@YasinD91 Profile picture

Scientist_Yasin

@YasinD91

FOUNDER & MANAGING DIRECTOR AT MLANGA DIAGNOSTIC CENTRE ๐Ÿ”ฌ.

Joined October 2011
Similar User
Sadick Kapaya photo

@kap2ya

George Kanani photo

@Princegeorges_

Strong Rulerยฐ photo

@richiesaiya

๐™ƒ๐™–๐™ข๐™ž๐™จ๐™ž ๐™ˆ๐™ฏ๐™–๐™ซ๐™– ๐™Š๐™›๐™›๐™ž๐™˜๐™ž๐™–๐™ก ๐Ÿ photo

@Hamisi_Mzava

R@ยฅmond๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ photo

@McharoRay

PrincE photo

@princegraphics

Rasheedy Tandawala photo

@cheedytandawala

Mimer omar photo

@MimerSmile

Zaka photo

@zakaria_sultan

Peter Wallace Kiama photo

@PtrKiama

Lymond Ngaiza photo

@mujuningaiza

Frank Joseph photo

@Mlyanze

f a r i ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ photo

@fari26_

MOsantu photo

@mosantu777

You photo

@Math3matriX

Scientist_Yasin Reposted

Mtu mmoja ananiambia eti gharama za maisha ni kubwa ndio maana madaktari wanalipwa mshahara mkubwa Marekani. Sio Kweli. Madaktari wanalipwa salary kubwa sababu ya heshima ya kazi yao, miaka mingi shuleni, uwezo mkubwa ambao unatakiwa kua nao kua daktari, competition kubwa yaโ€ฆ


Scientist_Yasin Reposted

Ciprofloxacin is a drug of choice for prophylaxis and treatment of anthrax. It is second generation fluoroquinolones, which is widely used in various infections such as UTIs, chest infections, skin and bone infections. All fluoroquinolones are contraindicated in children. โŽ

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

Acetylcysteine is used as antidote in case Acetaminophen toxicity. Acetaminophen when taken in high doses will induce Hepatotoxicty. It should be administerd soon as possible. Acetylcysteine will replenish glutathione antioxidants, and glutathione will react with toxic NAPKI.โœ…

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

Nebivolol is anti hypertensive medication of class Beta Blockers. It is used to hypertension and used in combination with others in heart failure. It is selective B Blocker like others but it has additional effect vasodilating by increase in endothelial release of nitric oxide.

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

ELIMU YA AFYA | Kisukari cha Ujauzito #MtuNiAfya โžก๏ธKisukari cha ujauzito ni aina ya kisukari inayokua wakati wa ujauzito kwa wanawake ambao hawakuwa na kisukari kabla ya kupata mimba. โžก๏ธHali hii huathiri wanawake wajawazito 2-10%. โžก๏ธIngawa kawaida hupotea baada ya kujifungua,โ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Scientist_Yasin Reposted

Tumuombe Mungu atujalie utulivu wa akili na moyo pale tunapokubali vitu tusivyoweza kuvibadili, atupe ujasiri wa kubadili yale tunaweza kubadili na hekima ya kutambua tofauti ya yale tunaweza kubadili na tusiyoweza.


Scientist_Yasin Reposted

Yaliyopita yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Usipoteze muda kufikiria usichoweza kukibadili. Ione sasa & songa mbele.


Scientist_Yasin Reposted

HABARI ZA JUMAPILI ๐Ÿ“ฐ LEO NAGUSIA KIDOGO MADHARA YA UGONJWA WA KUDUMU WA FIGO KATIKA MWILI ๐Ÿซ˜ #AfyaSwahili Kuna hatua tano za ugonjwa wa figo wa muda mrefu. โžก๏ธKatika hatua ya 1 na 2, kuna uharibifu mdogo kwa figo, na bado wanafanya kazi vizuri. Inaweza kuwa hakuna dalili naโ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Scientist_Yasin Reposted

Appendicoliths ๐Ÿ‘‰ calcific masses in the appendix, formed as a result of the aggregation of faecal particulates and inorganic salts within the lumen of the appendix

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

DAWA ZINATOTUMIKA KUUA MFUNGWA ALIYEHUKUMIWA KIFO. 1. Sodium theopental: Hii ni sindano ya kwanza inayochomwa kwenye mshipa wa damu. kitaalamu ni dawa ya usingizi ambayo unapewa ili usife kwa maumivu sana. Ukishalala hapa hautaamka tena. 2. Pancronium bromide: Pamoja na kupewaโ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Scientist_Yasin Reposted

Polio - ni wajibu wetu kuwalinda watoto wetu dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo #RC73AFRO ---- TANZANIA KUFANYA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO KWA AWAMU MBILI Na. WAF, Gaborone - Botswana Tanzania inajiandaa kufanya kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio Virus 2 (CVDPV2)โ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Scientist_Yasin Reposted

Kuitupa kada ya maabara kama taifa tunakua tumesusia sayansi, Hatuendelezi, hatuwaajiri, hatuwatii moyo ila kesho tunategemea watuletee chanjo. Miaka 15 ijayo tutakua taifa la nyuma sana kwenye sayansi.


Scientist_Yasin Reposted

โ€œWe donโ€™t have to be smarter than the rest. We have to be more disciplined than the rest.โ€ โ€” Warren Buffett


Scientist_Yasin Reposted

A 45-year old gentleman consulted me yesterday. During his routine health check up, his BP was found to be on a higher side (140/90 mmHg). He was worried about an increased risk of stroke, as his father too was a hypertensive, and had suffered a stroke at age 60. He wanted me toโ€ฆ

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

Kama "kuna" chama cha wataalamu wa maabara fanyeni haya. 1. Huu ndio muda wa kuelimisha UMMA juu ya kada hii, hizi page za mitandaoni ndio kazi yake, sio kusubiri siku ymza kutoa wishes tu. 2. Fufueni TAMELASA - Tanzania Medical Laboratory Students Association, hii itasaidiaโ€ฆ

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

Congrats to the 19 participants who completed the #QWArS Tanzania Program, enhancing their skills in #AMR surveillance using the #OneHealth approach. ASLM is proud to recognise their dedication and commitment. #PublicHealth #AMRSurveillance @MottMacDonald @FlemingFund @AfricaCDC

Tweet Image 1

Scientist_Yasin Reposted

Fasting is very effective for -Ulcer -PCOS -Diabetes type 2 -Alzheimer -Hypertension -Hormonal Imbalance -Fatty liver -Weight loss -Gut Fix -Weight gain -Anxiety -Depression -General Disease prevention Fasting is the most versatile doctor Ever. Brace for #FastingThursday


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.