Similar User
@Alfani80112646
@simon_nzumbi
Mbona Itv wanatangazwa kupotea tena mkubwa zaidi ya huyo wewe unashangaa? Kwa hiyo unachokiamini wewe ndo Cha kweli?
Jambo TV ni vema muandike ametekwa na sio kupotea, hivi mtu mzima anapoteaje kwenye eneo ambalo anaishi miaka kwa miaka? @SuluhuSamia huu utekaji wa serikali yako soon unaenda kuangukia pua. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa na genge la utekaji halafu uka-survive lazima Mungu akupige
Vipi tunaofanya kazi za laana ( bodaboda) utahitaji kura zetu?
TAARIFA KUTOKA CHADEMA KARATU. Juzi tar. 30/11 mgombea Mkt Kitongoji Cha TFA alinyang'anywa Fomu katika ofisi za Kata pia Leo tar. 1/11 mchana mgombea wa Kitongoji Cha Barazani alitekwa na usiku huu mgombea wa KILIMANI pia ametekwa, wote waliotekwa walipelekwa porini na…
Makosa ya kibinadamu
Tuwe wakweli tu, leo Kipa wa Ken Gold ameokoa goli la Maxi, ameokoa goli la Pacome, ameokoa mara kadhaa attempt za Aziz, ameokoa mchomo wa Boka. Lakini mjadala leo ni upi?? Kuweni fair mara moja moja ndugu zangu. Au mpaka kipa wa timu yenu pendwa akifanya hivi ndio mnampa…
Makosa ya kibinadamu
Crown
Ipi media bora kwako kati ya hizi? 1,,crown 2,,wasafi 3,,clouds 4,Efm.
Huyu ni kichwa, akili zake ukizitumia vizuri unanifaika. Ukiwa na akili za kudownload huwezi muelewa.
9. KISHIMBA. Huyu ni mbunge wa kahama ila pale mjengoni aliomba kifunguliwe chuo cha wizi. Hii akili sijui alikua anawaza nini tu 😂
La kuongea lipo make kikosi kapanga kwa kufuata mawazo ya mashabiki. Anatakiwa ampangie cone Gardiola sio Gardiola ampangie cone Morocco.
Stars na Hemedi Morocco wamezima midomo iliyowakosoa mechi ya Ethiopia na kuchana mikeka ya ukosoaji iliyoandaliwa kwajili ya mechi ya leo, baada ya kuichapa Guinea ugenini mabao 2-1 na kupata alama 3 hivyo kufikisha alama 4 baada ya sare ya nyumbani dhidi ya Ethiopia.Congrats 👏
Cha kujiuliza hakuna hata dereva au kondakta wa kutueleza kilichotokea? Hawa wanasiasa walikuwa kwenye gari hilo?
HAKI ZA BINADAMU: Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashriff umesema tukio la kutekwa kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA, Ali Kibao ndani ya basi lao liliwashtua na walishindwa kuzuia kutokana na wahusika kuwa na silaha za moto na waliwatisha wafanyakazi waliokuwa…
Kocha Moro aondoke
Kwani amekosea kufika msibani? Anyway yawezekana wewe ndo MC make sisi wengine tuko mbali. Na wengine wakifika taarifa tafadhari. Ulitukosea majuzi, badala ya kuandamana kwa ajili ya soka unaandamana kuirudisha fomu. Ulitupa somo hapo.
Waziri wa mambo ya ndani Eng.Hamad Masauni ameingia msibani wakati huu.
Wewe uko upande gani?@Eng Nyasikera
Wanaume kama mabinti au Mabinti kama wanaume? Ama jinsia zote ni sawa kwa unafiki?
Hatimae tumeanza kuona makosa ya kibinadamu Kwa waamizi.
Nina imani kubwa picha za watu wa ngorongoro kuna watakaozitumia kwenye siasa na kutuaminisha kuwa tumejaza 2025.
Hivi ukipewa uliongoze taifa hili Kwa siku 100 utatufanyia nini wananchi tofauti na kutuongezea misamiati?
He has five years of age. He still struggling. InshaAllah
Asalaam alaykhum warahmatullah wabarakatuh. Leo ndo nimejua kuwa Zanzibar ndo sehemu pekee ya Muungano inayolipia raia wake riba ya mikopo. Huku bara mwananchi akikamuliwa asilimia zaidi ya kumi na benki. Dr. Hussein Mwinyi upewe maua yako .
Hongera sana, kwa maoni yangu kama mtanzania, hatuna beki wa kulia anayeweza kucheza mpira wa sayansi kama Shomari Kapombe. Kwa anayeujua mpira atakuwa amenielewa. Beki wa kulia hapigi cross? Waliomshauri kocha kumuacha kapombe wamshauri na kuondoka kabla hajaaribu kabisa.
Nimejaribu kujiuliza kazi za maasesa wa field ni zipi sikupata jibu. Je hao watakaosimamia hiyo mitihani nani atakayewaamini? Je, hapo si unatengeneza mianya ya rushwa ya ngono na pesa? Kuna tukio la mtu kufanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya goti haukuwekwa mtihani. Mwl mnyonge.
Leo natoa tiba kidogo, kwa wale wanawake ambao kizazi kiko mbali tumueni milungi. Ukiona upatikanaji ni mgumu huko Tz, njoo Kenya tumia kisha vuka rudi Tz. Ikiwezekana chukua brenda tengeneza juice yake changanya na karafuu within a month you will see the results. It’s an advice
United States Trends
- 1. Mike 1,8 Mn posts
- 2. Serrano 236 B posts
- 3. #NetflixFight 70,4 B posts
- 4. Canelo 16 B posts
- 5. #netflixcrash 15,4 B posts
- 6. Father Time 10,7 B posts
- 7. Logan 76,8 B posts
- 8. Rosie Perez 14,6 B posts
- 9. He's 58 23,5 B posts
- 10. Boxing 290 B posts
- 11. Shaq 15,7 B posts
- 12. ROBBED 101 B posts
- 13. #buffering 10,7 B posts
- 14. My Netflix 81,9 B posts
- 15. Roy Jones 7.075 posts
- 16. Tori Kelly 5.084 posts
- 17. Ramos 70,1 B posts
- 18. Cedric 21,5 B posts
- 19. Gronk 6.548 posts
- 20. Barrios 50,4 B posts
Who to follow
Something went wrong.
Something went wrong.