@VManori Profile picture

Venance N. Manori

@VManori

Similar User
Chama Cha Mapinduzi🇹🇿 photo

@ccm_imara

muddyphillyhamasa photo

@phillymuddy

Marc Jr #Mwanzakwetu #RockCity photo

@mwanza_rockcity

MommaYasir💛 photo

@xo_ThatGirlBoss

Miriam Shelutete photo

@shelutetemiriam

Douglas Mbuma photo

@DouglasMbuma

Emmanuel Komba photo

@EmmanuelKomba1

aziz shaibu muyinga photo

@azizshaibu

Ms.Amina G. Hassan. photo

@ms__hassan

Venance N. Manori Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe - Malawi

Tweet Image 1

Venance N. Manori Reposted

Muhimu kwa Wanafunzi: Msajili katika 'DiDiS' kuanza Juni 20, 2023. Andaa Akaunti ya Benki; Namba ya Simu; Kitambulisho chako cha Uanafunzi! #WeweNdoFuture #TimizaWajibu

Tweet Image 1

Venance N. Manori Reposted

How often we send instant messages to the people we love! Let’s do this with the Lord too through short prayers of aspiration so that our hearts remain connected to Him. And let’s not forget to read His responses in the Gospel to receive a Word of life.


Venance N. Manori Reposted

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mpambanaji Phillipo Machage. Poleni sana familia ya marehemu, kata ya Matongo, Tarime na Mkoa wa Mara. Upambanaji wake alipokuwa Mwenyekiti wa Mkoa 2009-14, Makamu kwenye Halmashauri na diwani umeacha kumbukumbu @ChademaTz #RIPMachage

Tweet Image 1

Venance N. Manori Reposted

@godbless_lema wewe mbona humwambii Mbowe ajiuzulu maana amehudumia zaidi ya miaka 15 nafasi ya uwenyekiti na hakuna maendeleo yeyote kwenye chama?. Au kwasababu ukimwambia itaathiri namna ya wewe kupata ugali? wewe pamoja na Lissu ipaswa mjiuzulu kabla ya saa moja usiku leo.


Venance N. Manori Reposted

Ila Young Dee 😂😂

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Venance N. Manori Reposted

Maafisa Usalama wa Taifa wamemuweka Ndugai kwenye Kizuizi vuli, invisible Detention wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi, alipanga kuongelea masuala kadhaa! 1.Msimamo wake juu ya Mkopo hasa 1.3Trilion na akisema Trilion 7 zimepelekwa Zanzibar kinyemela 2. Kuhusu Meko na kumtetea


Venance N. Manori Reposted

Rais wa #Ghana anakiri kakosea; anaomba msamaha kwa kukosea na anatoa rai kuwa MARAIS ni Binadamu na wanakosea. #Tanzania tunaambiwa “Rais hakosei” Hii kufuru hii itawatafuna tu.

Tweet Image 1

Venance N. Manori Reposted

Taarifa: Kuhusu kutopatikana kwa huduma kupitia Instagram, Facebook na Whatsapp.


Venance N. Manori Reposted

Wapeeni wanaume zenu 🐕 style kwa wingi na kwa ufundi! Licha ya kwamba wanaipenda sana hii style lakini pia inasaidia kushape na kuongeza size ya 🍑 🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️


Venance N. Manori Reposted

In these days of preparation for the Solemnity of #Pentecost, let us ask the Lord to send us the gifts of the Holy Spirit so that we may persevere in our life of #prayer with humility and joy, overcoming difficulties with wisdom and determination.


https://t.co/LjP9FPMcm9

Tweet Image 1

Labda mnaweza kunisaidia kuelewa. Leo nimetumia dakika 45 kuendesha gari kati ya Airport na Vingunguti. Baada ya vingunguti mambo safi. Kuna tatizo gani pale V'nguti? Patafutiwe ufumbuzi. Bila hivyo, Mfugale flyover itaonekana haijatatua tatizo.


Kijana ameanza kulewa sifa.ndio sababu.waTZ tuna tatizo hilo.kama Taifa stars.

Same thing happening to diamond..because of his management he will loose his career @diamondplatnumz



Venance N. Manori Reposted

Nampa Mwakyembe a second chance. Tujiandae na mechi ya Uganda ( Lakini pia tucheze mechi ya Lesotho v Cape Verde). Kocha yeye tumshukuru aende. Ushauri wangu tumwombe Kim Paulsen ashike timu kuelekea Machi 2019


Wanajizeesha wenyewe kwa kuharibu ngozi zao wakitafuta uzuri wa kujitengenezea.

Same thing happening to diamond..because of his management he will loose his career @diamondplatnumz



Venance N. Manori Reposted

The biggest mistake I see people making today is wanting INSTANT success, QUICK money, and RAPID fame. It’s not realistic, and it will never keep you happy. You can't focus when you're impatient! Remember, the saying: “What comes easy won't last, what lasts won't come easy!”


Venance N. Manori Reposted

Haijalishi kile mwalimu anachosema ... watoto wanajifunza kwa yale anayofanya - J.K Nyerere. #ElimuYetu

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.