@ShooNico Profile picture

Nico Shoo

@ShooNico

Preying

Joined February 2022

Dorith gwaijhttps://x.com/Ezb_classic/status/1860262104604803468?t=36fnEdV3-sIxm3UZm-NdHw&s=09


Nico Shoo Reposted

BREAKING NEWS BREAKING NEWS Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagwa amebanduliwa mamlakani, Gachagwa amebanduliwa huku akipatiwa matibabu katika hospitali ya Karen Jijini Nairobi, baada ya kuugua ghafla jioni ya leo.

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Naibu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua ameondolewa madarakani na bunge la Seneti nchini humo baada ya Maseneta kupiga kura kuhusu mashtaka 11 yaliyokuwa yakimkabili. Kwa mujibu wa Kifungu cha 145 kinachosomwa pamoja na Kifungu cha 150(1)(b) na (2) cha Katiba na amri ya…

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, Mjumbe wa Kamati tendaji ya Chama, kata ya Msongola Jimbo la Ukonga ameshambuliwa na vijana wa CCM waliokuwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo (barabara ya kuelekea kituo cha uandikishaji) cha Kwa Mussa, Mtaa wa Yangeyange, Kata ya Msongola,…


Huyo mtoto unaye sasa?

MIMI SINA CHAMA CHOCHOTE ILA SIKU , WATOTO WA LEMA, LISSU NA MBOWE WAKIANDAMANA NAMIMI NITAKUWA MSTARI WA MBELE KUANDAMANA NAO, SIWEZI KUANDAMANA WAKATI WATOTO WA VIONGOZI HAO HAWAPO, SIWEZI PELEKA WATOTO WANGU KAMA SIJAONA WATOTO WA LEMA AU LISSU WAKIANDAMANA🤔



Kwani lazima uongee kila kitu kaka? Mengine si unaweza ukatulia tuu. Kikichomfanya samaki kuvuliwa ni tabia yake ya kutaka kula mdudu. Jifunze kutulia. Wee bado ni mchungaji au uchungaji wako nao umeugawa?

Kuto kufika kwa katibu mkuu wa CCM kwenye mdahalo. Hakuzui makatibu wa vyama vingine kutumia muda huo kuonyesha umahiri na weredi wao jinsi wanvyozijua changamoto za watanzania na pia wangeonyesha way forward. Hii ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani hoja zao zinategemea uwepo wa…



Nico Shoo Reposted

Yule mtoto wa Miaka 14 toka Rombo Kilimanjaro anayelea wadogo zake Watano baada ya baba yao kufariki na mama yao kuwa na matatizo ya akili sasa amejengewa nyumba na Shirika la Glads Welfare. Awali familia hii ilikuwa ikiishi kwenye nyumba ya Udongo isiyo na paa wala vitanda.

Tweet Image 1

Kwani humu tunapigana? Kukosoana sio zambi hata kidogo. Kukosoa ni haki kama zilivyo haki zingine za wewe kusema. Wanaokukosoa wanaweza wakawa sahii zaidi kuliko wanaokupigia makofi.

Martin hataki kupiga mtu kwa makosa 😂😂😂



Kujipendekeza kwa sasa ni nia ya vijana kufanya interview. CV ni maneno yako tuu jins utakavyompamba mtawala. Akifrahishwa anakupa kula. Akikasirishwa anaagiza kichwa chako kwenye sahani. Na wakataji wanaharaka kweli kweli awaulizi maana hiyo nayo ni sifa kwao.

So unasema Rais ana zero knowledge kuhusu mambo ya usalama sio ?



Nico Shoo Reposted

Hii tabia ya kumuondoa na kumsafisha RAIS katika mambo yote yanayovunja sheria na Katiba ya JMT inazidi kuota mizizi sana. RAIS ni MKUU wa NCHI, Kiongozi wa SERIKALI na AMIRI JESHI MKUU. Tafadhali sana. 1. RAIS wa JMT, Sheria ya 1984, Na. 15 imeeleza na kuanisha shughuli na kazi…

The fact kwamba watu wanaamini Rais anaweza kuingia moja kwa moja masuala ya Usalama na Ulinzi ambayo ana zero knowledge about it inanishangaza.



Nico Shoo Reposted

@bongopisikali nifolo nikufolo pia 🥳

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Nimefungua group la girl and boys weka number niku add Whatsapp ili upokee video ya dada yetu like retweet 👇🫡🫡

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Nimeamua kufungua account huku twita ili niweze kukanusha kuwa Ile Connection yule sio Mimi Kwa Ambao mmeangalia mmenifananisha , kama hujaangalia nikutumie uiangalie utagundua sio Mimi kabisa.😭

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Group la Simba DAY BADO liko wazi watu kama 100 ivi wanaitajika bado Lengo la group hili ni kupush SINBA DAY IWE FULL HOUSE MAPEMA TUU ambao bado sijawa add naombeni handle zenu hapa hakikisha uwe umeni follow ili iwe rahisi kuku add

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Chimbuko la Ukristo ni Israel. Chimbuko ka ukristo ni Injili ambayo Yesu aliwavuvia jwa njia ya roho mtakatifu nao wale mitume wakasambaza Imani ile kwa mataifa mengine. Hao Waroma baadae walikuja kuhuisha ukristo na tamaduni zao ndio wakajiita wakatoliki (yaani dini ya wote au…

Ukristo chimbuko lako ni roma Italy, Israel ni judeah ( uyahudi) ndo dini Yao Toka yesu hajaja na ata baada, ukristo Israel ulipelekwa na Roman empire waliivamia na kuitawala Judea( Israel) baadae Romans waliwafukuza waisrael kutoka ardhini kwao na kuwapa ardhi wapalestina



Nico Shoo Reposted

Kaskazini , Tanga , Arusha , Kilimanjaro na Manyara tutawafikia kila kona.


Nico Shoo Reposted

Leo nimekutana na Mjomba na mpiga kura wangu Jimboni!

Tweet Image 1

Nico Shoo Reposted

Kwa hyo ni Haki Kwa Shabiki kuuziwa na Timu ticket ya 7k Kwa 20k, tunakubaliana hilo?


Nico Shoo Reposted

•Hii hapa Top 20 ya watu matajiri zaidi barani Afrika kwa mwaka 2023. •pamoja na nchi zao na thamani ya utajiri wao kwa dola za Marekani. •Namba 14 Chief Godlove katuwakilisha vyema sana vijana wa wa mbeya-Tanzania😁🙌 •Source: Jarida la Forbes. 1. Aliko Dangote (Nigeria)…

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.