMIZI IMARA UNAWEZESHA RASILIMALI ZETU KUCHANGIA ZAIDI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA NA WANANCHI. #MamaYukoKazini
𝐋𝐀𝐖𝐑𝐄𝐍𝐂𝐄 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐑𝐔 𝐍𝐈 𝐌𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐇𝐔𝐉𝐀𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐋𝐄𝐓𝐔. Maneno ya faraja kutoka kwa mfariji namba moja wa Taifa, Mheshimiwa. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango,…
Ni mbaya sana katika wakati kama huu kukuta upinzani nao una upinzani ndani. Kuna vita baridi inaendelea, ngumi zinapigwa ndani kwa ndani, sauti za maumivu hazitoki lakini wakitoka nje wamevimba nyuso na macho yao ni mekundu. Ukisoma Press yao ya hivi punde, wamemjibu nani?
Hali iliyofikia CHADEMA hivi sasa ni ile hali ambayo kama ni hospitali, "Mgonjwa wenu hawezi kupona ombeni sana Mungu kwa sababu hali yake ni mbaya." Kifo cha CHADEMA kinanikumbusha kifo cha CUF sisi tukawa chama kikuu cha upinzania, haya ni zamu ya ACT sasa, CHADEMA acheni siti.
Chadema kwa sasa inapumulia mipira mingi sana, yani hali mbaya kila kona. Chama kinapumulia mashine na kinakula kwa mipira... 😂😂😂😂😂😂
Jon Mrema naona umeamua kumjibu Lissu kwa mgongo wa chama. Usaliti ndani ya chama chetu sio suala geni, ni suala la muda mrefu sana kwa sababu humo ndani mnaishi kwa makundi, kuna wanaojiona bora zaidi kuliko wengine kwa sababu ya kabila au ukanda. Mbowe hafai atoke.
sema inaonekana huyu jama ana hasira sana na Mbowe.. hehhee
UHAI wa CHADEMA ni MBOWE atoke kwa mwenyekiti. Mzee roho yake inamuuma sana kuona chama alichokijenga kwa jasho na damu kusimamia maslahi ya Wananchi hivi sasa kimekuwa kichaka kujilimbikizia mali na kutakatisha fedha. Kama mnataka hiki chama kipone, mtoni MBOWE hata kwa NGUVU.
🇹🇿 Tanzania’s President Samia will attend the G20 Summit in Brazil next week, a key moment for the country on the world stage. The summit theme, “Building a Just World and Sustainable Planet,” aligns with her agenda on youth empowerment, women’s rights, and climate action. Her…
Kigaila anasema yake. Lissu anasema yake. Lema anasema yake. Jon Mrema anasema yake. Hawa wote ni wajumbe wa Halmshauri Kuu, hawana kauli moja wala muunganiko kila mtu anaita Press kuzungumza anachotaka, kwa kifupi chama kimechanganyikiwa na safari imefika mwisho.
Huu ndio mwisho wa CHADEMA kwa sasa. Mnaweza kuprinti hii posti mkaweka kumbukumbu. Msikilizeni Lissu labda mtafufuka 2030. Mkikaza shingo zaidi hata hiyo 2030 mtaisahau. Ukiona wananchi hawataki kusimama kugombea kwa jina la chama chako funga biashara jipange upya.
Unachukua kodi zetu, unakutana na mwenyekiti wao na kumpatia kisha yeye, anaita wanachama wake kwa siri anawapa waache kuchukua fomu za uchaguzi, wengine wafanye makosa kwa makusudi kujaza fomu Kisha, unaita Press kusema mmekatwa, waliokupa fedha wanasema hamjasimamisha wagombea.
𝐅𝐔𝐑𝐒𝐀 𝐙𝐀𝐈𝐃𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 Mama haishii tu shambani, mapinduzi hadi sokoni. #DiraYaTanzania
Chama cha wahuni hiki kinafanya biashara ya siasa na kutumia dini kutafuta kuungwa mkono. Makanisa ni sehemu za ibada sio siasa.
MBWA KAPOTEZA UWEZO WA KUNUSA MUDA SI MWINGI TUNAFUNGA HESABU.
Mama ni Sauti ya Wengi. Mama ni Wetu Sote.
United States Trends
- 1. $MAYO 9.914 posts
- 2. Tyson 386 B posts
- 3. Pence 43,9 B posts
- 4. Laken Riley 38,8 B posts
- 5. Dora 22,2 B posts
- 6. Ticketmaster 16,4 B posts
- 7. Kash 70,8 B posts
- 8. Mike Rogers 8.121 posts
- 9. Cenk 10,5 B posts
- 10. #LetsBONK 5.525 posts
- 11. #FursuitFriday 15,5 B posts
- 12. Pirates 18,6 B posts
- 13. Mr. Mayonnaise 1.371 posts
- 14. Debbie 15,4 B posts
- 15. Iron Mike 15,9 B posts
- 16. The UK 433 B posts
- 17. Gabrielle Union N/A
- 18. Scholars 10,6 B posts
- 19. Al Gore 3.272 posts
- 20. Oscars 13,8 B posts
Who to follow
-
𝑱𝑺
@JsMtuPoa -
Dr Subrah 🌹🌸💊💉
@barbieSubrah -
Eddo
@Eddo142 -
chuga girl❣️
@Lizzie36021 -
Dullah_theKing🎶
@DullahTheking2 -
Msomi Khan
@MsomiKhan18 -
The mandevu
@ze_mandevu -
Muwindaji (PhD)
@Muwindaji -
DIGALA⚜️
@mozu245 -
Black Singapore 🤴🏿🐲
@BlackSingapore2 -
MALENGO
@Malengoo -
Habari Digital
@HabariDigital_ -
Zee La Nyeti 𝕏
@OriginoZee17 -
Rastafarian culture
@Ireneigora -
.
@Jeba_OG
Something went wrong.
Something went wrong.