@_samMJ Profile picture

samwel magoti

@_samMJ

Joined December 2021
Similar User
Juma Ramadhan photo

@jumaramadhanACT

C.O WA MCHONGO photo

@masheriah

Patson Phosa photo

@PatsonPhosa

mr Cobra photo

@MahegaSayi

samwel magoti Reposted

Mpe kijana wa kiume ushauri anaetaka kuoa, nini azingatie kabla ya kufanya maamuzi ya ndoa? Karibu kwenye #Clouds360 ya #CloudsTv

Tweet Image 1

samwel magoti Reposted

Msimamo huu sio mgeni Jijini, labda kwa mgeni Jijini

Tweet Image 1

Mkeka unaelekea bado Goli moja 😂

Tweet Image 1

Uchawi ukikolea unakuwa zuzu 😂


samwel magoti Reposted

Maji yameanza kujitenga na mafuta


Na kocha alikuwemo, wakawekwa😂😂

Tweet Image 1

samwel magoti Reposted

Nimakosa nakubwa kuwafunga kwa makosa ya jinai watu wanao ripoti uhalifu.Kisheria tunasema actus none facit mensit reus.Kumfunga mtu aliyeripoti kwa kupiga picha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi kwa lengo la kuujuza Umma kuhusu dhuluma hiyo ni kitendo cha aibu na ukiukwaji wa…

Tweet Image 1

samwel magoti Reposted

Wajawazito kujifungua bure, unatetea Serikali. Wajawazito kujifungulia chini, unatetea Serikali. Utekaji unatetea Serikali. Toto Afya Kadi kuondolewa, unatetea Serikali. Ukosefu wa ajira unatetea Serikali. Unakuja kutupa habari za ugumu wako wa maisha miaka mitatu. Bladifakeni.


samwel magoti Reposted
Tweet Image 1

samwel magoti Reposted
Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

samwel magoti Reposted

Tazama jinsi Polisi wanavyo chukua Rushwa😤


samwel magoti Reposted

VIDEO: Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na @ChademaTz kumaliza kuzungumza…


samwel magoti Reposted

‼️PREMONITION OF DEUSDEDITH SOKA😢‼️ #Tanzania #EnforcedDisappearances “Ikitokea basi msilie wala kuudhunika bali itupe moyo wa kupambana na Kukataa usaliti” On Aug 13 he wrote publicly that he was informed that there was an evil plan by the state to disappear him He was told…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

samwel magoti Reposted

Hizi tuhuma ni nzito sana. Nasubiri kusikia tamko la Takukuru juu ya hizi TUHUMA dhidi ya Taasisi ya urais na mwanawe.


samwel magoti Reposted

samwel magoti Reposted

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa hususani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mawakili, waandishi wa habari waliokuwa wakitekeleza majukumu yao na wanaharakati mbalimbali kulikofanywa na Jeshi la Polisi katika mkoa wa…

Tweet Image 1

samwel magoti Reposted

Binti aliyebakwa na kulawitiwa na askari wa JWTZ anaitwa (JM). Ni kweli, yupo katika mikono ya polisi baada ya kupelekwa na wazazi wake (kuripoti). Ni ukweli kwamba, Polisi pamoja na juhudi za kumtafuta (JM) hawakumpata isipokuwa, wazazi wake waliamua kwenda Polisi wenyewe mwezi…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

samwel magoti Reposted

Kila heri Wapambanaji wetu Lengo la kwanza la mchezo huu ni kupata ushindi kwa mapenzi yake Mungu Lakini hatuna presha kubwa, Sote tunafahamu upya wa kikosi chetu, tupo katika mapito ya kutengeneza kikosi imara hivyo chochote tutakachopata ni muhimu kwetu kwa ajili ya…

Tweet Image 1

samwel magoti Reposted

HABIBU HALAHALA Habib Halahala, mpiga picha wa J.K Nyerere na Ali Hassan Mwinyi ambae kifo chake kilitokana na kukatwa kichwa na panga boi ya helicopter huko Lindi 1990. Habib Halahala aliteuliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais J.KNyerere mwishoni mwa utawala…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.