@gallery0082 Profile picture

TwittGallery

@gallery0082

Library//Gallery//Photos//Memories//Fun

Similar User
mwakie photo

@Mwakie6

Pesa Mabawa photo

@pesa_mabawa

Nico Shoo photo

@ShooNico

Backbencher cotton photo

@CottonKimu

Bob limbe photo

@BobLimbe

Jonas photo

@jonasmalanda

Ibrahim Jackson photo

@Ibrahim70556205

Kaka Mjoli photo

@JustineMwandute

TwittGallery Reposted

"Ukiishi katika jamii iliyojaa watu wenye husda, lia hadharani, furahi sirini." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

TwittGallery Reposted

Mm nilitaman Kuwa Padri Nisambaze Injili Leo Nasambaza Cvs Sio Mbaya sana


TwittGallery Reposted

Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu na hakuna mtu mbaya kwa Kila mtu, Endelea kuwa mzuri kwa wanaojua thamani yako📌📌


TwittGallery Reposted

Mungu atusaidie tutoke na turejee makwetu tukiwa salama na ushindi.🙏


TwittGallery Reposted

Hapa ni @MalemboFarm HQ, ni kila jumamos tunakutana familia ya #UgaliElimu ,tunakula Ugali na mboga saba sambamba na Elimu kwenye maswala mtambuka. #ChakulaKamaDawa

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

TwittGallery Reposted

Pale kariakoo Msimbazi karibu na Msikiti wa Idrisa kuna washkaji wanauza juice ya miwa sio powa aisee. Juice zao nzuri sana alafu wako chap mno kila ukipita watu ni wengi wanasubiri juice. 😃😃


TwittGallery Reposted

Ukitekenywa Sana Unalia.

Tweet Image 1


TwittGallery Reposted

Usiyo yajua kuhusu Mbeya thread. 1. Nanenane ni sikukuu kubwa kama Christmas na Pasaka. Watoto wana nunuliwa nguo mpya na nyumbani pilau linapikwa. 📍Iganzo 🇹🇿

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

TwittGallery Reposted

MUNGU Hachelewi Wala Hawahi Wakati Wa Mungu ni Wakati sahihi zaidi.✌️


TwittGallery Reposted

A + B = 22; B = 22 - A A + C = 25; C = 25 - A B + C = 33 => ( 22 - A ) + ( 25 - A ) = 33 47 - 2A = 33 Solving; A = 7,B = 15 & C = 18 Therefore; Total Height = 40 Units


TwittGallery Reposted

The final shortlist for Club of the Year (MEN) award. #CAFAwards2023

Tweet Image 1

TwittGallery Reposted

Kama simu yako haipigwi wakati unajitafuta, Kumbuka kutokuzipokea ukishajipata.✍🏽


TwittGallery Reposted

Usiache kusali sali sana maana tuko kwenye vita na watu ambao hatujui tuliwakosea nini na hatujui wanataka nini kutoka kwetu Good morning friends

Tweet Image 1

TwittGallery Reposted

Tushakosa Tulipodhani Tutapata Na Tushapata Tulipodhani Tutakosa…Wakati Wa Mungu Ndio Wakati Sahihi Tuendelee kupambana Hakuna kukata Tamaa 🙏🏽

Tweet Image 1

TwittGallery Reposted

Maisha Ya Dunia Yanapita Kama Upepo Leo Upo Kesho Hupo Ukiweza Weka Alama Chanya Kwenye Maisha ya Binadamu Wenzio...


TwittGallery Reposted

Tuombe Neema ya Mungu iwe pamoja na sisi kwenye mipango yetu kwenye mipango yetu Kila wakati.


TwittGallery Reposted

Inahitaji hekima kubwa ya Kimungu kufurahia mafanikio ya wenzako, wakati ambapo unaamini wewe ndio ulitakiwa uwe unapongezwa.


TwittGallery Reposted

Hakuna mafanikio yasiyokuwa na changamoto, Mungu akitaka kukuvusha kutoka sehemu moja kwenda nyengine lazima akupitishe katika majaribu, Jipe moyo na muombe Mungu kwa imani na bidii kubwa nae hato kuacha daimaa.... ✍️🙏


TwittGallery Reposted

Ukikosa Kwenye Maisha Usikasirike,Usiwachukue Waliopata Ila Jifunze Toka kwao..Omba Mungu wako,Ongeza Juhudi Subiri Wakati Wako....📌


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.